baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Kungunduliwa sehemu zilizowekwa maiti nyingi huko kenya mukuru ni baada ndoto kumtokea dada yake aliyepoletewa na mdogo wake.

    kuna elimu hapa japo niligusia ila sikuona watu kuweka maanani ila ni ukweli kwamba roho za watu kama zijatakiwa kufa ni ngumu kuondoka. Huyu dada alisimulia kuhusu mdogo wake alitoweka na hakupatikana ila kuna siku ndoto aliota ikimuelekeza kuhusu yeye yupo wapi ambalo eneo la mukuru na kweli...
  2. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Ni jambo gani umefanikiwa kuliacha baada ya kupambana sana?

    Nazungumzia Addiction yoyote ambayo ilikuendesha kiasi kwamba ukaamini hautoweza kuacha lakini mwisho wa siku umefanikiwa kuacha.
  3. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu naona haijitambui kwa kitendo cha kupeleka wasanii Korea badala ya wasomi na wawekezaji

    Leo nimeulizwa na mzungu mmoja ambaye nafanya kazi naye shirika moja hapa Tanzania, hivi serikali yenu huwa akili wanazo kweli?. Kutumia gharama kupeleka wasanii sababu ni nini? Hapa Tanzania tuna wasomi ambao wangepelekwa wangekuja na mtazamo mpya kwa walichokiona kama teknolojia, afya...
  4. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Baada ya Korea, wasanii wapelekwe Uturuki kujifunza zaidi

    Baada ya wasanii kutoka Korea Kusini walipoenda kimafunzo, inafaa waunganishs kwenda Uturuki kujifunza zaidi kutoka Kwa Watengenezaji filamu duniani
  5. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arumeru; Afariki Dunia Baada ya kunywa pombe za mashindano

    Kijana Mmoja aitwae christofer katoka kijiji cha ikiloriti wilayani Arumeru amefariki dunia mwisho wa wiki iliyopita baada ya kunywa pombe kali za mashindano. Balozi wa kitongoji hicho amesema kuwa Mume wake nae alinusurika kufa wiki iliyopita kutokana na kijana Mmoja aitwae Dick ambae ni...
  6. Vien

    JamiiForums Tanzania Baada ya utafiti huu nimejiridhisha 100% wanawake kipaumbele cha cha kwanza kwenye mahusiano ni Pesa

    Miaka miwili au mitatu iliyopita kipindi covid ina trend sana, nlikua kwenye mahusiano kadhaa, Kama mnavyojua mambo ya ujana. Sasa kwa kipindi kile kama mtakua mmeweka kumbukumbu zenu sawa, kampuni nyingi ziliopunguza wafanyakazi na nyingine kulazimika kufungwa kabisa kutokana na changamoto ya...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Nimeghairisha kuoa baada ya kupitia page za watoa ushauri na confessions za matukio ya mahusiano

    Wasalaam wapendwa. Kuna page kama mbili hivi za kupitia instagram nilianza kuzipitia wiki kama moja hivi iliyopita mpaka siku leo. Sasaivi nna 30 years age ila nimejikuta nafsi inaniambia kwa dhati kabisa kuwa "usioe utakufa kabla ya wkati wako". Wanawake ni viumbe wakatili sana sikuwahi...
  8. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana

    Ni dhahiri uwezekano wa mwanamke kuiongoza Tanzania hadi 2050 ni bayana, na ni mkubwa mno, ukilinganisha na uwezekano wa mwanaume yeyote humu nchini. Elimu, uadilifu, uzoefu wa uongozi katika utumishi wa umma kitaifa na kimataifa, weledi katika kazi, sifa, vigezo na masharti ya kikatiba na...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Baada ya Aweso kutumbua watendaji kwa madudu ya maji Dar, CCM itumbue pia watendaji wake kwa kushindwa kuisimamia Serikali maeneo husika

    Kwa uelewa wangu ni kwamba chama kinachotawala kimeomba na kupewa ridhaa ya kuisimamia Serikali ili itoe huduma stahiki kwa niaba ya wananchi walioichagua. Kwa maelezo ya waziri inaonekana matenki yapo na maji yapo ila watendaji wa serikali kwa makusudi hawakupeleka maji kwenye hayo matenki...
  10. Dr Salla

    JamiiForums Tanzania Kupandishwa Cheo Kazini baada ya kutokutwa na Jinai kwenye Utumishi wa Umma

    Wadau ninaomba kufahamishwa kuwa ni kifungu gani cha sheria katika Sheria ya Utumishi wa Umma ambacho kinatamka kwamba mtumishi wa umma aliyetuhumiwa kwa makosa ya jinai akikutwa hana hatia arejeshwe kazini na apewe stahiki zaje zote ikiwemo na kupandishwa cheo?
  11. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsajili Mchezaji niliyemtaka Steven Mukwala kutoka Uganda sasa naomba mnisajilie Kiungo Mchezeshaji kama Haruna Niyonzima Timu itishe zaidi

    Nimefurahi sana Uongozi wa Simba SC kwa Kufanikisha haraka sana Usajili wa huyu Mshambuliaji mahiri mno kabisa.
  12. B

