Waziri wa Ulinzi wa Liberia ajiuzulu baada ya Wake wa Wanajeshi kuandamana kushinikiza nyongeza ya Posho

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,376
8,118
1707830156457.png

#LIBERIA: Waziri wa Ulinzi, Prince Charles Johnson III amejiuzulu nafasi yake baada ya Wake wa Maafisa wa Jeshi kuandamana kwa malalamiko ya Waume zao kutoongezewa Mshahara huku wakiishi maisha duni katika kambi za Kijeshi.

Wanawake hao waliandamana na kuweka Vizuizi kwenye Barabara zinazoingia katika Jiji la Monrovia na maeneo mengi ya Nchi wakishinikiza Rais Joseph Boakai kusitisha Sherehe za Kitaifa za Jeshi la Nchi hiyo huku wakimtuhumu Waziri huyo kufuja Fedha za Wanajeshi wanaorejea kutoka Vitani.

Pia, wamedai Wanajeshi wamekuwa na hali mbaya kwenye Mifuko ya Hifadhi ya Jamii, Kutokuwepo kwa Umeme wa Uhakika kwenye Makazi yao pamoja na ongezeko la Rushwa miongoni mwa Vikosi vya Jeshi.

==============

Liberia's Defence Minister Prince Charles Johnson III has resigned following protests by wives of the country's soldiers, who blame him for low wages and poor living conditions in the military barracks.

The women set up roadblocks near the capital, Monrovia and elsewhere in the country, forcing President Joseph Boakai to cancel National Army Day celebrations on Monday.

They demanded the defence minister's resignation, blaming him for a reduction in the salaries of Liberian soldiers returning from peace missions in Mali. The officers’ spouses also decried a lack of social security, electricity shortages and corruption within the armed forces.

The protests started on Sunday near the Edward Binyah Kesselly barracks, in Monrovia.

Mr Johnson, in a statement, says he is stepping down due to the "current political and civil disturbances" occasioned by the protests.

He, however, denied allegations of misusing military funds, adding that his wish was to ensure discipline was instilled in the army.

President Boakai, who was inaugurated in January, through his office said the women's grievances would be investigated and addressed.

BBC
 
Nyie kuna nchi balaa hebu fikiria wake wa maaskari wanaandamana ni ngumu kufikiria kweli kweli
afrika mashariki ndo kuna waafrika mazezeta , nliona Namibia wana chama chao kinafuatilia haki za wafanyakazi waliwazingua wachina hatari pia walikuwa wanacheki ubora wa bidhaa za nje ili kubalance ushinda wa bidhaa za ndan na nje
 
Back
Top Bottom