bado

Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa hivi 'Vyuma' vitano nilivyoviona jana hoteli moja kuna Klabu itachukua Ubingwa NBC bado Mechi 15

    Kudadadeki TFF andaeni kabisa Kombe la NBC kwa Msimu ujao wa 2023/2024 kwani kwa vyuma vitano hatari nilivyoviona Mwenyewe na ninavyowajua Uwezo wao mkubwa Uwanjani kuna Timu itabeba Vikombe vyoye vya Tanzania (hata hiki changu ambacho GENTAMIYCINE nanywea Uji wangu wa Ulezi, Mhogo, Karanga na...
  2. JamiiForums Tanzania BBC: Kampuni ya Shell bado inanunua mafuta Urusi

  3. N

    JamiiForums Tanzania Suala la DP World nahisi bado naota. Ni kweli kabisa Viongozi wetu waliukubali mkataba wa hovyo kama huu?

    Habari wakuu, Hapa nipo nimekaa namtafakari Rais wetu, Waziri Mkuu wetu, Mawaziri wetu na wabunge wetu. Ni kweli kabisa walikubali kuuchukua huu mkataba na akili zao au Kuna kitu kipo nyuma yake? Bado naona Kama naota, maana mkataba wenyewe hata mtoto wa Darasa la Saba ukimpa ausome anaukataa...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Miaka karibu 10 ya Jafo ubunge Kisarawe bado maji ni ya chumvi. Kuoga mpaka uogee detergents

    Huyu Jafo hakuna lolote analofanya Kisarawe mkoa wa Pwani. Ni ujanja ujanja tu nashangaa anapaje Uwaziri wakati uwezo wake mdogo sana. Mpaka Leo wananchi wa Kisarawe hawana maji mpaka ya kunywa ni shida mpaka wategemee mvua inyeshe. Kuoga mpaka uogee sabuni ya unga vinginevyo sabuni ya kawaida...
  5. JamiiForums Tanzania UTATA: Majadiliano na DP world bado, lakini serikali yetu inajivunia faida za DP world!

    Huenda labda ni kuchanganyikiwa au kutokujipanga kwa viongozi wa Tanzania katika kutetea mkataba wa uwekezaji wa bandari baina ya DP world na Tanzania. Kumekuwa na kauli za kukinzana na kuvuruga kutoka kwa viongozi watetezi wa sakata hili ili kujibu shutuma za Bandari yetu kutolewa bure na...
  6. JamiiForums Tanzania Huku waliokufa kwa Uzembe Wao wakiwa hata bado hawajazikwa, Kampuni yatangaza tena Safari kwa wanaotaka Kufa kule kule kwa mwaka 2024

    Kampuni ya OceanGate Expeditions inayomiliki chombo cha majini cha Titan imetangaza safari zake kwa msimu wa 2024 kwa gharama ya $250,000 [TZS milioni 603] kwenda kuona mabaki ya meli ya Titanic. Hivi karibuni watu watano walifariki dunia baada ya chombo chao kupotea kikiwa karibu na mabaki ya...
  7. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwa usawa huu bado kuna umuhimu au ulazima gani kufanya tendo la ndoa siku iliyofungwa ndoa?

    Nachojua tendo la ndoa siku ya kwanza lilikuwa na heshima zaidi endapo binti alikuwa ni bikra, ila kwa sasa hali imebadilika sana, ni mabinti wachache sana utabahatoka kuwakuta na bikra original (zipo za kutengeneza). Na hata hivyo mapenzi ya siku hizi ni shake well before use, Ebwana wee! watu...
  8. JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

    Miaka zaidi ya 25 iliyopita ISSA Shivji alikuwa miongoni mwa watu waliiongoza mijadala ya kupinga ubinafsishaji uliokuwa inafanywa na serikali ya Mkapa...aliendika Makala nyingi Sana na midahalo mingi Sana alishiriki...Issa Shivji, Jenerali Ulimwengu na wengine Wengi....cha ajabu kabisa juzi...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Wahenga hawakukosea, tamaa mbele mauti nyuma: Huyu boss wa Wagner alipewa tenda yote kulisha majeshi ya Urusi, bado hakutosheka!!

    Fikiria jamaa alikuwa anapata mabilioni mangapi kwa kupewa tenda ya kulisha majeshi yote ya Urusi!! Lakini bado akawa hajaridhika na kuwa na bifu na waziri wa ulinzi na mkuu wa majeshi wanaoidhinisha tenda yake!! Bila shaka alitamani yeye ndio awe top kwenye jeshi la Urusi!! Sasa atakula jeuri...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ndio DP World, kwa Kelele Hizi bado utakuwa na moyo wa kuwekeza?

