baada

The Bardi people, also spelt Baada or Baardi and other variations, are an Aboriginal Australian people, living north of Broome and inhabiting parts of the Dampier Peninsula in the Kimberley region of Western Australia. They are ethnically close to the Jawi people, and several organisations refer to the Bardi Jawi grouping, such as the Bardi Jawi Niimidiman Aboriginal Corporation Registered Native Title Body (RNTBC) and the Bardi Jawi Rangers.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mahakama Kuu yaamuru Polisi kumfikisha Mahakamani Neema Mwakipesile wa BAWACHA Agosti 12, 2021

    Polisi wenu wamemuachia HURU Bi. Neema Mwakipesile Sakalile baada ya mawakili wetu kupeleka Habeas Corpus mahakamani na kesi kupangwa tarehe 12/08/2021 (kesho) saa 03:00 asubuhi mbele ya Jaji Mgonya, Mahakama Kuu, DSM... Muda huu wamemuachia baada siku 15.. Huu ni UONEVU! Mawakili wetu muda huu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwaka mmoja baada ya uchaguzi wa 2020, CCM Bado inakwamishwa au imekwama?

    CCM walituambia upinzani wa kupinga kila kitu umekwamisha maendeleo Kati ya 2015 Hadi 2020. Wakaamua kusiwe na uchaguzi kuwe na uchafuzi. Leo hii tunaelekea mwaka mmoja toka wakae wenyewe kwenye kila secta naikiwemo Bungeni. Kwa maoni yako ni kweli wapinzani walikuwa wanawakwamisha au...
  3. JamiiForums Tanzania Baada ya kupoteza kazi iliyokuwa inanipa heshima mjini pia nimepoteza na marafiki zangu wote

    Hili jambo lisikie tu kwa watu baki, baada ya kupoteza tu kazi hata marafiki wamenikimbia. Hadi naandika huu uzi mida hii moja haikai mbili hakai, hakuna kitu kinauma kwa mwanamme kama kuamka na kutokujua unaamkia wapi. Niwakumbushe tu wanamme wenzangu wale mliopo kazini, heshimuni sana hizo...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Faida atakayopata kijana baada ya kuoa

    Pamoja na uwepo wa utitiri wa ndoa sasa lakini bado katika ulimwengu wa sasa kuna vijana wanaogopa kuoa. Kwanza kijana acha uoga kila kijana akiamua anaweza kuoa na kumudu familia hata kama ana kipato kidogo tu. Nina miaka miwili ndani ya ndoa na hizi ni faida nilizopata. MATUMIZI BORA YA...
  5. JamiiForums Tanzania SoC01 Muhimu Serikali kuunda Tume za kuzuia maafa ili ziwe mbadala wa tume za kuchunguza vyanzo vya maafa ambazo huundwa baada ya maafa kutokea

    Utangulizi Kumekuwepo na utokeaji wa maafa mbalimbali kama vile moto, ajali n.k ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa yakisababisha athari ambazo zinaathiri ustawi wa mtu mmoja mmoja na ustawi wa jamii kwa ujumla. Baadhi ya athari ambazo zimekuwa zikijitokeza ni pamoja na upotevu mkubwa wa nguvu...
  6. JamiiForums Tanzania Baada ya Kukubali Chanjo, na Rais Samia Kuchanja, Kiongozi yeyote anayepinga Chanjo hadharani ni 'Insubordination' na usaliti

    Wanabodi, Hii ni mada mwendelezo wa mada hii ya wiki iliyopita Kwa vile zoezi la chanjo ya Uviko linaendelea, Kwa Maslahi ya Taifa inaendelea kujikita kwenye chanjo, leo nikiangazia hoja ya uhiari wa Chanjo. Japo chanjo ni hiari, hiari ya chanjo ni hiari ya consent kama ilivyo kwenye...
  7. JamiiForums Tanzania Mnaofikiria kufanya kazi na Manara baada ya haya mjiulize mara mbili. Anachowafanyia Simba nanyi atawafanyia