    JamiiForums Tanzania Itapendeza baada ya Dr Samia Suluhu, atuachie Mwanaye kama Ni Abdul au mwingine itapendeza

    Hakuna ubishi kwamba Uwezo wa Dr Samia Suluhu wa kuongoza Nchi hadi ikatulia tumeuona. Japo kuna changamoto ndogo ndogo za Hapa na Pale. Napendekeza Baada ya Dr Samia kupitia Chama cha Mapinduzi tumpitishe Mwanaye. Sababu ya kusema hivi ni kutokana na uzoefu kwamba Mtu akiwa na Roho Nzuri pia...
  13. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Rev Msigwa, Karibu CCM ila Usisahau hilli Ni Baada ya Dau Kifikiwa

    CCM inazidi KUVUNA. Hali tete Chadema. Ukitafakari sana unaweza kudhani mpinzani halisi ni Luhaga Mpina kumbe Peter Msigwa ndiye CCM kindakindaki. Najua hujaelewa. Iko hivi; ndani ya CCM wanaamini Luhanga Mpina amekuwa mpinzani dhidi ya serikali ya CCM ambayo kimsingi ndiye iliyompa kibali cha...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kila baada ya wiki Kuna kuwa na jambo linalo trend katika taifa letu. Mfano wiki iliyoisha jambo lilikuwa Lina trendi ni mauaji ya Mtoto Asimwe

    Kila baada ya wiki Moja linaibuka jambo jipya sana Lina trend sana Kwa Tanzania Kwa mfono wiki iliyoisha yalikuwepo matukio mawili makubwa ambayo ni Mauaji wa Mtoto Asimwe na Mgomo wa Wafanya biashara Nchi nzima. Sasa wikii hii (01.07.2024) Hostest news Kwa Tanzania ni 1.Mchungaji peter Msigwa...
  15. chiembe

    JamiiForums Tanzania Global Powers zimekwisha baada ya vita baridi ? Usijidanganye, MK ya Jackob Zuma kwa udhamini wa Russia kidogo iiondoa ANC,

    Still dunia ina big brothers, Rutto alipokaribishwa meza kuu na NATO akasahau wachina wamewekeza mapesa mengi, na Russia inapigana na NATO.. Rais wa sasa wa South Africa ni pro western. Dola milioni kadhaa wanayumbisha nchi, Non Allignment is the way to go. Rutto pro western, Raila Pro...
  16. C

    JamiiForums Tanzania SoC04 Ajira serikalini ni msoto baada ya msoto, twende hivi

    Kupata kazi ni haki ya kila raia mwenye sifa STAHIKI kwa miongozo ya kitaifa na kimataifa. Sifa kubwa ni kuhitimu katika fani inayotakiwa sokoni kutoka kwenye vyuo vinavyotambulika na mamlaka za nchi husika. Kama tunavyotambua safari ya masomo/elimu ni safari ya kujitoa kwa mali, muda na hali...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Aliyebaka mtoto na kumwambukiza UKIMWI aachiwa huru baada ya kuhukumiwa kifungo cha maisha

    Mahakama Kuu ya Tanzania, imemwachia huru mzee wa miaka 78 ambaye alihukumiwa kifungo cha maisha jela kwa madai ya kumbaka mtoto mwenye umri chini ya miaka 18 na kumwambukiza virusi vya Ukimwi (VVU) kati ya 2022 na 2023. Mbali na Mahakama ya Wilaya ya Iringa kumuhukumu kifungo cha maisha Oktoba...
  18. P

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania yetu baada ya miaka 5

    SEKTA YA ELIMU TANZANIA BAADA YA MIAKA KUMI. sekta ya elimu ni sekta muhimu sana katika ukuaji wa maendeleo katika taifa sababu ndiosekta pekee ambayo inazalisha wataalamu mbalimbali ambao wanategemewa katika sekta zingine kama vile sekta ya afya,viwanda,habari n.k hivyo basi kutokana na...
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GEN.MUHOZI KAINERUGABA KUIONGOZA UGANDA KISASA BAADA YA RAIS MUSEVEN KUNG'ATUKA

    kuna kila dalili mikoba ya uongozi wa juu wa chama na serikali ya Taifa la Uganda kukabidhiwa kwa Gen.Muhozi kainerugaba, mtoto wa Rais wa sasa wa Uganda Yoweri Kaguta Mseveni.. malezi na makuzi yake, karibu maisha yake yote, amekulia kwenye korido za ikulu, jeshini na wakati fulani uraiani...
  20. The Supreme Conqueror

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko Baraza la Mawaziri yanakuja muda wowote baada ya mkutano huu wa 12 wa Bunge hili kutamatika wiki hii

    MABADILIKO BARAZA LA MAWAZIRI YATAJWA MABADILIKO makubwa ya Baraza la Mawaziri yanatabiriwa kufanywa na Rais Samia Suluhu Hassan wakati wowote baada ya kumalizika kwa Mkutano wa 12 wa Bunge unaofikia ukingoni mwishoni mwa wiki hii. Mabadiliko hayo yanatabiriwa kuwagusa mawaziri ambao kasi ya...
Back
Top Bottom