Gen Z Jihadharini na UKIMWI: Bado Upo na Unaua!

Gen Z Jihadharini na UKIMWI: Bado Upo na Unaua!

Kichuguu

Platinum Member
Joined
Oct 11, 2006
Posts
18,064
Reaction score
25,158
1782942619698.png

Star mrembo wa Holywood alikuwa na miaka 36 tu kakauka kwa umeme,

Kuanzaia mwaka 1985 hadi 1995 Ukimwi ulikupurukitsiha sana vijana lakini baada ya ARV kugunduliwa, inaonekana vijana wengi wamesahahu kuwa ukimwi bado upo.
 
Tufe tuu, tumeshajaza dunia, ardhi ipumue sasa
Kuna kipindi nikiwa UDSM tulikuwa tunazika kuanzi wawilina zaid kwa wiki, hasa kipindi kati ya 1988 hadi 1994. Chuo kilipungukiwa sana wafanyakazi vijana, hasa wale wa ngazi za chini
 
Kuna kipindi nikiwa UDSM tulikuwa tunazika kuanzi wawilina zaid kwa wiki, hasa kipindi kati ya 1988 hadi 1994. Chuo kilipungukiwa sana wafanyakazi vijana, hasa wale wa ngazi za chini
Safi sana 😎
 
Sasa hivi kuna saratani, figo na maradhi ya moyo, vinauwa sana. Ukimwi ukasubiri.
 
Back
Top Bottom