asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kelele za Matangazo (PA) zinatutesa wikiendi Asubuhi Jijini Mbeya

    Kumekuwa na kero ya Watu wanaopita na magari ya matangazo (PA) Mbeya Mjini tena wanatabia ya kuanza matangazo yao mida ya Saa Kumi na Mbili kasoro asubuhi siku za mapumziko wakati tumelala. Hii ni kero na kwa sababu jiji linapokea silimia kadhaa kwenye haya matangazo tunaona hawakemai hili...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Ng'ombe kuacha kutoa maziwa ghafla inatokana na nini? Nifanye nini arudi katika hali ya kawaida?

    Madaktari wa Mifugo: Ng'ombe amekata maziwa ghafla to zero level All of a sudden amekata maziwa. Mchungaji anasema uchangamfu aliokuwa nao umepungua. Inaweza kusababishwa na nini? And what is the remedy? Wakati alikuwa natoa lita 6 asubuhi na 5 jioni.
  3. Chance ndoto

    JamiiForums Tanzania Hakuna umeme toka Asubuhi

    TANESCO Kwani huwa mnaangalia nini au kuconsider nini? Kukata umeme, tena siku nzima ya jumapili? Hii kero kubwa sana kwa sisi watanzania. Kweli tuwashe magenerator siku kama ya leo Jumapili. This is not fair.
  4. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Katika Matumizi ya Dozi ya Dawa 1x3 = kila baada ya Saa 8. Sio Asubuhi, Mchana na Jioni

    Katika Mahojiano Maalum na Mwananchi, Aprili 7, 2024, Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Tumaini Nagu amesema moja ya sababu kubwa za Usugu wa Vimelea dhidi ya Dawa ni kutokumaliza au kutotumia Dawa vizuri hasa za Antibayotiki. Prof. Nagu amesema mtindo wa kuwaandikia Wagonjwa Dawa 1x3 au 1x2...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Marufuku kunywa pombe asubuhi Singida

    Wadau hamjamboni nyote? #HABARI Mkuu wa Mkoa wa Singida Halima Dendego amepiga marufuku wananchi wa mkoa huo kuanza kunywa pombe asubuhi badala ya kufanya shughuli za maendeleo na za kiuchumi hali ambayo inaweza kusababisha kudumaa kwa shughuli za kiuchumi kwa wananchi. Mkuu wa mkoa ametoa...
  6. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Mashabiki na wanachama wa Yanga mnaalikwa Soup Day Jumapili hii saa3 asubuhi

    Wapenzi wote na wanachama wa Yanga,soup day jangwani.
  7. AmKATRINA

    JamiiForums Tanzania Kuna 10,000(elfu 10) cash kabla ya saa 06:00 asubuhi kwa atakayeonesha picha full nyumba yenye paa hili

    Hii picha inatrend sana hasa Tanzania ikizungumziwa masuala ya mvua na mafuriko. Naomba picha hii ikiwa full. Yaani nyumba full. Kuna 10,000/= cash kabla ya saa 06:00 asubuhi. Nipe picha ya hii nyumba ikiwa full na paa lake hili linaloonekana kama lilivyo Karibuni kwenye mpambano. 10,000...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Rais wa CAF, Patrice Motsepe aipongeza Mamelodi usiku huu wa manane

    Sisi tupo nae hadi asubuhi, anajitahidi kufuta comment mamia kwa mamia kila dakika ila naona bado zinamiminika, jiandaeni kwa shift ya asubuhi, sisi tunae usiku kucha, hadi afunge hilo page lake aweke private. Page ya Mamelodi sundowns fc nayo tunaisulubu hadi asubuhi...
  9. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Jumuiya nyingi asubuhi ni za umbeya na kusambaza sumu katika jamii

    Niligombana na jirani yangu baada ya kujenga mpakani. Kilichotokea nilimwambia abomoe na hakubomoa. Nikamuacha, nimemuacha hadi sasa. Nasubiri afanye maamuzi yake. Cha ajabu naambiwa na watu walihudhuria jumuiya naona kuna majadiliano ya mimi nikubali ajenge. Sipendi jumuiya ni upumbavu.
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kuna nguvu gani muda wa asubuhi? Ni kama ndio inaamua siku yako nzima itakuwaje

    Habari za mchana wakuu. Kama thread inavyojieleza hapo juu kwanini kama ukikwazika asubuhi basi siku yako nzima utashinda vibaya na mihasira yani siku itakuwa mbaya kweli. Leo asubuhi kabisa kuingia tu ofisini nimekutana na incidence kutoka Kwa staff mwenzangu, nilikwazika na kuumia sana...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Kuna viongozi walipanga kuingia nyumba za ibada na vyeo vya jana mchana ila asubuhi waliposoma mkeka hata ibadani wamesusa

