baba

A rum baba or baba au rhum is a small yeast cake saturated in syrup made with hard liquor, usually rum, and sometimes filled with whipped cream or pastry cream. It is most typically made in individual servings (about a 5 cm tall, slightly tapered cylinder) but sometimes can be made in larger forms similar to those used for Bundt cakes.
The batter for baba includes eggs, milk and butter.

View More On Wikipedia.org
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Kigoma: Mtoto adai urithi kwa baba yake mahakamani

    Ama kweli ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni. Wakati baadhi ya wazazi wakifurahia mafanikio ya watoto wao, hali ni tofauti kwa Mzee Kharid Segeleje (80), aliyefikishwa mahakamani na mwanaye wa kumzaa. Mzee huyo ambaye ni mkazi wa Kijiji cha Mwamgongo wilayani Kigoma, amefikishwa Mahakama...
  2. Sam Gidori

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Aharibu mali zenye thamani ya Tsh. Milioni 4 baada ya Mke kugoma kubaki nyumbani kusherehekea Siku ya Akina Baba Duniani

    Mwanaume mmoja kutoka Kijiji cha Gichugu Kaunti ya Kiriyanga nchini Kenya ameharibu mazao yanayokadiriwa kuwa na thamani ya Shilingi za Kenya 200,000 (sawa na Tsh. milioni 4.3 ) baada ya mke wake kukataa kubaki nyumbani kusherekea Siku ya Kina Baba Duniani. Kwa mujibu wa mashahidi, mwanaume...
  3. B

    JamiiForums Tanzania Bhoke Nyerere ni mtoto wa nani kwenye familia ya Hayati Baba wa Taifa?

    Mjukuu anayeambatana na Mama wa Taifa kwenda kutoa pole kwa Mama Janeth Magufulu yamkini ni mjukuu mwenye malezi na makuzi Kama ya mama wa Taifa. Namzungumzia Bhoke Nyerere aliyeambatana na Mama Maria Nyerere kwenda kwenye familia ya Mama Janeth Magufuli kumkabidhi zawaidi ya kitenge lakini pia...
  4. Replica

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mavazi aomba muongozo wa Dawati la kina Baba, Spika amuunga mkono

  5. Mchochezi

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuaje hadi urafiki wa baba na jirani yake tolu kuvunjika?

    Wakati wa uhai wake, marehemu baba aliwahi kuwa na urafiki na majirani zake, mmoja wapo ni tolu. Hata pale baba alipopata uongozi wa kijiji ushauri mwingi aliutoa kwa jirani tolu. lakini katika siku za mwisho za uhai wake hapa duniani, baba alikosana mno na jirani yake tolu, wakawa hata...
  6. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Je, kwa mshahara wa Shilingi 310,000 unaweza kuishi Dar es Salaam?

    Habari wadau! Ebu nisaidieni hivi kweli 310,000/= inatosha mtu kufanya kazi na kuishi DAR au unatakiwa kuwa na miundombinu mingine?
  7. mama D

    JamiiForums Tanzania Mwanaume na baba wa kiroho amekwishasema, mimi mwanamke napingaje sasa?

    Kaka zetu na vijana wetu wa kiume mpo? Baba mchungaji keshasema hivyo Kuna msemo babu yangu alikua akiwaambia wajukuu zake wa kiume "... kabla hujaja kuniambia unaoa uniambie una mali gani maana kama ni kupata mke tuu hata nyani akijenga nyumba atapata mwanamke wa kuoa" kweli wahenga ni...
  8. Ta Muganyizi

    JamiiForums Tanzania Kamuachisha shule binti yangu, kamuoa. Anasema hakuna wa kumfanya lolote Serikali hii

    Habari za leo wapendwa. Sijui ni dharau kwa serikali ama siasa moe sielewi. Kuna baba mtu mzima ana watoto wakubwa. Binti yangu alikuwa anasoma Sengerema kidato cha sita. Huyo baba kamuachisha binti yangu shule na kumuweka ndani kinyumba. Huyo baba anasema Serikali hii hakuna wa kumfanya...
  9. Ushimen

    JamiiForums Tanzania Huyu Head Teacher alinikosea sana kwa kumshukuru baba

    Ilikua mwaka 1992, sikuzile tukijiita LY. Sasa hatukua na mziki kwenye umaliziaji. Nikiwa kijana, nikijana nikajipiga kifua, baba alikua na radio santuri ya sahani mbili sikuzile. Nikicho kifanya ni kuzama store kwa mzee, na nikachukua baiskeli (swala) ya baba, kijana nikaifunga santuri kwenye...
  10. Mantombazane

    JamiiForums Tanzania Baba wa Taifa angekuwepo angeyasema haya kuhusu Bunge

    Baba wa taifa Mwalimu Nyerere alikuwa ni jasiri sana kuwanyooshea vidole viongozi wazembe na wasiojielewa huku akitumia maneno makali bila woga muda wowote wanapomkera au wanapofanya ndivyo sivyo. Alitumia maneno kama wahuni, wapumbavu, wajinga nk. Mfano angekuwepo leo angesema bunge letu...
  11. mama D

    JamiiForums Tanzania Ujumbe makini kwa mabinti toka kwa baba wa kiroho - "Mabinti msijilazimishe kwa wanaume"!

