baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Fabian Vitus

    Chanzo cha kuvimba uume siku moja baada ya tendo la ndoa ni kiashiria cha nini?

    Ndugu Wana JF, Kama Uzi unavyojieleza mwamba nimekutana na jambo, nimemshona mtoto wa mtu uko sasa siku iliyofuata natazama uume umeanza kujaa. Matabibu mliopo umu msaada katika hili, tupanuane mawazo nijue nini kinanikabili. Kuna hali fulani ya maumivu tu, naomba mnifungue ubongo 🙏
  2. benzemah

    Chalinze: Ndugu wazika maiti isiyo yao, ilisafirishwa kutoka Kilimanjaro na kuzikwa Kiislamu wakati ni ya Mkristo

    Ilikuwa mshtuko baada ya ndugu wa marehemu Steven Hamis Massawe (60) kufika chumba cha kuhifadhia maiti katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Kilimanjaro Mawenzi na kuukosa mwili wa ndugu yao. Tukio hilo lilitokea juzi, baada ya ndugu hao kufika hospitalini hapo kwa ajili ya kuuandaa mwili kwa...
  3. MK254

    Hali ya watu kufa kwa kurushwa dirishani yarejea tena Urusi baada ya uasi

    Haya mambo ya mahasidi wa Putin kufa kwa kurushwa dirishani yalikua yametulia, naona yanarejea tena... RUSSIAN bank vice-president has mysteriously died after plunging from a window at her apartment in Moscow. Loko-Bank executive Kristina Baikova, 28, reportedly fell out of the window of an...
  4. GENTAMYCINE

    Chukueni hii kumhusu Kocha Nabi kwani huenda ikaja kutokea baada ya 'Kubuma' huko kwa 'Madiba' Bondeni

    Ataambiwa atulie Kwanza Kwao nchini Tunisia au ataletwa kwa muda kwa Ndugu zao Singida Fountain Gate FC kisha Gamondi atachezeshewa Mtego hasa kama atakutana na Simba SC iwe katika Ngao ya Jamii au Mechi za Awali za Klabu Bingwa na ikoonekana anakomaa (anashinda) Wachezaji Waandamizi wa Klabu...
  5. Webabu

    Marekani yaongeza vifaru vya Bradley Ukraine baada vya mwanzo kupigwa vibaya.

    Baada ya idadi kubwa ya vifaru vya Ukraine kuripuliwa miongoni mwao vikiwemo idadi kubwa ya Bradley kutoka Marekani sasa riaisi Biden ameamua kumuongezea Zelensky vifaru vingine katika vita vya kutaka kurudisha maeneo yaliyomegwa na Urusi.
  6. GENTAMYCINE

    Baada ya Serikali kuruhusu rasmi Mabasi Kusafiri 24hrs haya ndiyo Maombi yangu Makuu kwa Wahusika

    1. Naomba katika Siti za Mabasi iwe ni Sheria kwa Abiria Kukaa kwa Jinsia tofauti. Hapa namaanisha ikitokea GENTAMYCINE nasafiri nitapenda Abiria Mwenzangu awe ni Mrembo cocastic na siyo Dume lenzangu adriz 2. Tukiwa Safarini huku tukiwa tumekaa kwa Jinsia zetu tofauti naomba iwe ni Sheria...
  7. MK254

    Jenerali wa kwanza akamatwa baada ya tukio la Wagner

    Huyu jenerali ni yule alisifiwa sana humu kwamba ndiye kiboko kwa Ukraine ila akaishia kuwa utopolo, majenerali wanaoshukiwa kuunga uasi mkono waanza kusakwa na huyu kawa wa kwanza kuliwa.... A top Russian general has 'vanished' amid claims he had advance knowledge of the weekend armed revolt...
  8. BARD AI

    Madonna alazwa 'ICU' baada ya kupata Maambukizi makali ya Virusi

    Madonna ameahirisha ziara yake baada ya kuwa mgonjwa na kukaa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwa siku kadhaa. Taarifa iliyotumwa kwenye Instagram na meneja wa mwanamuziki huyo wa Marekani, Guy Oseary, ilisema: "Siku ya Jumamosi Juni 24, Madonna alipata maambukizi makubwa ya bakteria ambayo...
  9. Richard

    Baada ya tukio la Jumamosi, Putin, Lukashenko na Prigozhin wameuthibitishia ulimwengu kwamba wao ni "gangsters" halisi na Russia si nchi ya kuichezea

    Kwa hayo yaliyotokea Jumamosi yameithibitishia dunia kwamba Russia ni nchi kubwa, na hatari sana duniani kwa kila kitu. Pia Putin, Lukashenko na Prigozhin ni watu hatari sana na ni wale twasema "real gangsters". Prigozhin amewahi kufungwa jela kama miaka 10 hivi na akatolewa kwa msamaha wa...
  10. BARD AI

    Mwili wa Marehemu kufukuliwa ili uzikwe upya baada ya utambuzi

    Mwili wa kijana mmoja unaosadikika kuwa miongoni mwa miili mitano iliyopatikana eneo la Mlima Senjele wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe Mei 10 mwaka huu, umefukuliwa baada ya kutambuliwa kwa picha kisha kwenda kuzikwa kwao. Kamanda wa Polisi Mkoani hapa ACP Theopista Mallya amewaambia waandishi wa...
  11. Li ngunda ngali

    Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

    Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?! Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?! Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu...
  12. M

    SoC03 Baada ya ahsante kuisha, tuboreshe!

