Julio Gil Bado (born 3 June 1983) is a Spanish-Gibraltarian footballer who currently plays for Gibraltar National League side Europa Point, where he plays as a midfielder. He has one cap for the Gibraltar national team.
Denis Kasia a.k.a Lokasa ya Mbongo, mpiga gitaa la maarufu nchini DRC asie na mpinzani, leo ni miezi mitano tangu amefariki na bado hajazikwa. Inasemekana kuna mgogoro azikwe wapi.
R.I.P mchawi wa gitaa la Rhythm.
Kuna makosa mengi watu wanafanya.
1: Kutumia kitabu cha biblia kama ulinzi dhidi ya wachawi au majini ni kuifanya kama irizi.
2: Kukariri mafungu alafu uyatumie kutetea dini, kubishania au kuonyeshq umwamba wako wa kukariri haisaidii.
UFANYE NINI SASA
Soma biblia, weka kwenye kumbukumbu...
Wakuu samahani naomba ufafanuzi Kwa suala la bandari linaloendelea kuwa kubwa nchini. Hizi kelele za upingaji MKATABA ni kutokana na nini? Muda wa MKATABA kuhusu bandari? Terms and conditions zilizomo? Udini?
Au kelele hizi ni kutokana na kuvuja kwa MKATABA? Mikataba mingine tusiyoipigia...
Baada ya Safu ya viongozi TANESCO kubadilishwa siku chache zilizopita tulitegemea kidogo mabadiliko ya kukatwa kwa umeme, lakini cha kushangaza bado umeme umeendelea kuwa mwiba kwa sisi wafanyakazi tunaotegemea umeme kuendesha shuguli zetu.
Unaamka Jumatatu unasema nijikongoje leo nipige kazi...
Mh Waziri wa Elimu Prof Adolf Mkenda okoa mstakabali wa maisha ya binti huyu.
"Kaka Yericko pole na Majukumu, Naomba kaka nisaidie, mtoto huyu kwenye picha anaitwa SIFIKA DANIELY RUBEN, naomba apate Haki zake, Ipo hivi kaka, Nilikuwa natafuta binti wa kazi za ndani, Nikapata binti kutoka...
Ilikuwa 2002, nikiwa na miaka 8 tunilipata ajali mbaya tena mzaingira ya mbali na nyumbani.
Kwa wakazi wa mtoni mtongani kuna sehemu panaitwa ngazi mia kule relini. io siku mimi na jamaa zangu baada ya maumziko ya shule tulienda kutembea maeneo ya relini,zile ngazi zilikuwa nyingi sana...
Umuofia kwenu....!
Kati ya mwaka 2018 na 2020 Tanzania ilipitia changamoto za uhaba mkubwa wa Cement na bei kuanza kupanda kiholela. Lakini baada ya kulifuatilia suala lile, nikaja kugundua kwamba, kuadimika na kupanda kiholela kulisababishwa Zaidi na utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi...
Akizungumza na Jarida la Jeune Afrique, Rais wa Rwanda, Paul Kagame amethibitisha kuwa atawania nafasi hiyo kwa mara ya 4 kwasababu Wananchi bado wana imani naye.
Kagame aliulizwa anachukuliaje uamuzi wake kwa kulinganisha na Mapinduzi yanayoendelea katika Nchi za Afrika Magharibi, ambapo...
Ni lini mtanijengea Sanamu langu GENTAMYCINE hapa JamiiForums au basi hata tu Kunupigia Salute kama Heshoma, kwani huwa nawapeni Taarifa kabla na Uhalisia wake huwa kuja kuwa Kweli.
Kama tu uliangalia Mechi Mbili za Wakubwa wa Tanzania jana ile ya Ndola Zambia na Kigali Rwanda nina uhakika...
Kwa Msioelewa, C-section ni Upasuaji wa kumzalisha Mama (kutoa mtoto/watoto) Kwa Kizazi kwa njia ya upasuaji.
Toka Nilipolala usiku wa kuamkia Jana, mpaka Leo sijalala yaani 24 hours bila kulala.
Kuweni na Huruma Enyi Viongozi, Hivi mtu toka saa Mbili usiku uko Chumba Cha Upasuaji ...
Haya Watanzania Wote hasa hasa wale Mashabiki wa Makafara FC mlioko Jijini Kigali nchini Rwanda mmeombwa Kujitokeza ili Kuchangia Damu Jini letu lifurahi na baadae tutaenda kutoa Misaada kwa Watoto Yatima ( hasa Wadogo wasio na Dhambi zozote bado ) ili kupata Baraka zao ili Mwarabu Afe / Aumie...
Mpaka ufikie level ya kuwa tajiri, ni lazima uwe umefanyiwa umafia hadi na wewe unakuwa mafia mkubwa.
Utajiri ni himaya, kila jicho linaiangalia himaya kwa husda. Kuna uchawi, ujambazi, figisu na michezo yote michafu.
Ukiwa tajiri utajilinda wewe na uzao wako kiroho, kimwili na kitàaluma ili...
Leo nimeona nitumie haki yangu ya kikatiba kueleza sababu chache za muhimu kwanini CHADEMA bado wanastahili kuadhibiwa kwenye sanduku la kura na wazalendo wote. Kwanza kabisa niseme kuwa sina chuki yoyote na hiki chama kinachojifia. Mimi kama mkristo ninaamini kila kitu kina mwisho wake...
Kwa mara ya kwanza unapoingia kwenye mahusiano na mtu, unakuwa hujisikii huru sana kuwa naye, lakini baada ya muda una mzoea mtu huyo na kuanza kuona kila kitu kipo sawa kwako.
Kwa mara ya kwanza unapoingia kwenye biashara, unakuwa pia hauko huru sana na biashara hiyo, lakini inafika muda...
Kitambo hiyo zama za mwamba Mwalimu Nyerere Rais wa kwanza wa Tanzania Filling station zilikuwa na majina maalum kutoka nchi za mabeberu, SHELLY, CALTEX, AGIP, BP, ESSO, TOTAL, peke yake sio sasa hivi hata mimi naweza kuanzisha filling station yangu na nikaipa jina la mwendawazimu yeyote kati...
TNMC kulipisha wanachuo 30000 ili waapewe coupon za kufanyia mtihani na bado tena mwanafunzi analipishwa 150,000 kufanya mtihani.. Hili ni Janga upigaji kila Kona
Baraza la wauguzi na wakunga TNMCS imeendelea kutuma taarifa za kuzisambaza kwa wakuu wa chuo kimya kimya ikiwataka wanachuo...
Mimi ni mwanafunzi nilie maliza kidato cha nne naomba kuulza ni kozi ipi nzuri ya ajira naweza kusomea na ikawa rahisi kuajiriwa au kujiajiri yani ambayo bado ina fursa nzuri za ajiraa.
Rais Samia ametoa kauli hiyo kwenye ufunguzi wa Kikao cha Maofisa Waandamizi wa Jeshi la Polisi, ambapo amesema amekuwa akipata jumbe zinazoonesha bado kuna Kesi za Kubambikizwa kwenye Vituo vya Polisi Nchini.
Rais amelitaka Jeshi la Polisi kulifanyia kazi tatizo hilo ili wanaofikishwa kwenye...
Ukihitaji salamu nenda uswahilini, kwangu utaula wa Chuya!
Sikutishi Sikupangii lakini huu ndiyo uhalisia wenyewe, ipo siku utalia na kusaga meno.
Yaani binti mzima mwenye umri kuanzia 18 - 30, hufanyi shughuli yeyote na huwezi kuzitumia nguvu zako kwenye uwekezaji wa maisha yako na mwanao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.