Jana nimeenda club kwa mara ya kwanza, nimetoka nduki baada ya kuuziwa maji 4000/=

Prakatatumba abaabaabaa

JF-Expert Member
Aug 2, 2022
1,465
4,677
Kiukweli watu huko duniani Wana pesa aisee, imebidi nijitafakari upya nimekuja kufanya nini duniani kwa sababu kwa mambo niliyoyaona jana usiku nilirudi nyumbani kwa huzuni kubwa Sana, aibu na maumivu.

Nilikua zangu road nikasema Wacha niende rock city mall nikashangae maghorofa, nikajikuta nimeingia CASK bar maana nilisikia Fid q atakuepo kwa sababu Mimi ni mdau wa hip-hop nikaona acha nijisogeze nikasikie Ngoma kama bongo hiphop, I'm professional n.k.

Kufika nikakuta kwanza parking magari yamejaa yaani watoto ni wakali sijawahi ona, size zote zipo, class A, wachafu, wazuri yaani ni wewe tu, mluga luga nikasema Leo lazima niopoe nilikua na 50,000/= mfukoni nikasema Leo watanikoma sitakosa mtoto hata wa 20,000/=
Nikanyooka mpaka counter nipate hata wine chupa ndogo Ile ya imagi nizuge nayo huku nikiendelea kuangalia mrembo yupi atanifaa nichomoke nae, huku kitaa hiyo wine Wanauza 3500/= Sasa yule counter hakunisikia vizuri akaleta chupa ya maji akanambia 4000/= chupa ndogo nikamuuliza shingapi? huku nimepigwa na butwaa kusikia hiyo bei ya maji, Pembeni yangu walikua wamekaa mademu wamechafua meza vibaya wamejaza windohek, hennesy n.k yaani waliokua pale counter hakuna aliekua mnyonge, kipindi naleta mshangao nikamwambia yule anaehudumia counter anirudishie hela yangu maana siwezi nunua maji Mls 700 kwa 4000/= wakati hata bombani yapo, kipindi naondoka nikasikia vicheko kutoka kwa wadada na washikaji waliokua counter.

Nikaona huku nimekosea njia nimeingia kwenye Chaka la matajiri, hata sikumsubiri fid q aje nikatoka Moja kwa Moja mpaka nje huku niliona kama Kila mtu ananicheka kwa fedhea, nikaondoka kinyonge nikatembea kwa mguu mpaka coner ya bwiru kinyonge huyoo nikaingia gheto kulala huku moyoni nikiwa na masononeko.

Screenshot_20240101-114133.png

Screenshot_20240101-114158.png

Hila wadau tuambiane ukweli mnapata pesa wapi za kuspend kiroho mbaya hivyo? Hamna majukumu? Au mna pesa nyingi Sana mnatafuta sehemu ya kuzitumia?
 
View attachment 2859139
View attachment 2859140

Hila wadau tuambiane ukweli mnapata pesa wapi za kuspend kiroho mbaya hivyo? Hamna majukumu? Au mna pesa nyingi Sana mnatafuta sehemu ya kuzitumia?
😂😂😂 na mimi ni miongoni mwa waliokucheka siku ile bosi. Ni vizuri ulijua thamani ya vitu unavyoweza nunua kwa uchumi wako. Endelea kupambana bro
 
😁😁 Huko sirudi Tena wameshanikosa kudadeki, nitarudi nikiwa na uwezo wa kuchafua meza kama nyie sijui itakua lini lakini nitarudi ku-clear jina langu.
 
Pole xana, pia hongera kwa kukubali fedheha na aibu ili usave 4000 yako kuliko kupoteza ela yako ili tu ufiche aibu then badae kuanza kuijutia...kwa maisha ya mtanzania wa hali ya chini kununua maji kwa 4000 ni ukichaa wakati hiyo ela unapata chapati 10 na kikombe cha chai kwa mama lishe, pia hao uliowakuta huko sio wote wanaishi maisha yao halisi wengi tu wanafake maisha so wasikutishe sana!
 
Mkuu mimi nakusifu tu kwa kuziba sura za hao uliowapiga picha,huo ni uungwana,

Tumia fedheha uliyoipata jana kua hasira ya kutafuta hela,hata hao uliowakuta wamechafua meza hata wao walikua level yako kipindi fulani,acha kua mnyonge,jipe moyo kua na wewe inakuja siku yako ya kula maisha utakavyo,

All the best.
 
Ameen, nimelichukua ilo mkuu
 
Back
Top Bottom