Video: Msikiti wapigwa chini baada ya handaki la kigaidi kugunduliwa humo

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,663
48,440
Badala ya watu kuabudu 'mungu' wao kazi ni maugaidi mpaka kwenye misikiti, karibu kila msikiti una handaki la kigaidi, inabidi ipigwe yote na kufanywa shamba.....

The 55th Paratroopers Reserve Brigade soldiers have been fighting in Khan Yunis over the past few weeks. IDF troops dismantled the tunnel route and the war room used for the conduct of combat and the transfer of weapons of the Nukhba operatives. Soldiers located a tunnel shaft and a rocket launcher inside a mosque which was next to a school. IDF troops also conducted operational activity in the Daraj Tuffah area and eliminated Hamas operatives in both ground and aerial strikes.

Hawa Hamas walikuwa wanafanya maandalizi hatari sana ya kuiangamiza Israel. Only kwamba mpango wao ulibuma kwa kukurupuka.
Akili ndogo ni ndogo tu.
Enyi mlio amini! Msiwafanye Mayahudi na Wakristo kuwa ni marafiki. Wao ni marafiki wao kwa wao. Na miongoni mwenu mwenye kufanya urafiki nao, basi huyo ni katika wao. Hakika Mwenyezi Mungu hawaongoi watu wenye kudhulumu. (Quran)
 
Wewe siku ukipata upenyo utakuwa gaidi hatari sana, utakuwa una majini 1000 aina ya makataa, kama dini yenu inaagiza hivo kumbe ni hatari, ila sasa huku kwenye jamii tunaishi vizuri na wakristo, waislam, wapagani, tunasaidiana katika shida na raha, mimi ni Christian niliwahi kupata changamoto fulani lakini nilisaidiwa na kijana wa Kiislam kutatua changamoto hiyo, vyuoni tumeishi na vijana wa Zanzibar, Tanga, Pwani hawa ni watu wazuri sana, hawana shida wala ubaguzi, hawana chuki na roho za visasi. Ila waislamu wa bara hasa Kigoma, Tabora, Kagera ni tofauti na waislam wa Pwani na Zanzibar
 
Huoni GAZA?
 
Hayo ni Quran si maneno yangu. Lkn unaona GAZA?
 
Badala ya watu kuabudu 'mungu' wao kazi ni maugaidi mpaka kwenye misikiti, karibu kila msikiti una handaki la kigaidi, inabidi ipigwe yote na kufanywa shamba.....

The 55th Paratroopers Reserve Brigade soldiers have been fighting in Khan Yunis over the past few weeks. IDF troops dismantled the tunnel route and the war room used for the conduct of combat and the transfer of weapons of the Nukhba operatives. Soldiers located a tunnel shaft and a rocket launcher inside a mosque which was next to a school. IDF troops also conducted operational activity in the Daraj Tuffah area and eliminated Hamas operatives in both ground and aerial strikes.

How evil you are.So vitendo vya Palestinians ambavyo yes ni vibaya kwa kuwa huwezi kulipa baya kwa baya,lakini tungeweza kuviita self defence vina-justify uovu uliokithiri wa IDF wanaoufanya kwa Wapalestina wasio na hatia?Hapana mkuu, by any standards the IDF and the Israel State are evil beyond measure.Uovu wanaoufanya dhidi ya Wapaledtina haujawahi kushuhudiwa katika historia ya Wanadamu.Unaua doctors,nurses,Watoto na you execute hata watu wasio na hatia in the name of war!?Fuata link ifuatayo uone uovu wao.

Mkuu ni hivii,your comment just shows how evil humanity has become.Binadamu wamepoteza kabisa.
 
Hawa Hamas walikuwa wanafanya maandalizi hatari sana ya kuiangamiza Israel. Only kwamba mpango wao ulibuma kwa kukurupuka.
Akili ndogo ni ndogo tu.

Hebu waza unaishi na watu ambao agano au katiba yao ina maandiko kama haya, yaani yametangulizwa kama dibaji kwamba nchi yenu na watu wafutwe, na kwamba ni agizo la dini....halafu mamilioni ya wafuasi wake duniani wote wanaitikia kwa ito mmoja...

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Badala ya watu kuabudu 'mungu' wao kazi ni maugaidi mpaka kwenye misikiti, karibu kila msikiti una handaki la kigaidi, inabidi ipigwe yote na kufanywa shamba.....

The 55th Paratroopers Reserve Brigade soldiers have been fighting in Khan Yunis over the past few weeks. IDF troops dismantled the tunnel route and the war room used for the conduct of combat and the transfer of weapons of the Nukhba operatives. Soldiers located a tunnel shaft and a rocket launcher inside a mosque which was next to a school. IDF troops also conducted operational activity in the Daraj Tuffah area and eliminated Hamas operatives in both ground and aerial strikes.

Uharo mtupu wewe kila siku wamegundua mahandaki, vipi ule mpango wa kujaza maji ya chumvi kwenye mahandaki ulishia wapi? Vipi Makao Makuu ya Hamas bado yapo Shifa Hospital?
 
How evil you are.So vitendo vya Palestinians ambavyo yes ni vibaya kwa kuwa huwezi kulipa baya kwa baya,lakini tungeweza kuviita self defence vina-justify uovu uliokithiri wa IDF wanaoufanya kwa Wapalestina wasio na hatia?Hapana mkuu, by any standards the IDF and the Israel State are evil beyond measure.Uovu wanaoufanya dhidi ya Wapaledtina haujawahi kushuhudiwa katika historia ya Wanadamu.Unaua doctors,nurses,Watoto na you execute hata watu wasio na hatia in the name of war!?Fuata link ifuatayo uone uovu wao.

Mkuu ni hivii,your comment just shows how evil humanity has become.Binadamu wamepoteza kabisa.

Huu upumbavu kaandike mbali na mimi, pale Gaza lazima pafanywe shamba maana pamejawa na mazombi ya kidini, pasafishwe kisha warudi watu walio tayari kuishi na binadamu kwa amani.
main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
How ignorant you are.So you believe the Khazarian Mafia are ready to leave with humanity in peace!Dah.Ni umbumbu proper.

Hizi nadharia unazorusha rusha ni upumbavu, hadi muache haya maugaidi ndio pona yenu, pumbavu

main-qimg-59203067b5263c40a82fd971fefe35de
 
Huyu kichaa kisima kipo kwenye masjid kama vile masjid mingi ipo Tanzania, hao IDF walivyo kuwa wajinga na uwongo wanadhani uwongo wao utawasaidia kuonyesha wamepata point ya kiaskari, kumbe imekuwa vichekesho 😄
Hayo magaidi lazima yapigwe mpaka yachakae,kumbe yalifanya mauaji Kule Israel yakitegemea mahandaki,safari hii wameyatimba.
 
Back
Top Bottom