    Ahsante kocha Nabi! Ahsante Bernard Morrison! Ahsante Jonas Mkude! Ahsante Kali Ongala! Ahsante Abdallah Shaibu! Ahsante Erasto Nyoni! Ahsante Cleophace Mkandala! Ahsante Dickson Ambundo! Ahsante Beno Kakolanya! Ahsante Nelson Okwa! Ahsante Agrey Moris! Ahsante Mahamoud Mroville! Ahsante Bruce...
  13. Roving Journalist

    Spika Tulia Ackson asitisha Shughuli za Bunge kwa Dharura, awataka wabunge kutoka nje kwa haraka

    Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 56, leo Juni 27, 2023. === UPDATE; Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Tulia Ackson amesitisha shughuli za Bunge asubuhi hii wakati Naibu Waziri wa Wizara ya Ujenzi na uchukuzi Mhandisi Godfrey M. Kasekenya...
  14. FaizaFoxy

    Taliban, kiboko ya USA wafanya gwaride la kuonesha vifaa walivyomteka USA baada ya kumtandika mpaka akatoka mbio

    Taliban huko Kandahar Afghanistan wamefanya gwaride la aina ya kipekee duniani, haijawahi kutokea. Gwaride la kijeshi ambalo. Limehusisha vifaa walivyoviteka tu. Taliban walivamiwa na majeshi ya Marekani (USA) yakishirikisha majeshi ya nchi 30 za NATO. Taliban hawakukubali, wakaingia vitani...
  15. Oscar Lyrics

    Lilikuwa tukio la ajabu.

    Nakumbuka tulikwa kwenye mkesha wa mwaka mpya miaka kadhaa iliyopita, Nilikuwa mimi na rafiki zangu wanne, Tulikuwa tunatembea huku tunaimba nyimbo za mwaka mpya, Ghafla tukaona mtu akiwa juu ya mnyama sijui alikuwa mnyama gani yule, alikuwa kwenye spidi kali mno, alipotufikia alishika breki...
  16. Mwizukulu mgikuru

    Baada ya kutoa nilichojaaliwa kwa mtoto nimepata amani ya moyo

    Kuna muda nilikuwa nikikaa peke yangu najihisi huzuni sana, na nilikuwa sijui huzuni inatoka wapi. Au kuna muda mwingine nikiwa peke yangu najihisi kutaka kulia, kuna mwanamke miaka miwili iliyopita nilikuwa nae katika mahusiano. Baada ya muda akawa amepata ujauzito na alikomaa kwelikweli kuwa...
  17. BARD AI

    Amchoma Kisu Mpenzi wake shingoni baada ya kutishia kumuacha

    David Njuguna (32) mkazi wa Githurai nchini Kenya ametiwa mbaroni kwa kudaiwa kutaka kumuua mpenzi wake Mary Wangechi ambaye inadaiwa alimtishia kumuacha baada ya kugombana. Njuguna ambaye kwa sasa kesi yake inarindima katika Mahakama ya Makadara iliyoko jijini Nairobi anadaiwa kumchoma kisu...
  18. Mavindozii

    Putin anahutubia Taifa muda huu kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner

    Rais wa Russia anahutubia Taifa muda ni kuhusu uasi ndani ya jeshi na kundi la Wagner. Pia soma: SMO yageukia ndani ya Urusi. Wagner group wazidisha taharuki ya uasi
  19. BARD AI

    Adaiwa kuchoma nyumba ya hawara baada ya kutomkuta usiku, mtoto afia ndani

    Mtoto, Ashura Makelebe (4) amekufa kwa kuteketea kwa moto ndani ya nyumba baada ya mtu anayedhaniwa kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mama yake mzazi kudaiwa kuchoma moto nyumba aliyokuwa amelala. Mtuhumiwa huyo ambaye anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa madai hayo, anadaiwa kufikia uamuzi wa...
  20. Meneja Wa Makampuni

    Baada ya kukua nimejifunza yafuatayo kuhusu siasa za Tanzania

    1. Viongozi wote wa tume ya uchaguzi wanatakiwa wachaguliwe na wananchi na wasiwe na chama chochote wala wasihudhurie vikao vya chama chochote wao wafanye kazi yao. Hivyo wajitokeze watu kadhaa kuwania nafasi hizo kisha wapigiwe kura. 2. Spika wa bunge na naibu spika wanatakiwa wachaguliwe na...
Back
Top Bottom