bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli bado anawanyima usingizi wapinzani wa Tanzania

    Historia imeandikwa na hakuna anaeweza ifuta kwamba John Pombe Magufuli ni rais bora kabisa kuwahi kutokea Afrika. Dunia nzima na Watanzania wote wanajua namna alivyoipenda nchi yake na namna alivyowapigania Watanzania haswa wale wa hali ya chini. Hii ni kitu hakuna anaeweza kuja kuifuta hata...
  2. JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji Jordan wenye takriban miaka 2,000 bado unahudumia watu

    Ancient Nabataeans Water Management: The 2,000 year old city of Petra,Jordan, known for its magnificent temples carved into its red sandstone cliffs is also home to an incredible feat of hydraulic engineering. An extensive water supply system turned this ancient city into a man- made oasis...
  3. Q

    JamiiForums Tanzania Mashahidi 24 wa Jamhuri dhidi ya Mbowe; hadi sasa wamefika 8, bado 16

    1. ACP Kingai, Afisa wa polisi 2. Justine Kaaya, Afisa wa polisi?? 3. H 4323 Constable Msemo, Afisa wa polisi 4. Anisha Valerian Mtalo, Mama muuza mbege 5. Fredy Kapara, Mwanasheria tiGo 6. SSP Sebastian Madenge, Afisa wa polisi 7. Inspector Omary Mahita, Afisa wa polisi. 8. Jumanne Malangahe...
  4. JamiiForums Tanzania Jinamizi la kupandisha bei vifurushi linaitafuna sanaa yetu, views milioni zinatafutwa kwa tochi

    Kuongeza gharama kwenye vifurushi kumeturudisha sana nyuma kwenye sekta ya sanaa. Views milioni zamani ilikuwa ni ishu ya kawaida mno, kwa sasa watu wanawasha data kwa machale achilia mbali kuzama youube kwa manati. Tukumbuke kwamba youtube views ilikuwa moja kati ya silaha kubwa mno kufanya...
  5. JamiiForums Tanzania Utofauti upi umewahi kuushuhudia kati ya anaepata ajira inayolipa vizuri akiwa bado kijana na yule ambae umri umeenda kidogo?

    Kuwahi kumaliza chuo sio kuwahi kuajiriwa achilia mbali kuajiriwa sehem inayolipa mshahara safi na marupu rupu kibao. Kuna wengine wanamaliza vyuo wana 22, ajira wanaingia taasisi kubwa wakiwa na 23, wengi wao niliowashuhudia pesa nyingi ilitumika zaidi kwenye magari. Wengine wanamaliza wana...
  6. JamiiForums Tanzania James Ole Milya system ya nchi bado inakufanyia tathmini maana huaminiki una damu za kiharakati

    Wengi mnamkumbuka mwanasiasa James Ole Milya huyu amewahi kuwa mwenyekiti wa Uvccm mkoa wa Arusha na mbunge wa jimbo la Simanjiro. Huyu ni aina ya vijana wapambanaji kwenye ulingo wa siasa hapa nchini tetesi ni kwamba awali alikuwa anabebwa na kundi la Friends Of Lowasa lakini baadae kundi hili...
  7. JamiiForums Tanzania Bado Sijapata kazi/kibarua wakuu

    Habari Za majukumu wakuu wa hili Jamvi. Mwanzo nilikuja kwenu kuomba kibarua/kazi kwajili ya kujikimu kimaisha, ila bado sijafanikisha kwenye Hilo. Tafadhalini, kwa mwenye connection au kazi anisaidie. 💥Nina Elimu ya chuo kikuu (BSc. Property and facilities management): Pia ni mjuzi kwenye...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea nchini bado tunajiuliza wasiojulikana ni akina nani?

    Ukiona binadamu wanavyoshuhudia mahakamani kwa kuandika stori zisizo na muunganiko huitaji kuuliza wasiojuikana ni wakina Nani, nadhani ikiwa mtu anaweza kuja adharani akasimama nakusema ulifanya hivi na hukufanya basi mtu huyo ana chuki na ana roho ya kukua. Wapo watu wanarithi laana za wazazi...
  9. JamiiForums Tanzania Patents right ambazo zimeshatolewa au bado zipo hai Tanzania

    Wakuu habari zenu, Nauliza kua ni wapi naweza pata orodha ya patents rights ambazo zimeshatolewa bongo mpaka siku ya leo. Nawasilisha
  10. JamiiForums Tanzania Nyumba iliyojengwa na Bushiri Ali Harthi bado iko Pangani mkoa wa Tanga

    Nyumba ya Bushiri Ali Harthi, iliyojengwa kwa Matumbawe na udongo, bado ina nguvu kama ilivyo, inayopatikana Pangani, mkoani Tanga. Nyumba ina basement, ambapo mazungumzo ya watumwa yamefichwa. Bushiri alipigana vita na Wajerumani (Bushiri Revolt 1888 - 1889) na kushindwa sana, kukamatwa na...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji kuappeal mwaka huu HESLB na sijafanya usajili bado na kwenye appeal form wanahitaj reg no, nafanyaje hapo?