    DP world wakiendelea na huu Mkataba na uwekezaji wake basi nitajua kuna kitu kimejificha nyuma ya pazia. Mwekezaji lazima awe na wasi wasi pale wenyeji wanapoonekana hawajafurahiswa na uwekezaji wako. Je watapata ushirikiano? Ningekuwa mimi ndio DP world huu mradi ningeupiga chini tu. Then...
  11. JamiiForums Tanzania Kwa saini yako kwenye mkataba wa DP World, Waziri wa Ujenzi na uchukuzi bado upo madarakani kweli?

    Najiuliza tu, ni kweli wewe waziri wa Ujenzi ulisaini ule mkataba ukiwa na akili timamu? Nini hasa ilikuwa dhamira yako? Nani alikuwa nyuma yako? Wewe na waliokuwa nyuma yako mnajisikiaje kwasasa? Je, ni Mtanzania yupi mwenye akili timamu anaweza kukuamini wewe kwasasa? Huoni aibu kwani? Na...
  12. JamiiForums Tanzania Wakili Msomi Pascal Mayalla, umemsikia Prof. Shivji? Bado unatuita watanzania Wajinga?

    Pengine Prof. Tibaijuka unaona labda anazeeka haraka, Pengine Lissu unamuita Mwanaharakati, Pengine Mbowe unamuona asiye na taaluma ya Sheria na wewe tu ndio mwanasheria, pengine Akina Dr Nshala, Akina TEC na Watanzania hawa mtaani ambao sass wanaamini Nchi imeuzwa, wanahoji kwanini Mkataba...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Hivi ile peremende ya maridhiano na upatikanaji wa katiba mpya bado ipo vinywani mwa wapinzani ama imeyuyuka??

    Huyu rais Samia anapaswa kuangaliwa kwa jicho la tatu. Anajua kucheza na akili za watanzania kweli kweli. Kabla ya kumleta mwarabu alianza kwa kuwaweka sawa wabunge (kama alivyotujuza mbunge wa CDM Aida Kenan). Aliwapeleka Dubai kwa ziara ya "mafunzo". Wakala bata na kupewa cha mfukoni. Suala...
  14. R

    JamiiForums Tanzania TLS waungane na Mbowe kuitafakarisha Serikali; nchi bado ina watu wazalendo. Hongera Sungusia

    Aliposema Mbowe ilionekana upinzani; aliposema Kitima ikaonekana Udini; akasema Warioba ikaonekana uzee unasumbua; akisimama Dr. Slaa akaambiwa alihongwa; Tundu Lisu hakujibiwa kabisa kama ilivyo kwa Lipumba na wazalendo wengine. Sasa imekuja taasisi ambayo inaundwa na watu wa vyama vyote; dini...
  15. JamiiForums Tanzania Una uhakika bado hujafa?

    Kama hauyajui maisha baada ya kifo, nini kinakuaminisha kuwa wewe bado haujaaga dunia?
  16. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yanga ndiyo club ya kwanza duniani yenye mkopo na bado ikapata faida ya million 500

    Yanga wameweka financial statements report yao juzi kwenye mkutano wao mkuu. Ila kwa sisi wana uchumi wa brat na trap kuna sehemu haijaeleweka na tena viongozi wao wanajisifu kabisa. Ni kwamba kwa mwaka wa fedha 2022/23 wameingiza faida ya million 500. Ukiangalia kwenye mapato yao wana...
  17. JamiiForums Tanzania SoC03 UKIMWI Bado ni Tishio, Tukuchukue Tahadhari

    VVU ni nini? Hiki ni kifupisho cha neno Virusi vya Ukimwi, na Ukimwi ni kifupisho cha Upungufu wa Kinga Mwilini. Ugonjwa wa VVU/UKIMWI (Virusi vya Ukimwi/ Upungufu wa Kinga Mwilini) umeingia Tanzania mwanzoni mwa miaka ya 1980, ambapo watu waliupa majina mbalimbali, yakiwemo “Juliana”, “Slim”...
  18. JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima asema ahadi yake kwa wakazi wa Kawe kuwapeleka Birmingham (Uingereza) bado ipo

    Baada ya kuwepo kwa maneno mengi ya utani na mengine ‘serious’ kuhusu ahadi aliyoitoa kwa kwa baadhi ya wanakazi wa Kawe (Dar es Salaam) kuwa atawapeleka Jijini Birmingham Nchini England, hatimaye akizungumza katika mahojiano ya kipindi cha Jahazi cha Clouds FM, Mbunge wa Kawe, Josephat Gwajima...
  19. JamiiForums Tanzania Je, inawezekanaje watu milioni 60 kuwalillia kwa machozi ya damu watu wasiozidi 20 na bado wakaleta dharau?

    Hivi hii mifumo ya kiutawala hapa duniani na nchini kwetu huwa ina siri gani ndani yake? Mfano kwa hapa Tanganyika, watu milioni 60 wanalia na kusaga meno, tena huku wakiwapigia magoti Watu wasiozidi 20, kuwaomba wasiingize nchi utumwani kwa kugawa bure rasilimali za taifa, lakini kwa dharau na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…