baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Je, baada ya Muuaji Rasta Kato Kukamatwa Songea je, JWTZ litawaomba Radhi wale Raia 75 iliyowakamata Kawe na Kuwapiga vibaya?

    Katika huu Uzi Kazi yangu Kubwa ni kusoma tu Comments zenu Wajuvi wa Masuala Mtambuka Tanzania.
  2. Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=

    Kiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu. Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta...
  3. Hai yalipuka kwa shangwe baada ya Mbowe kutangaza Mama Samia amechangia milioni 150 Ujenzi wa Kanisa Hai

    Kanisa limelipuka kwa shangwe baada ya Mwenyekiti wa CHADEMA na aliyewahi kuwa Mbunge wa Hai, Freeman Mbowe kupeleka salamu za Amiri Jeshi Mkuu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwamba amechangia TZS 150,000,000/- za Ujenzi wa Kanisa Watu waliokuwa katika Kanisa hilo wameeleza kwamba...
  4. Hatimaye Samia amejipata baada ya kujitafuta kwa muda mrefu

    Safi sana. Mimi binafsi nampongeza kwa kujitafuta na mwishowe kujipata. Kuwa yeye kipaji chake ni uigizaji. Kwa kweli tumtie moyo kwa kuamua kuwa muigizaji. Ni jambo jema. Hiyo kada imewatoa watu wengi hasa jinsia ya kike ambao walikuwa wamepoteza matumaini sehemu nyingine za maisha. Nasubiri...
  5. Nimeghairi kumpatia ujauzito Shamsa baada tu ya kukutana na mabinti wawili wakikicharanga kimombo

    Mipango yangu mimi pamoja na Shamsa imeingiwa kidudu maji. Tulipanga kupeana ujauzito, kisha tumtunze mwanetu mpaka pale atakapofikisha umri wa kwenda shule ili tumnunulie kiufagio na kidumu cha lita 5 akaanze vidudu, aje kutusaidia baada ya miaka 20 ijayo Baada ya kukutana na hawa mabinti...
  6. Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

    Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa. Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa. Haswa ukizingatia...
  7. S

    Wajue waimba gospel wa kike ambao wamevunja ndoa zao baada ya kuwa maarufu

    Tulitarajia waimabji wa gospel waishi maisha ya kumpendeza Mungu (maisha ya kiuokovu). Lkn cha ajabu ni wahuni kama wahuni wengine tu. Gospel ni kichaka tu cha kufichia hulka zao za kiuasherati. Wafuatao ni baadhi ya waibaji wa gospel wa kike waliovunja ndoa zao baada ya kupata umaarufu:- 1...
  8. J

    Ni kweli Karume, Salmin Amour na Wanamapinduzi walioa kwa nguvu mabinti wa Kiarabu baada ya Mapinduzi ya Zanzibar?

    Nimesoma historia ya Zanzibar imejaa mambo mengi ya giza ila nitajiita kwenye hili moja. Je ni kweli Karume, Salmin Amour, Natepe pamoja na karibia ya maafisa wote wa baraza la Mapinduzi walioa kwa nguvu mabinti wa kiarabu, na kihindi baada ya mapinduzi ya Zanzibar? Inasemekana kuwa mke wa...
  9. Rafiki yangu kutoka huko Asia ashangaa baada ya yeye kuondoka na kisha kurudi leo amekuta maendeleo makubwa nchini

    Huyu rafiki yangu Engineer kwenye kampuni tuliyokuwa tunafanya pamoja kazi hapa nchini. Mwaka 2016 aliondoka kwenda kwako, sasa leo amerudi tena hapa nchini, baada ya kukutana nae katika stori mbili tatu, akaniambia watanzania naona sasa mmeamua, naona nchi yenu inakuwa sasa. Kuna mabadiliko...
  10. Baada ya kulitafakari sakata la DP World, nimegundua kuwa waislam walikuwa sahihi

    Wakati sakata lile linapamba moto, liliibuka suala la mkataba wa serikali kudhamini makanisa Kwa fedha ya umma. Hoja yangu inajikita kwenye hoja kwamba sakata la DP world na mkataba wa makanisa vinahusiana sana . Kutokana na hili binafsi napata picha kwamba hili la dp world ni kama kisasi Kwa...
  11. Urusi yafungua ubalozi nchini Burkina Faso baada ya miaka 30

