Mume na mke wamepata watoto mapacha baada ya miaka 43 ya ndoa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
51,891
2,000
There is no age restriction to getting your wish fulfilled and this 68-year old woman in Nigeria proved that. The old woman was trying to have kids for a long time, to state, 46 years of long wait she did for the birth of her first child, but when she became successful, she got not one but a pair of twins together. The heart-touching and moving story of this woman have many folds, which we will be revealing in this article.

More Info: CNN
1619623258998.png

Mambo mengine ni kuongeza matatizo. Huyu mama ana miaka 68 mume ana miaka 70 sasa watawalea hawa watoto kwa muda gani.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
988
1,000
View attachment 1766708
Mambo mengine ni kuongeza matatizo. Huyu mama ana miaka 68 mume ana miaka 70 sasa watawalea hawa watoto kwa muda gani.
kinachonishangaza ni kwamba umri huo bado wanafanya mapenzi, wataretire lini? kwa upande mwingine, Mungu anaweza yote, mimi pia nilikaa sana na wife bila watoto lakini sasahivi tunapambana na vijiti na mavidonge kujikinga na mimba kwasababu Mungu ameshatupatia watoto wakutosha hadi hatuhitaji wengine. Mungu mkubwa sana, nawapa moyo wale wanaosubiri, kuna siku watashangaa wamepata watoto hadi waseme Mungu sasa basi.
 
Hongera sana. Utukufu wa Mungu ni mkubwa.
 
goroko77

JF-Expert Member
Jul 9, 2019
1,002
2,000
View attachment 1766708
Mambo mengine ni kuongeza matatizo. Huyu mama ana miaka 68 mume ana miaka 70 sasa watawalea hawa watoto kwa muda gani.
Mmh kupata mtoto Ni kuongeza matatizo wewe unazani wew umezaliwa kwa chance au kwa choice let me tell you wengi wetu humu ndani tumezaliwa kwa chance hvyo wacha watoto wazaliwe umekoment Kam vile uko facebook
 
PTER

JF-Expert Member
Dec 28, 2014
15,681
2,000
Hata wakiishi miaka 30 watakua nursing home.
Wakifikisha miaka 90 tu tayari watoto watakuwa watu wazima 20 years.

Hao wazazi hawana assets zozote wanateseke na watoto wa wawili tu ?

Kuna mzee Jirani yangu alimuoa binti mmoja yeye akiwa na umri wa miaka 60 na binti miaka 25 tu walikaa kwenye ndoa walikuwa wanafyatua mapacha tu baadae mke yule alifariki lakini mzee akaendeleza watoto wakubwa wako 14years old living happily.
 
Ukwaju

JF-Expert Member
Oct 19, 2010
12,753
2,000

Sky Eclat

MUNGU ni mkuu kwa yote na furaha ya watoto ni kwa binadamu yoyote
huwezi jua machungu mtu anapokosa mtoto ingawa habari hii ni ya mwaka jana 2020 huko Nigeria na walitumia njia nyingine kutunga mimba katika maabara
The couple also used the In-vitro Fertilization process and has three failed attempts. But all their efforts and wait came to an end when the woman became pregnant and gave birth to twins.
1619624983441.png
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom