asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Beberu

    JamiiForums Tanzania Morning Express ya UFM ni kipindi bora cha asubuhi kwa Tanzania

    Habari zenu jamani, Beberu nawasalimu kwa bashasha kubwa, Kwa vipindi vya Asubuhi ndani ya nchi hii hakuna kipindi bora zaidi ya Morning Express cha UFM. Napendea kipindi hiki vitu vifuatavyo: ✓ Wanatumia kiswahili sanifu sana, Hakuna kiswanglish huku ✓ Wanareport kwa utaratibu, hakuna...
  2. benzemah

    JamiiForums Tanzania Faida za kunywa maji asubuhi

    Katika mwili wa binadamu, unywaji maji husaidia sio tu kuondoa kiu anayokuwa nayo mtu, bali pia kufanya kazi mbalimbali katika mwili ikiwa ni pamoja na kutuepusha dhidi ya magonjwa mbalimbali. Maji huchukua karibu asilimia 70 ya mwili wa binadamu, na seli za ubongo zina karibu asilimia 85 ya...
  3. Dr Rutagwerera Sr

    JamiiForums Tanzania Faida ya kukimbia asubuhi na masuala ya kuzingatia

    Watu wengi tumekua tukikimbia barabarani nyakati za asubuhi. Hizi hapa faida na masuala ya kuzingatia: 1. Unapata faida ya jua la asubuhi ambalo wengi tunalikosa tukiwa katika pilika za kawaida. 2. Muhimu kuhakikisha unafanya warm-up ya kutosha kwa sababu asubuhi mwili unakua hauna mijongeo ya...
  4. dygie

    JamiiForums Tanzania SoC03 Labda asubuhi ya kesho itakuwa bora

    “Labda kesho nitafanikiwa…Labda ni kwa kua sikusoma...au Labda sina nyota”. Ni msururu wa mawazo unaopita kwenye akili ya kijana Rakimu ila siku asubuhi kabla ya kuamka na kufungua dirisha na kugundua kuwa kila kitu kipo kama alivyokiacha jana. Jiji kubwa na tupu la Dar-es-Salaam linamtazama...
  5. Raia Fulani

    JamiiForums Tanzania Kuna haja ya kuondoa/kuzuia vipindi vya michezo asubuhi redioni na TV

    Hili kwa ukweli wizara husika (ya habari) ilizingatie. Saa mbili, saa tatu asubuhi unaanza kusikia habari za nani kafungwa nani kahamia club fulani, kocha kafanyaje, n.k. Muda wa asubuhi ni muda wa kupata taarifa muhimu za matukio yanayoendelea duniani kuanzia siasa, uchumi, utamaduni, sheria...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hivi hii kanuni ya biashara ni kweli mwenye duka hakupi kitu bila hela asubuhi mpaka auze kwanza?

    Habari. Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo. Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye duka chenji hana na mimi kutembea na hela ndogo ndogo siwezi namwambia mwenye duka nasi nipe bidhaa...
  7. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Asanteni kwa kusikia kilio chetu cha foleni Mwenge asubuhi. Jioni pia ruhusuni magari kwa usawa pande zote

    Ndugu zangu kwema? Kama kuna jambo zuri limefanyika sio mbaya tukipongeza. Barabara ya Mwenge kama mwezi hivi umepita kulikuwa na tabia ya magari yanayotoka Tegeta kupendelewa zaidi kwa kuruhusiwa kupita barabara zote. Soma: Adha ya foleni katika makutano ya barabara ya Mwenge Pamoja na...
  8. J

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya Jokate kesho atakuwa na press conference

    OFISI YA MKUU WA WILAYA KOROGWE PRESS CONFERENCE Mkuu wa wilaya ya Korogwe Mhe. Jokate Mwegelo Kesho Tarehe 25-05-2023 atakuwa na 'PRESS CONFERENCE ' MUDA: Saa 5 Asubuhi. MAHALI: OFISI YA MKUU WA WILAYA
  9. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ndoto ya asubuhi ya Watanzania ya kuwa na Tanzania ya uchumi wa gesi na madini imo mikononi mwa viongozi wa Taifa hili

    UTANGULIZI Tanzania ni nchi yenye utajiri mkubwa wa rasilimali za gesi asilia na madini katika bara la Afrika na duniani. Hili linathibitishwa na mifano mingi ya madini yenye thamani kubwa yanayopatikana katika mikoa mingi nchini, kama vile dhahabu, Tanzanite, almasi, chuma, nikeli, makaa ya...
  10. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya aida za kufanya mapenzi asubuhi

    Huwenda umeshawahi kusikia kuhusu umuhimu wa kushiriki tendo la ndoa asubuhi na ukashangaa lakini ni kweli kuna faida za kufanya tendo hilo kwa afya yako na wataalamu wanasema ni moja wapo ya matibabu. Tunakusogezea baadhi ya faida za kushiriki tendo la ndoa asubuhi kutokana na utafiti...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Kulikoni leo huduma za Simbanking na ATM za CRDB hazifanyi kazi tangu asubuhi?