    Burkina Faso imeegemea Urusi tangu Jeshi lilipochukua Madaraka kwa njia ya Mapinduzi Mwaka 2022 kisha kuwafukuza Wanadiplomasia wa Ufaransa na kufunga kambi ya Kijeshi ya Ufaransa Nchini humo. Ufaransa ililaani mapinduzi ya Burkina Faso pamoja na katika Nchi jirani za Mali na Niger. Hatua hiyo...
  12. Video: Msikiti wapigwa chini baada ya handaki la kigaidi kugunduliwa humo

    Badala ya watu kuabudu 'mungu' wao kazi ni maugaidi mpaka kwenye misikiti, karibu kila msikiti una handaki la kigaidi, inabidi ipigwe yote na kufanywa shamba..... The 55th Paratroopers Reserve Brigade soldiers have been fighting in Khan Yunis over the past few weeks. IDF troops dismantled the...
  13. Baada ya kunusurika kifo, Irene Uwoya aokoka!

    Mshindi namba 5 wa Miss Tanzania 2006, muigizaji na mjasiriamali Irene Pangras Uwoya, 35 amempokea Yesu kuwa bwana na mwokozi wa maisha yake! Muigizaji huyo aliyezaliwa na kulelewa katika Ukatoliki, alifikia uamuzi huo baada ya kukumbwa na maswahibu yaliyotishia uhai wake. Mjane huyo wa...
  14. Baada ya maridhiano kuna haja kuendele kususa na kuzira? Njooni mezani, tukae pamoja, tuwe wamoja, twende pamoja!

    Wanabodi Nimeona taarifa ya Mkutano huu humu Mkutano Maalum wa Baraza la Vyama vya Siasa tarehe 3 na 4 Januari, 2024 Mkuu Venus Star , asante sana kwa taarifa, hii sio ya kukosa!, Ila to be honest, nina wasiwasi na baadhi promo za Mkutano huu, kama baadhi ya washiriki hawa kama kweli...
  15. India yapeleka meli tatu za kivita, hii ni baada ya lile shambulizi la drones za Iran

    Muhimu sana dunia ikawa tayari kupambana na haya magaidi ya kidini yakiongozwa na kubwa lao Iran... India has said it is sending three warships to the Arabian Sea after a drone hit an "Israel-affiliated" merchant vessel off its western coast last week. MV Chem Pluto was attacked about 200...
  16. Yahya Sinwar baada ya kuwaponyoka Israel aibuka na kusema Hamas imeshaua zaidi ya elfu askari wa IDF

    Kiongozi mkazi wa Hamas ndani ya Gaza ameibuka kwa mara ya mwanzo tangu mashambulizi ya oktoba 7 na kusema jeshi lake linapigana vita vikali na ambavyo havijawahi kutokea. Matamko yake hayo yamekuja kwa njia ya maandishi na kuonesha ni matamko ya muda unaoendelea ametoa matamko kuashiria...
  17. Baada ya kama miaka mitano nchi za Afrika(Ikiwemo Tanzania) zitaanza kwenda kununua na kuomba msaada wa chakula Afghanstan.

    Sema tulivyo makauzu hata aibu hatutaona. Afghanstan kwa sehemu kubwa ni jangwa. Lakini bahati nzuri upande wa Kaskazini imepitiwa na mto mkuwa wa Amu Darya ambao inashare na nchi kadhaa. Sasa ili kuzalisha chakula utawala wa Taliban umeamua kujenga mfereji mkubwa wa umwagiliaji kutoka mto huo...
  18. O

    Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA KUHUSUNSHIDA HII Jamani wana JF naombeni msaada wa ushauri wenu kwani kwa muda mrefu sasa ninasumbuliwa na tatizo la kutoka mapele ya ndevu mara baada ya kunyoa, nimejaribu aftershave nyingi tu lakini naona bado hazijanikubali. Kwa sasa hivi nilikuwa natumia...
  19. Hezbollah waanza kutoroka Kusini baada ya kuhofia mashambulizi ya IDF

    Wamehofia kwamba IDF inafanya mpango wa kuwavamia, mpaka sasa wamepoteza wapiganaji 123. ==== Hezbollah has begun withdrawing its specila Radwan forces from southern Lebanon over the weekend, amid fears over a surprise IDF attack and escalation of the conflict in Israel's northern border...
  20. Nimekosana na rafiki yangu baada ya kumdai pesa niliyomkopesha

    Wasalaaam, naamini mu wazima wa afya. Wale mnaojiandaa na sikukuu basi ikawe njema kwenu. Niende moja kwa moja kwenye mada. Wiki kama mbili nyuma kuna rafiki yangu ambae tumefahamiana kutokana na kazi tunazofanya kuwa za kufanana na muda mwingine kupeana deals mbalimbali zinapotokea alipatwa na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…