asubuhi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Ukraine yatangaza hali ya hatari

    Bunge la Ukraine limepitisha azimio la nchi hiyo kuwa katika hali ya hatari kwa siku 30 kutokana na mzozo uliopo kati ya Nchi hiyo na Urusi Mamlaka nchini humo zimeruhusiwa kuzuia raia kutoka, kuzurura na kuzuia Mikutano ya Vyama vya Siasa na Taasisi kwa maslahi ya Taifa Pia, Serikali...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ashiriki sherehe za Jubilee ya miaka 25 ya Mhashamu Askofu Niwemugizi, aombwa kusamehe kodi hospitali za kanisa toka mwaka 2015

    Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa Mgeni rasmi kwenye Maadhimisho ya Jubilee ya miaka 25 ya Mhashamu Askofu Severine Niwemugizi yatakayofanyika kwenye Viwanja vya Posta- Ngara Mjini Mkoani Kagera kuanzia Saa 4 asubuhi hii. Utafuatilia matangazo haya ya moja kwa moja kupitia...
  3. Buti la mkoloni

    JamiiForums Tanzania Nimepata accident mapema asubuhi ya leo

    Nimepata ajali baada ya kumkwepa bodaboda nikakosa muelekeo nikagonga mti uliokuwa pemben ya barabara. Mafundi naomben makisio ya gharama ya kutengeneza hii gari, Taa mbili za upande wa kulia (juu na chini)zote zimepasuka, air cleaner box limepasuka, bonet imebonyea na kioo cha mbele kimeweka...
  4. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Polisi Wilaya ya Tunduru kinajaa wananchi sana asubuhi

    Sijaelewa ni mentality ya raia tu kupenda kupelekana polisi kwa kesi hata ndogondogo au ni mazingira polisi wametengeneza ili kupiga hela kwa sababu haiwezekani asubuhi tu kituo kinajaa wateja zaidi ya 100 na ni kila siku mpaka inafikia hatua wanaitwa kwa foleni. Mambo haya hayapo katika vituo...
  5. Nyendo

    JamiiForums Tanzania TANESCO Kinondoni yatoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme

    TANESCO imetoa ratiba ya matengenezo ya miundombinu ya umeme kwa Wilaya mbalimbali. PIA SOMA: TANESCO yatangaza rasmi mgao wa umeme nchi nzima (28/01/2022)
  6. C

    JamiiForums Tanzania Kwa Wanaohitaji usafiri wa Coster kesho asubuhi kwenda Dodoma na kurudi

    Kwa wanao hitaji usafiri wa kwenda Dodoma na coaster kesho asubuhi booking na sisi 0682373327, wahi mapema siti zipo chache.
  7. JituMirabaMinne

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Roli Daraja la Ubungo Asubuhi hii

    Alikuwa amebeba mbao. Inasemekana dereva gari ilimshinda ndio mwisho wa siku trailer likakatika kutoka kwenye kichwa na kuanguka.
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Huyu ndiye Giriki, Dereva aliyetoka na basi Dar saa 12 asubuhi, akaingia Mbeya saa saba mchana

    Pichani ni GIRIKI mtu mwenye historia ya pekee kwenye tasnia ya udereva nchini. Licha ya kukimbiza sana gari kwa miaka mingi, hakuwahi kupata ajali
  9. KENZY

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Can you imagine hapatikani toka asubuhi!

    Naandika kwa machungu siku hii ya Christmas mpenzi wangu simu yake haipatikani tokea asubuhi!,moyo umekuwa mzito,pumzi Kama zinakata zinarudi!.. hicho kidada cha voda kinachoniambia simu yake haipatikani nakiona Kama kichawi tu!😥 Inauma asikwambie mtu kila siku natendwa mimi tu! Kweli dunia...
  10. Sky Eclat

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume, hii tabia ya kukwepa sala ya asubuhi mbona inazidi kulalamikiwa

    Unapata mchumba mpenda dini, mnafunga ndoa na hata kanisani anaaminika kiasi cha kupewa uwongozi katika moja ya kamati za kanisa kwakua ana mahudhurio mazuri na pia ana heshimu wakubwa na wadogo katika kauli zake. Nyumbani mnasali sala asubuhi na jioni, tena mnajikabidhi katika mkono ya Mungu...
  11. C

