askofu

  1. Mwanamayu

    JamiiForums Tanzania Hivi Askofu Dr Gwajima anaweza kutengeneza picha kubwa kweli?

    Anadai kuwa anamtumainia Bwana na waamini wake hawavai barakoa na kuchukua taadhari yoyote lakini hakuna aliyekufa. Swali, mbona bungeni kuna ulinzi? Na viongozi wakubwa wana ulinzi pia? Hivi nyumbani kwake na kwenye ofisi za makanisa yake hafungi milango na makufuli au funguo?
  2. BAK

    JamiiForums Tanzania Majibizano kati ya Askofu Mwamakula na Profesa Lwaitama

    MAJIBIZANO KATI YA ASKOFU MWAMAKULA NA PROFESA LWAITAMA! Baada ya Askofu Mwamakula kuposti katika ukurasa wake taarifa za mwanaharakati nguli wa Haki za Binadamu, Mama Helen Kijo-Bisimba kuunga mkono kampeni za "Matembezi ya Hiyari" ya Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya, watu mbalimbali...
  3. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Kuzuia taharuki ni kuleta TAHARUKI

    KUZUIA TAHARUKI KUNALETA TAHARUKI Kuwazuia watu kuogopa kitu kinachoogopesha ni kuwakosea haki watu hao. Binadamu kamili huogopa. Kutoogopa kinachoogopesha ni kasoro ya kimaumbile hata kama si dhambi. Hatari huogopesha. Hatari isiyoogopesha si hatari tena. Hatari inayoogopesha imekamilika...
  4. Sarikiaeli

    JamiiForums Tanzania Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

    Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya wahusika 84 waliposhiriki katika kufungwa kwa Ndoa 21, zilizofungwa kwa pamoja katika Ibada ya Ndoa...
  5. n00b

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli aidha amedanganywa kuhusu Barakoa au kuna tatizo sehemu (kwa alichoongea leo Feb 21, 2021)

    Wakuu, Nimemsikiliza Rais Magufuli akiwa anaongea leo kanisani. Nimeshtuka, Rais anaongea kama layman kabisa. Hii ni hatari kwa Usalama wa Taifa kwa mtu ambaye amepewa dhamana ya juu kabisa hapa nchini. Rais ni Comforter-in-Chief hivyo kama mfariji mkuu wa Taifa ana mamlaka makubwa...
  6. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula na matembezi ya hiyari

    ASKOFU MWAMAKULA KUFANYA MIKUTANO JIJINI DAR ES SALAAM KABLA YA KWENDA MIKOANI! Ndugu Watanzania na Jumuiya ya Kimataifa! Ninapenda kuchukua nafasi hii kuwajulisha kuwa adhma yangu ya kuongoza "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima kwa lengo kuhamasisha umma kuhusu umuhimu na uhitaji wa Katiba...
  7. britanicca

    JamiiForums Tanzania Askofu Ruwa'ichi: Asante mliovaa barakoa, nawalaumu msiovaa. Hali ni tete, tumetofautiana na Serikali

    Askofu JUDE THADEUS: Asante mlovaa barakoa/nawalaum msiyo Vaa/Hali n Tete. Ameyasema katika mazishi na kaongea mengi sijui kama hii Serikali hii itamuachaa Pitia video Britannica
  8. J

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Karimjee: Zoezi la kuaga mwili wa Marehemu Dkt. John Kijazi, rais Magufuli atoa neno

    Mbunge wa Kawe Askofu Dkt. Gwajima ameongoza sala ya kumuombea marehemu Dr Kijazi nyumbani kwake Mbweni jijini Dar es salaam na sasa anaongoza msafara ambao umeanza kuelekea viwanja vya Karimjee ili viongozi na wananchi wapate fursa ya kutoa heshima za mwisho. Zoezi la kutoa heshima za mwisho...
  9. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Barua ya Sheikh Ponda kwenda kwa Askofu Mwamakula hii hapa

    Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Sheikh Ponda alimtuma Katibu Muhtasi wake kupeleka barua nyumbani kwa Askofu Mwamakula , siku ambayo Baba Askofu aliitisha mkutano na waandishi wa habari wa nje na ndani . Lengo la barua hiyo ni kutambua mchango wa Askofu Mwamakula katika kupigania Katiba mpya na...
  10. BAK

    JamiiForums Tanzania Baba Askofu Munga: Je, Askofu Mwamakula ni mfia imani na shujaa?

