Ndege yapata ajali baharini offshore

Sijui wamefanya uzembe gani hawa mabwana mpaka hii ndege imepata ajali kirahisi hivi.

Hii ajali imetokea baharini wakiwa wanafanya kazi za offshore.

View attachment 3020078
Mkuu hiyo ni ajali kutokana na hitilafu ya hiyo helicpter.
Unaona wazi helicopter haina nguvu ya takeoff.
Na ukitaka kuua heicpter maramoja ni pangaboi kukata maji, hapo ni kwisha habari yake.
 
Ehe i hope wote wako salama, sijaona watu wakiruka kuokoa uhai...Vyombo vina bima acha viharibike
 
Back
Top Bottom