    Wanaume wengi kwenye mambo ya kujirusha wanaangalia vitu vya nje vile vinavyotamanisha, kuwapa mzuka na kuwatega ila inapokuja kwenye suala la kuoa huwa wanaangalia mke na sio mwanamke tuu. Wanaangalia mambo ya ndani kama tabia na akili ya maisha na sio yale mambo ya nje tena. Ya ndani yakiwa...
  12. Ugumu wangu

    JamiiForums Tanzania Baba Swalehe uko wapi Mkuu?

    Jamani wana JF namtafuta huyu rafiki yangu wa siku nyingi sana humu Nyumba ya furaha, lakini simsikii kabisa baba Swalehe uko wapi nakutafuta mkuu?
  13. Z

    JamiiForums Tanzania Ole Sabaya anatetewa na Wananchi wasiokuwa na mihemko wala Visasi vya Siasa Uchwara za Jimbo la Hai. Acheni haki itendeke

    SABAYA ANASEMEWA NA WANANCHI WASIOKUWA NA MIHEMKO WALA VISASI VYA SIASA UCHWARA ZA JIMBO LA HAI Kwanza nianze kwa ku- declare interest Mimi sijawahi kumwona ana kwa ana Dc Ole Sabaya bali nimeanza kumfatilia vema kipindi ametatua tatizo la utapeli lililowapata zaidi ya wanafunzi 500 wa Chuo cha...
  14. I

    JamiiForums Tanzania Je, ni sawa kupiga stori za mapenzi na Shangazi yako?

    Habari wana jamvi! Kwangu mimi binafsi hili swala la kuweza kufunguka mahusiano ya kiundani ya madem zangu naowagonga kwa shangazi au mama mdogo ni ngumu sana. Siku za hivi karibuni nilienda kwa mshkaji wangu flani hivi tunamwitaga Mesi, anaishi nyumbani kwa shangazi yake ambae ameolewa na...
  15. EINSTEIN112

    JamiiForums Tanzania Turudi nyuma utotoni, huwa una-enjoy ukitoka/kusafiri na baba au mama?

    Naomba niwe mkweli. Mimi enzi hiyo nikitoka na mshua naenjoi saana yaani; kila kitu ntanunuliwa na iwe icecream, juisi, karanga nguo, viatu fresh ila maza alikua anabana saana aisee. Hebu nipe upande wako nani ulifurahi kutoka nae, Maza au dingi? Kikao kimeanza
  16. May Day

    JamiiForums Tanzania Nini kifanyike kukomesha Wanaume kuwatelekeza Mke na Mtoto/Watoto wao?

    Ni jana tu tulikuwa tunazungumza na Mtu akanieleza namna ambavyo Dada yake alivyopambana na maisha mpaka kufikia kujijenga kiuchumi, aliweza kujijengea vyumba vyake viwili vya kuishi na biashara yake ya duka la rejareja. Baadae alipata mwenza na kubahatika kupata Watoto wawili, baadaye Baba...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Simba SC ni baba anayeishi na mtoto snitch msaliti wa hali ya juu

    kwa mara ya pili in 3 years ligi ya Tanzania inaenda kuingiza teams 4 Afrika leo hadi biashara na kmc wanapambania nafasi ya 4 sababu lolote linaweza kutokea,lakini anayesababisha yote hayo anapigwa vita kwelikweli yaani ni vita kweli soyo ya maneno tu ni ya vitendo: Mwaka juzi kuna team...
  18. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Chemsha bongo: Kusafiri baba na mtoto wa kike wa miaka 10

    Salaam Naleta mada hii kama chemsha bongo. Huwa natafakari Sana. Je kama Baba napenda mwanangu wa pekee wa kike mwenye umri Kati ya miaka minane na kumi nambili, napenda kwenda nae safari ya mbali kwa sababu mbalimbali ukiwa ni pamoja na holiday tu. Napenda kusafiri na mwanangu, pengine...
  19. U

    JamiiForums Tanzania Aliyekodi watu na kumuua baba yake ahukumiwa kunyongwa

    Mahakama Kuu Kanda ya Sumbawanga, imemhukumu Seni Lisesi adhabu ya kunyongwa hadi kufa baada ya kumtia hatiani kuhusika na mauaji ya baba yake mzazi. Lisesi (33) mkazi wa Kijiji cha Mwadui wilayani Sumbawanga, alidaiwa kuhusika kwenye mauaji ya baba yake Lisesi Magadula (50) ili arithi mali...
  20. Tajiri wa upendo OG

    JamiiForums Tanzania Mtoto wangu hataki kuniita Baba nifanyaje?

    Habari ndugu, jamaa, na marafiki kama mada inavyojieleza hapo juu mimi naishi na mke wangu pamoja na watoto wawili wa dada zangu ambao wametangulia mbele za haki. Shida kubwa inayokuja ni huyu mtoto wangu na yeye amejikuta ameingia kwenye mkumbo wa kuita uncle kama wenzake wawili wanavyoniita...
Back
Top Bottom