    Waswahili wana usemi '"Jasiri haachi asili" hivyo wanachopitia Simba kwa sasa kupitia aliyekuwa anafanya kazi hapo ni fundisho tosha kuwa mkae nae kwa tahadhari kwani si Mtu wa staha. Mtu aliye tayari mpoteze yote mliyofikia kwa kuwa tu maslahi yake yamevurugika ni Mtu Mbaya na Msaliti. Manara...
  8. JamiiForums Tanzania Hawa ndiyo Waandishi wa Habari wa Tanzania Manara akiwa Msemaji wa Simba SC na baada ya Manara 'Kutumbuliwa' hapo Simba SC

    Kauli za Waandishi wa Habari Haji Manara alipokuwa Msemaji wa Simba SC "Haji Manara ajirekebishe kwani tumeshamchoka na Vitendo vyake vya Kutudhalilisha huku akituita baadhi yetu ni Takataka. Kwanini Simba SC inamlea vibaya hivi huku akihatarisha Uhusiano wao na Sisi Wadau wao wakubwa wa...
  9. JamiiForums Tanzania Baada ya mtu kupata chanjo ya Covid-19 miongoni mwa mambo ya kuzingatia ni kutopata kilevi cha aina yoyote kwa saa 72 (siku tatu)

    Wataalamu wa afya na watafiti wa chanjo wanasema pombe na dawa ya chanjo vyote vinakwenda kwenye ini, hivyo upo uwezekano wa ini kuongezewa mzigo na kulichosha lakini pia kilevi huingilia kazi ya dawa kama ilivyo kwa dawa zingine hivyo kupunguza ufanisi. Mkurugenzi wa kuratibu na kukuza utafiti...
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kifo cha Waziri wa Ulinzi, ni fursa sasa ya kumtimua Mwigulu

    Kwa namna Mwigulu alivyowakera na kuwaudhi Watanzania walio wengi na hata kusababisha kumpunguzia heshima na umaarufu Rais Samia, sasa ni wakati wa kumtimua Mwigulu kutoka Baraza la Mawaziri. Kwa kufanya hivi Rais Samia atarudisha hadhi yake mbele ya macho ya Watanzania. Ni wazi Rais Samia...
  11. JamiiForums Tanzania Salama kwa Rais Samia: Baada ya ma-DED sasa nguvu ihamie kwenye Mipango ya Halmashauri na Wizara

    Muhtasari murua wa Mpango wa Maendeleo wa Tatu wa Tanzania wa 2021-2026, (Chanzo: FYDP III, uk. 161). Nimeona mkeka wa ma-DED leo. Huu ni mkeka wa nne tangu Rais Samia akalie kiti cha U-rais. Mikeka iliyotangulia ni ile ya mawaziri, ma-RAS, na ma-DC. Hivyo, hii ni hatua nzuri katika harakati...
  12. JamiiForums Tanzania Baada ya Kumsikiliza na Kumuelewa vyema Dk. Seche Malecela, Kesho najipeleka mwenyewe Kupata Chanjo yangu ya UVIKO 19 niwe salama zaidi

    Kuna Watu ambao achilia mbali tu Elimu zao kubwa bali hata uwezo wao mkubwa wa IQ na Kuchambua Masuala ya Kitaalam na Kitaaluma wakisema mambo GENTAMYCINE huwaamini na Kushawishika. Kwa Ufafanuzi mzuri nilioupata kutoka kwa Mwanamama na Daktari Nguli Seche Malecela ( Mtoto wa Waziri Mkuu...
  13. JamiiForums Tanzania Baada ya 'Kulikoroga' na kuona hapati 'Sapoti' ya Wanafiki wengi, hatimaye Haji Manara apanga Kuomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC

