asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa majitaka za kwetu kwa muda mrefu. Kwa mfumo wetu wa siasa maboss wa chama wana nguvu kubwa kuliko maboss wa kiserikali. Kuna huku kurushiana maneno baina ya mwenezi na Waziri Bashe sina hakika sana kama ni issue serious sana maana nacho ona ni maigizo na ulaghai...
  2. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Tanesco Wilaya ya Chunya tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi hakuna umeme!

    Mama na bibi yule alikokwenda amekuta umeme au Yuko gizani kama sisi huku Chunya? Tangu Jana saa 8 mchana hadi leo asubuhi tarehe 24.1.2024 hakuna umeme. Rais anajisikiaje huku Indonesia alikoenda nasi tuko gizani na kazi zimesimama? Ameacha makonda na viongozi wachache wakisema kura Kwa mama...
  3. Melki Wamatukio

    JamiiForums Tanzania Kuna Mmasai aliniingiza mjini asubuhi ya jana kwenye mvua

    We Mmasai uliyeniadaa na madawa yako ya mitishamba siku ya jana kwenye mvua, nasemaje, sisi ni Pipo, one day tutameet Alianza kwa kunitandika dawa ya mvuto wa biashara, akafuatia dawa ya mvuto wa wanawake, akamalizia dawa ya kulifanya pembe la ndovu liwe na hasira kali kwa muda mrefu. "Rafiki...
  4. rajiih

    JamiiForums Tanzania Cha asubuhi kitamu

    Habari wana JF poleeni na Majukumu ya kazi kwa January ilivyo na ukakasi wacha tuzungumze kuhusu Kufanya mapenzi asubuhi, Binafsi nmekuwa nikienjoy mno tena zaidi ya sana kuitafuna mbususu ile Alfajiri kabla ya jogoo kuwika aloo kwanza nakuwa simwagi mapema hilo bao Moja naweza piga mpaka saa 1...
  5. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Jifunze kusali japo hata sala ya asubuhi

    Hakuna sala rasmi ya Asubuhi iliyotungwa kwamba watu wafuate mfumo wake lakini ni wajibu wa kila mtu anayeitwa mkristo kusali..Katika kusali au kuomba kuna vitu vikuu vitatu vya kuzingatia katika sala yoyote ile.. Cha kwanza ni Shukrani, cha pili ni kupeleka mahitaji na cha tatu ni kutangaza...
  6. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mbwatukaji Mkurupukaji Wao leo Saa 4 Kamili Asubuhi anaenda Kuchafua Hali ya Hewa Lumumba

    Tujiandaeni kwa Maboko yake ya kama Kawaida kutokana na Kukurupuka Kwake Kiasili japo GENTAMYCINE natamani mno azungumzie pia kuhusu Kero ya Kukatikakatika kwa Umeme nchini kwa muda wa Wiki Tatu kama siyo Mwezi sasa.
  7. Kitchener

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa kisiasa Azam TV Desemba 18, 2023

    Kuna kijana mmoja, mwembamba hivi ni mwalimu wa Mwalimu Nyerere memorial kama sikosei, huwa anapenda sana kuchambua mambo ya Urusi, na Palestina. huyu kijana ni mdini na amekuwa akisambaza sumu nyingi sana, watu wengi wamekuwa wanalalamika ila naona wanachelea kuliongea, anachokileta Tanzania ni...
  8. Kiranja Mkuu

    JamiiForums Tanzania Mwenge hakuna umeme kuanzia saa mbili asubuhi

    TANESCO mna agenda gani ya siri dhidi ya watu wa Mwenge? Umeme mlikata saa mbili asubuh, hadi sasa ni saa 00.35 usiku, umeme hakuna giza limetamalaki. Kwa upuuzi huu CCM imeshindwa kuisimamia vyema TANESCO iweze kutoa huduma bora. Kataa CCM uboreshe maisha ya Watanzania
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Unguja: Kijana ajaribu kujiua kwa kujinyonga

    Mjini Unguja Kijana Mmoja Leo Asubuhi alijaribu kutaka kujiuwa kwa njia ya kujinyonga Lakini baadhi ya ndugu zake wamuokoa. Walikuwa wanamuogopa kumuokoa ana kisu hapo alisema mtu akija kumkamata atamchinja ninahisi atakuwa na maradhi ya akili huyu.
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Barabara ya Mbezi Mwisho, Kimara kuelekea Town kila siku asubuhi kuna foleni kubwa, hivi tatizo ni nini?

