Huyu nyuki bado sijamuelewa

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,061
3,683
Hapo vipi

Jana majira ya mbili usiku, nikiwa ofisini kwangu,ghafla nyuki akaning'ata katika mkona wangu wakushoto juu ya kiwiko binafsi siku muona kabisa ila nilihisi maumivu tu.

Cha ajabu leo nasikia harufu ya nyuki mwilini.

Binafsi nahisi sio nyuki wa kawaida -- usiku nyuki atoke wapi?

Embu kwa wataalam naombeni ushauri juu ya hili.
 
Nyuki wanaongeza kiasi cha asali mwilini mawa wakung'atapoo.... you become more sweet than before
 
Back
Top Bottom