    Hakuna jambo la kibabe alilofanya mama kama kuharibia watu mwaliko wa Pasaka. Kuna watu wamegoma kwenda kanisani kwa sababu title zao zimebadilika au hazipo tena. Wengine walitamani madereva wawapeleke sehemu ila wanaamini wao sio mabosi wa hao madereva tena. Wapo waliowaalika wananchi na...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Tulitangaziwa Ndege itawasili Asubuhi Saa 4, ila imewasili / inawasili Mchana huu

    Rais angekuwepo bado Kipenzi cha Wengi na changu hasa GENTAMYCINE Hayati John Pombe Magufuli ( JPM ) Ndege hii ingewasili muda ule ule wa Asubuhi kama tulivyotangaziwa. Ukiona unapuuzwa huku ukiwa wa Muhimu katika Ardhi fulani jua hufai na hata katika Vita hutakiwi Kuaminika kwakuwa huna...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa kuongea na Vyombo vya Habari asubuhi hii saa 5

    Wizara ya TAMISEMI ni Injini ya Taifa letu. Hii Wizara inamgusa kila mwananchi. Asilimia zaidi ya 60 ya Watumishi wa Umma wanasimamiwa na TAMISEMI. Sasa Wizara hii ikiongea ujue kuna jambo na leo Jumatano Machi 20, 2024 Waziri wa Wizara hii Injini ya Taifa, Mhe. Mohamed Mchengerwa anazungumza...
  14. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Hizi media house zinazopiga kwaya asubuhi hawaoni kuwa ni udini? Wakristo wengi tunachukizwa sana

    Nyie media house ambao kutwa adubuhi na mapema mnaanza na kupiga kwaya za kikristo mnatukera na mnatuchukiza sana sie wakristo na tunaona huo ni.udini mkubwa sana kwanini hata siku moja moja mkaweka mawaidha mtapungukiwa nini? Hamuoni huo ni udini Sisi kanisa ni mwanzo na mwisho kuanzia leo...
  15. Kaka yake shetani

    JamiiForums Tanzania Tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu lingefanywa na mtu wa kawaida angekuwa kashakamatwa

    Polisi ni rahisi kujua wahusika kwa haraka na wale wakongwe wa kazi za kuvunja sheria. Tuulizane sisi wana JF tukifanya matukio ambayo kama kumtoa mtu uhai siku mbili si nyingi kukamatwa ila lilofanyika pale tena sehemu za serikali mpaka leo hakuna lolote. Nafahamu maganda ya risasi yana namba...
  16. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Nini Tafasiri ya kupandisha Bendera Asubuhi na kushusha saa 12 jioni?

    GreatThinkers Naombeni nimpe muongozo. Mtu mzito akifa bendera zinapepea nusu mlingoti. Lakini katika hali ya kawaida sa12 lazima bendera zishushwe why? Ni utamaduni ama kitu gani?
  17. M

    JamiiForums Tanzania Februari 16 Serikali ilisema umeme mwisho kukatika. Ulipo umeme upo?

    Nchi inaingozwa na kauli za uwongo bila kuhusisha wataalamu moja kwa moja kila kitu ni siasa
  18. Tindo

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu atakuwepo kwenye good Morning ya Wasafi FM kesho asubuhi

    Taarifa kwa wadau wote kesho asubuhi kwenye kipindi Cha Good morning Cha wasafi FM Kuanzia saa 11 asubuhi Hadi saa 2 asubuhi, atakuwa akihojiwa na kituo hicho. Tutarajie siasa za hoja, na sio za kujipendekeza kwa yoyote. Huenda akatoa ufafanuzi wa maridhiano, miswaada ya Sheria za uchaguzi...
  19. Maleven

    JamiiForums Tanzania BAKWATA naomba mtusaidie hili la matumizi ya speaker swala ya asubuhi

    Sasa kwa mfano hapa, wameshatoa azana kisha wameamua kuweka audio ya sheikh anazungumzia mambo ya ndoa ya ndani kabisa, kwa nature ya audio inaonekana kilikua cha wanawake tu tena watu wazima ila hapa imewekwa kwa nguvu kabisa1 asubuhi hii. Mbona misikiti mingine hawafanyi hivi? Mbona waislam...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Makonda anaweza fanya kuamka asubuhi Bashe sio waziri wala mbunge

    Nimekuwa mfuatiliaji wa siasa majitaka za kwetu kwa muda mrefu. Kwa mfumo wetu wa siasa maboss wa chama wana nguvu kubwa kuliko maboss wa kiserikali. Kuna huku kurushiana maneno baina ya mwenezi na Waziri Bashe sina hakika sana kama ni issue serious sana maana nacho ona ni maigizo na ulaghai...
Back
Top Bottom