    Hii Barabara ya kutoka Mbezi Mwisho kupita Kimara kuelekea Mjini imekuwa na foleni sana hasa majira ya asubuhi, sijui nini ambacho kimetokea na kusababisha hali hiyo lakini ni jambo ambalo linakera sana. Kuna wakati najiuliza kwani magari yameongezeka katika Barabarara hiyo maarufu kwa jina la...
  11. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Habari za Asubuhi za Upendo

    1.Uwe na siku njema leo, mpenzi wangu! Ulifanya asubuhi yangu kuwa ya ajabu sana. Natumai asubuhi hii itakuwa siku nzuri! 2. Kila asubuhi, wazo la kwanza linalokuja akilini mwangu ni jinsi ninavyoshukuru kuwa na wewe maishani mwangu. Habari za asubuhi mpenzi wangu. 3. Inuka na uangaze, kichwa...
  12. kali linux

    JamiiForums Tanzania What's your morning ritual? / Nini ni ibada yako ya asubuhi?

    Hello bosses and roses... Kuna mambo madogo madogo ambayo watu huwa tunajisahau lkn yana umuhimu sana kwa masaa 24 yatakayofuata. Mfano mtu unaamka tu asbh hapo hapo unapiga mswaki na kutafuta usafiri uelekee kituo chako cha kazi lkn ukifuatilia ikifika saa tano asbh tyr ushaanza kuchoka na...
  13. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Wanawake Singida wamshukuru Samia Kwa "Cha Asubuhi"

    Kama Nchi tulipofika Sasa tuwe tunachagua watu wa kuongea aiseeee, hizi Sifa zikizidi ni ujinga na matusi! Eti Wanawake wa Singida wanamshukuru Samia kwakua Sasa wamepata maji ndoa zimeimarika wanapata na "kile Cha asubuhi"! Ujinga mtupu
  14. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Hali ya Usafiri wa Mwendokasi Mbezi Luis asubuhi ya leo ni shida kama zote

    Ndugu zangu wana JF hii video ni ya leo asubuhi katika Kituo cha Mabasi ya Mwendokasi Mbezi Luis, yaani kimekuwa na changamoto ya uhaba wa magari asubuhi ya leo Oktoba 16, 2023. Foleni imekuwa kubwa ya abiria kusubiri mabasi, wapo ambao wamelazimika kusubiri mabasi hayo kwa saa tatu. Upande wa...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Amka angalau saa 11 asubuhi

    Habari za humu. Unaambiwa nyota njema huonekana asubuhi na malaika wa heri hutembelea watu asubuhi na kuwapa riziki za siku nzima, hakuna tajiri anayelala mpaka saa 2 au 3, watu wote waliofanyikiwa huwa wanahamka asubuhi na kufanya haya:- 1- Kumuomba MUNGU akupatie ulinzi na riziki juu ya...
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwanini tumeamua kurejea Dar saa 7 za usiku kutokea tulikofungwa na Ihefu FC jana, wakati awali tulipanga kurejea 'Kimadaha' saa 4 asubuhi leo?

    Sasa na wale Waandishi wa Habari na Mashabiki wenu mliokuwa mmewaandaa (kwa Kuwalipa kama kawaida yenu) mkiamini kuwa Jana mngevunja mwiko pale Highland Estates Mbarali mmewapa au mtawapa majibu gani? Hatutakatai kuwa katika Mpira Kufungwa ni Jambo la Kawaida ila GENTAMYCINE na Wadau wengine wa...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Watangazaji wa Kitanzania waliokoa BBC hasa Kipindi cha Asubuhi cha 'Amka na BBC' acheni huu Unafiki wenu na hi Chuki yenu

    Yaani Klabu ya Yanga ikifanya vyema katika Mechi zake zozote zile huwa mnatangaza tena kwa Bashasha zote. Ila Yanga SC hiyo hiyo ikifungwa (kama ilivyofungwa jana na Ihefu FC huko Highland Estates Mbarali) hamtangazi na huwa mnajifanya hamjayapata Matokeo. Lakini Klabu ya Simba hata ikifungwa...
  18. Emilio Mzena

    JamiiForums Tanzania Kesho asubuhi usikose kipindi cha michezo cha E Sports

    Uchambuzi ulioshiba kuhusu kilichotokea leo kule Mbarali. Hapa Maestro, pale Jef Leah, pembeni kuna Mzee wa Jambia bila kumsahau Mwana wa Kazumari. Damu itamwagika kesho…
  19. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Salamu za asubuhi

    Nimejiskia kumshukuru Mungu kwa niaba Yako na Yangu kwa zawadi ya Uhai na Afya njema alizotujalia, hata tunasomana muda huu humu hapa JF. Ninakuombea Baraka na Neema tele za Mungu wewe ulieanza anza kazi tayari na wewe na unaye elekea kwenye majukumu mbalimbali ya kukupatia riziki. Mwenyezi...
  20. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Habari za asubuhi

    Heloo hii habari za asubuhi vp umeamkaje kama uko fresh mshukuru Mungu ni mwema katufanya tumeona jumamosi ya leo wale wanaoenda kufanya kazi Mungu awape mahitaji ya moyo wenu Amina
Back
Top Bottom