    JamiiForums Tanzania Mtoza ushuru kanipiga elfu 5 Daraja la Kigamboni

    ...
  12. Influenza

    JamiiForums Tanzania Umeme wakatika Dar na Zanzibar, TANESCO yasema utarudi saa 5 asubuhi

    TAARIFA YA KUKOSEKANA KWA HUDUMA YA UMEME DAR ES SALAAM NA ZANZIBAR Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linaskitika kuwatangazia wateja wake, kuwa kumetokea hitilafu kwenye kituo cha kupokea na kupoza umeme cha Ubungo leo Desemba 15, 2021 saa 3:18 asubuhi. Mafundi wanaendelea na jitihada za...
  13. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shikamoo Simba SC kwa Uchawi nilihakikishiwa Mvua ikinyesha Asubuhi leo Yanga SC anafungwa na inanyesha kweli sasa

    Asante CEO Barbara Gonzalez na Mwenyekiti wa Simba SC Murtaza Mangungu na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba SC Salim Abdallah 'Try Again' kwa Kusikiliza Ushauri wa Wanachama na Kazi imeshamalizika hivyo leo wana Simba SC tunaenda kupata Furaha ya Ushindi. Kwa Uchawi uliofanyika, Umakini mkubwa wa...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Niliamka Asubuhi nikakutana na Taaarifa kwamba nimeteuliwa kuwa Jaji, sikuwahi kuwaza ni rahisi namna hii!

    Juzi nilikutana na mwanafunzi wangu ambaye kwa Sasa ni Mhe. Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania. Tulijadili mambo tofauti Ila Moja ya kilichomfurahisha ni namna alivyoaminishwa ni vigumu kwake kuwa Jaji lakini Katika ugumu huo akajikuta jina lake lipo KWENYE vyombo vya habari ameteuliwa Katika...
  15. snochet

    JamiiForums Tanzania Nani kashuhudia eclipse ya leo asubuhi?

    Habari, Leo asubuhi kulikuwa na utando mwekundu angani--Kuna mtu mwingine ameshuhudia hili jambo leo? TMA-au mwenye ujuzi inamaanisha nini? Na kwanini itokee asubuhi?
  16. IKUNGURU IJIRU CHUKU

    JamiiForums Tanzania Wazo la asubuhi

    Mzazi anayepeleka mambo ya chumbani sebuleni au nje huyoo hafai kuitwa mzazi ila atakuwa mzaaa
  17. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukipambanisha CV"s za Mtaalam Pablo ( Spain ) na Tapeli Nabi ( Tunisia ) kwa Aibu Yanga SC wanaweza wakaamua Kumfurumusha Asubuhi tu Jangwani

    Kwa Utaalam niliousikia anao Kocha mpya wa Simba SC mwenye Viwango vya Kimataifa na vya Mbinguni Bwana Pablo kutoka nchini Hispania nimedokezwa kuwa kuna Kozi moja ataiendesha nchini Tanzania ambapo Makocha kama Nabi, Kaze na Zahera hawana jinsi na watalazimika tu Kuhudhuria na Kuhitimu ili...
  18. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msitutoe kwenye habari iliyopo mjini kwa sasa ya Yanga kuangukia pua asubuhi mapema caf champions league kwa kutuletea takwimu zilizopitwa na wakati!

    Habari iliyopo mjini ni utopolo kuangukia pua asubuhi na mapema caf champions league!! Hizi takwimu za mapato ya msimu uliopita mngetoa msimu uliopita!! Acha tuongelee habari ya mjini kwa sasa !
  19. U

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Mbeya Mjini Dkt Tulia Ackson kuongea na waandishi wa habari leo saa 4 asubuhi

    Mkutano huo utafanyika nyumbani kwa Mbunge huyo ambaye pia ni Naibu Spika maeneo ya Uzunguni Jijini Mbeya kuanzia saa 4 asubuhi Usipange kukosa kufuatilia Mtaarifu mwenzako
  20. maatope

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Asubuhi tunapata update ya kesi ya Benard Morrison

    Issue ya kuzuia wachezji wa 3 wa first eleven ya wa nigeria kumjeruhi afisa habari wao na kuzuia viongozi wao wawili haiwezi kupita hivi hivi sababu usitarajie kitenge,priva,mwanaspoti waripoti. Kesho tarajia update ya kesi ya morriosn kitenge atakuambia kibuuuyu kinalia eeheee unasemaajeee...
Back
Top Bottom