    Kama heading inavyosema Huduma hizo hakuna kabisa, watu wanahangaika wanataka kutoka pesa kwa ajli ya Eidd, wanadhondwa.
  12. Bams

    JamiiForums Tanzania Kutokuwepo kwa umeme kila siku asubuhi na jioni mpaka usiku, tatizo ni nini?

    Kuna mambo yanayoendelea mpaka unajiuliza, hivi nchi hii hatuna watu wenye akili, uwezo na dhamira safi ya kuendeleza Taifa? Nimesafiri na kukaa kati ya wiki moja hadi mwezi mmoja kwenye mikoa ya Mwanza, Shinyanga, Tabora na Mara. Yanaoendelea katika maeneo haya kuhusiana na nishati ya umeme ni...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Naingia chimbo hadi kesho asubuhi waliomuua Martha watajulikana kwasababu ya huu ushahidi mmoja tu

    Lazima tu kwa magari yote yaliyopaki ama yaliopo nje ya kanisa la Kilutheri Tumbi hapatakosekana yenye Dashcam. Pia njiani kuelekea kwenye pori tengefu lazima hawa watekaji na wauaji walipishana na magari lazima kulikuwa na magari tu yenye Dashcam. Polisi watoe wito wote wenye magari yenye...
  14. T

    JamiiForums Tanzania Haya maridhiano kuna mmoja atakuja kushtuka imeshakuwa asubuhi!

    Vyenga vya leo vinatosha kabisa kuona kuna mmoja katika maridhiano haya yanampa faida kuubwa sana hasa huko tuendako, na kuna yule ambaye anafurahia vinono vya muda mfupi! Maridhiano kwa nchi kama hii yetu yenye watu waliozoea Amani kama maji ya mtungini ni mhimu sana kwa mstakabali wa nchi na...
  15. Gelion Kayombo

    JamiiForums Tanzania Upi Wakati Sahihi Wa Kufanya Mazoezi, Asubuhi Au Jioni?

    Kwenye makala yetu ya leo tunaenda kujifunza na kujibu swali amabalo watu wengi hujiuliza upi ni wakati sahihi wa kufanya mazoezi kati ya asubuhi na jioni. Mara nyingi swali hili humjia mtu pindi anapoamua kuanza kufanya mazoezi ya mwili, sasa anakuwa anashindwa kuchagua wakati gani awe anafanya...
  16. Four-Star General

    JamiiForums Tanzania Walimu wa Meru DC watakiwa kujitokeza Jumapili saa 1:00 asubuhi Usa-river wakati Rais Samia atakapokuwa anapita eneo hilo

    Hii kada ni ya wanyonge na wananyongwa kweli. Mke wangu ametumiwa meseji na mratibu wao kuwa yeye (mwalimu mkuu) pamoja na walimu wake wafike bila kukosa eneo la usa-river jumapili saa 1:00 asubuhi bila kukosa ili Rais atakapokuwa anapita basi awapungie mkono. Cha kushangaza hakuna nauli wala...
  17. chiembe

    JamiiForums Tanzania Lissu: "Mimi huwa nachelewa kuamka asubuhi, naamka saa 4 asubuhi au zaidi." Je, akikabidhiwa nchi si italala kimaendeleo?

    Tundu Lissu, akihojiwa na kituo Cha online TV kiitwacho Ngasa, alisema huwa anachelewa kuamka asubuhi na kwamba anaweza kuamka saa nne asubuhi au zaidi. Hivi kama tukiwa na Rais wa aina hii, wa kuamka saa nne saa tano asubuhi, ataongozaje nchi? Maana muda wa kazi yeye ndio bado anavuta shuka...
  18. U

    JamiiForums Tanzania Lissu: Wakati wa Magufuli waandishi walikuwa wanaogopa kunihoji, kwa sasa wanaweza kunisogelea

    Ameyasema leo akihojiwa na Ngasa TV leo Dodoma akiwa njiani kuelekea nyumbani kwao Ikungi, Singida.. Akizungumzia utawala wa Rais Samia Suluhu, amesema moja ya mambo yaliyobadilika kidogo baada ya Mwendazake John P. Magufuli kufa, ni waandishi wa habari kuwa na ujasiri wa kumsogelea na kumhoji...
  19. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Picha: Jinsi tapeli la Kinigeria lilivyojaribu kunitapeli mtoto wa Magomeni Mikumi leo asubuhi

    Habari zenu wana JF wenzangu, natumai kila mtu yuko vizuri. Ebu fikiria mtu nimekulia maskani, dili zote za haram na halali nazijua, maana nyingi huwa zinapangwa katika maskani mbalimbali halafu ndo zinaenda kuchezwa halafu anakuja kijana from Lagos mashambani huko anataka kunitapeli mimi...
  20. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi?

    Saa kumi asubuhi nimepishana na katoto kadogo kana begi kubwa mgongoni, hivi shule za namna gani hizi? Nimeumia sana moyoni!
Back
Top Bottom