    Taarifa ikufikie popote ulipo kuwa muda wowote ule kuanzia sasa aliyekuwa Msemaji wa Simba SC Haji Manara anapanga Kuzungumza na Vyombo vya Habari Kuwaomba Radhi na Kuwaaga Wana Simba SC wote. "Mimi ni Binadamu sijakamilika na siyo Malaika hivyo yawezekana nina Mapungufu yangu na kuna...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jamii ya Shona imepata uraia wa Kenya baada ya miaka 60 ya kuishi bila Uraia hapa Kenya

    Jamii hii ya Shona ilikuja Kenya mwaka wa 1959 kama missionaries yaani watu wanaoeneza injili. Sasa wameishi Kenya bila uraia kwa miaka 62 na hivi leo wamepata uraia kamili na hata kupata vitambulisho. Hii inafuatia Jamii la Wamakonde kutokea Msumbiji waliopata uraia huo miaka michache...
  15. JamiiForums Tanzania Chanjo ya COVID19 kuanza kutolewa kwa Makundi ya kipaumbele

    Waziri wa Afya, Dkt. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali imepokea Dozi 1,058,400 tu hivyo Makundi ya Kipaumbele yatakayopewa ni Watumishi wa Sekta ya Afya waliomstari wa mbele, Wenye umri wa miaka 50 na zaidi na Wenye Magonjwa Sugu Makundi mengine yataendelea kupata chanjo kadiri Serikali...
  16. JamiiForums Tanzania Baada ya Kutuaminisha kuwa Hukumu ya Bernard Morrison ni leo, hatimaye mambo yawa Magumu kwa Yanga SC mpaka 14 Agosti, 2021

    Ushauri wangu wa bure tu Kwenu huu muda mwingi ambao mnautumia kutaka Kuwaaminisha Mashabiki zenu kuwa mnashinda Kesi dhidi ya Mchezaji Bernard Morrison na leo imegonga mwamba tena kwa Hukumu yake kutolewa mngeutumia katika Kusaka Wachezaji wazuri wa Kukiimarisha Kikosi chenu Kibovu. Ndani ya...
  17. JamiiForums Tanzania Mchezaji Gerald Mdamu inadaiwa kutelekezwa na Polisi Tanzania baada ya kupata ajali; Ni aibu Tafadhali IGP ingilia kati

    Yule mchezaji alievunjika miguu na jeshi la Polisi kumtelekeza Akiongea na Hili Game ya Clouds FM Dada wa Mgonjwa aitwaye Rabeka Mdamu amesema kuwa Jeshi la Polisi halijasaidia chochote kwenye matibabu ya mchezaji huyo wa timu ya polis Tanzania aliyeumia akiwa kazini. Aliongeza kuwa familia...
  18. JamiiForums Tanzania Je, kuna uwezekano wa kukutana tena baada ya maisha ya duniani?

    Tushirikiane kulidadavua hili kwa pamoja kila mtu kwa imani yake na kwa brain yake. Maana kabla ya hapa duniani hatukumbuki tulikuwa wapi. Je, baada ya hapa duniani tutakutana tena baada ya hapa au ndio tunamaliza kila kitu hapa.
  19. B

    JamiiForums Tanzania Niliahirisha uamuzi wangu wa kumtongoza baada ya kuniuliza nafanya kazi wapi

    Kuna mdada mmoja nilikutana naye kwenye mgahawa wa mama ntilie akiwa kama mpishi na muhudumu, alikuwa mrembo nikaona huyu akinikubali na tukiendana, atanifaa for long term relationship even marriage if possible..na nlivomu-approach huyu dada sikujitutumua na kujifanya nina pesa. Nikaanza...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Nini kifanyike Serikali iweze kupata pesa baada kuachana na hii tozo kandamizi na wapi pa kuwekeza

    Katika hali isiyo ya kawaida maisha ya mwanadamu hasa mtanzania yanazidi kuwa magumu sana. Huku anadaiwa kodi ya nyumba na kuiendeleza familia na ndugu zake, huku anatakiwa kushiriki michango mbalimbali ya serikali ya kijiji, huku michango ya msikitini na makanisani inamsubiri yeye, huku mambo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…