    Naombeni msaada wa hilo swali plz kwani sielewi mpaka sasa nifanye nini angali sijapata registration no ya chuo kutokana na kukosa ada ya kujisajili na form ya kuappel kuna kipengele cha kujazwa reg no
  12. JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Kesi ya Mbowe na Wenzake Mahakama Kuu, Coplo Hafidh Abdallah Mohamed atoa ushahidi wake, kesi kuendelea Jumatatu 01 November 2021

    Kesi inayomkabili Freeman Mbowe na wenzake itaendelea leo katika Mahakama Kuu, Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa, ambapo upande wa mashitaka utaleta shahidi mwingine. Fuatilia hapa kujua kitakachojiri katika mchakato mzima wa kesi hiyo kwa siku ya leo 29/10/2021 UPDATES Mpaka sasa...
  13. JamiiForums Tanzania Kwa wasiojua, Simba bado itapanda ndege: ipo CAF confederation cup kule kina Azam na Biashara wametolewa

    Hili niliseme maana naona wengi wanafatilia mpira lakini hawalijui. Mnyama Simba bado atapanda ndege. Amepelekwa kwenye CAF confederation cup yaani shirikisho kule ambako kina Azam na Biashara wametolewa. Ukiwa mkubwa ni mkubwa tu. Maana watu wanaumia na kwa wale mashabiki wenzangu na mi...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Bado ninakukumbuka Sasha!

    Baada ya kupiga funda mbili za kinywaji kilichopo mbele yangu, nainua macho taratibu kuangalia uelekeo wa mlango wa kuingilia ndani ya eneo/ ukumbi nilimo. Ghafla namwona dada mmoja mrefu wastani, rangi yake maji ya kunde, akiwa amevalia gauni rangi ya samawati (blue) akiingia kwa madaha na...
  15. JamiiForums Tanzania Hivi ile michezo ya watoto wa enzi hizo sasa hivi bado ipo?

    Habari zenu jamani. Natumaini nyote mko salama kabisa. Mimi niko poa kabisa😊😊 Turudi kwenye mada. Hivi mnajua michezo ya zamani ilikuwa inahimarisha akili na ubongo kwa kuwa mwili unakuwa unafanya kazi? Mdako Ukicheza mdako lazima utumie akili ya namna ya kumfunga adui yako. Hapo unacheza...
  16. 4

    JamiiForums Tanzania Mungu anawakumbusha Mbowe ni wingu tu ndani ya CHADEMA, mvua za mawe bado zimetulia

    Nawasalimu wote kila mmoja kwa imani yake wana JF. Nalazimika kuandika machache Ili nifikishe ujumbe tu. Kichwa cha habari kinajieleza sana, nini namanisha hapa Mh Mbowe ni Mwenyekiti wa chama cha Chadema Tz, anakabiliwa na mashitaka ya UGAIDI, maana nyingine wapenzi, wanachama wote...
  17. JamiiForums Tanzania Tairi za gari bado mpya zinauzwa bei ya kutupa

    Kwa gari za pori Toyota hilux, land cruiser tairi hzo size 15, used zinauzwa, zipo Dodoma. zote 4 kwa laki 6 (tsh 600,000) No ya simu 0716226603
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Majirani, je kwa bei hizi mpya za internet, TZ bado tuna nafuu au tumekuwa de-throned

    Leo hii huku tz mtandao cheap wa internet kwa jina la Halotel, wameamua kupandisha gharama sasa nikawa najiuliza, is tz still the cheapest in mobile internet?? Zifuatazo ni bei Kwa sasa average price ya gb ni kama 1350 tzs / 65.2 kes rate ( 1 kes = 20.7 Tzs) Huko kwenu majirani hali ikoje??
  19. JamiiForums Tanzania Huyu nyuki bado sijamuelewa

    Hapo vipi Jana majira ya mbili usiku, nikiwa ofisini kwangu,ghafla nyuki akaning'ata katika mkona wangu wakushoto juu ya kiwiko binafsi siku muona kabisa ila nilihisi maumivu tu. Cha ajabu leo nasikia harufu ya nyuki mwilini. Binafsi nahisi sio nyuki wa kawaida -- usiku nyuki atoke wapi...
  20. JamiiForums Tanzania Jerry Muro ndiye DC pekee ambaye bado ana U-Sabaya USabaya?

    Mimi ni kada kindakindaki wa Chama cha mapinduzi lakini ningeomba katika andiko langu nichukuliwe kama mzalendo anayependa maadili ndani ya chama na serikali ya Mama yetu mpendwa. Kama DC Muro ana wapambe wake humu na itawagusa basi wacha iwaume lakini wajifunze. Jerry Muro binafsi nimekua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…