    Na baba Askofu Stephen Munga JE, ASKOFU MWAMAKULA NI MFIA IMANI NA SHUJAA?! Kwa muda sasa tulikuwa tukimsikia Baba Askofu Emmaus Mwamakula akiandaa matembezi ya hiari kwa ajili ya kudai Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya. Haya ni matakwa ya watu wengi kulingana na maoni yaliyomo katika...
  11. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula kuongea na Vyombo vya Habari vya ndani na nje ya nchi

    Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi, na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi. Kwa wale ambao ni Wageni wameelekezwa kufika hadi Kimara Suka halafu waelekee Golani hadi kituo cha Polisi cha...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula sio mhuni, wahuni ni nyie mnaotetea maovu. Watanzania tunataka Katiba Mpya

    Watanzania wanahitaji katiba mpya maana wanajua fika mwarobaini wa matatizo yao. Katiba mpya ndio itayokata mzizi wa fitina wa kila shida inayowakabili Watanzania. Mfano tunataka Katiba ambayo itaruhusu kila mtanzania kuwa na mamlaka ya kusimamia haki za binadamu wenzake,mathalani mtu akiuliwa...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Taifa lipaze sauti kubwa Askofu Mwamakula aachiwe mara moja. Hakuna hatia aliyoifanya

    Taifa zima lipaze sauti mpaka wanaofanya uonevu waone aibu. Kuanzia Masheikh, Maaskofu na Wachungaji, Wafugaji na Wakulima, Wafanyabiashara na Wafanyakazi. Kesho kwa pamoja tupaze sauti kubwa Mtanzania mwenzetu mpenda haki aachiwe tena akiwa mzima wa afya. Kuandaa maandamano ya hiari kudai...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Askofu Emaus Mwamakula akamatwa na Polisi kwa kuhamasisha Maandamano ya kudai Katiba Mpya

    ==== TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUKAMATWA KWA ASKOFU EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA KWA KOSA LA KUHAMASISHA MAANDAMANO HARAMU Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Polisi Dar es Salaam leo tarehe 15.02.2021 limefanikiwa kumkamata anayejiita Askofu EMMAUS BANDEKILE MWAMAKULA wa kanisa la Uamsho la...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gamanywa: Jumapili itakuwa ni siku ya kupiga nyungu kuu kuliko zote pale Kanisani kwetu!

    Askofu Gamanywa wa kanisa la BCIC na Huduma ya Hakuna Lisilowexekana amesema Jumapili hii itakuwa ni siku ya kupiga nyungu pale kanisani kwake Mbezi jogoo mkabala na Interchick watu wote mlio wapendwa mnakaribishwa. Kupitia ukurasa wake wa fb askofu Gamanywa anasema tukio hili siyo la kulikosa...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANZIA Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la Dar, Afariki Dunia

    Wapendwa Mapadri, Mashemasi, Watawa na taifa lote la Mungu, Kristo. Kwa masikitiko makubwa napenda kuwataarifu juu ya kifo cha Padri wetu mpendwa Ernest Donald Boyo wa Jimbo Kuu la DSM, aliyekuwa Paroko Msaidizi wa Parokia ya Chang'ombe. Padri Boyo amefariki leo tarehe 10 Februari 2021 saa...
  17. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Askofu Mkuu Novatus Rugambwa ameteuliwa na Baba Mtakatifu kuwa Balozi wa Vatican katika Visiwa vya Cook, Fiji, Nauru mpaka New Zealand

    2 Februari 2021, wakati wa Sikukuu ya kutolewa Bwana Hekaluni Baba Mtakatifu Francisko almteuwa Askofu mkuu Novatus Rugambwa kuwa Balozi mpya wa Vatican kwenye Kisiwa cha Cook. Ataendelea pia kuwa Balozi wa Vatican kwenye Visiwa vya Marshall, Kiribati, Nauru na Tonga. Amebarikiwa pia kuwa ni...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Siasa isiyomsaidia mwananchi wa kawaida na kumuachia ufukara haina maana yoyote

    Mbunge wa Kawe mh askofu Gwajima amesema siasa isiyomsaidia mwananchi wa kawaida na kumuachia ufukara haina maana yoyote na amewataka wanasiasa kuwatendea haki wananchi. Gwajima alikuwa akihojiwa na waandishi wa habari katika sherehe za maazimisho ya miaka 44 ya kuzaliwa CCM Mabwepande nje...
  19. comte

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaoamini kila kifo ni kwa sababu ya CORONA msikikilizeni Baba Askofu Kasala

    “Walakini matunda ya mti wa ujuzi wa mema na mabaya usile, kwa maana siku utakayokula matunda ya mti huo utakufa hakika.” (Mwa.2:17). Shetani alidai “Hakika hamtakufa.” (Mwa. 3:4). Lakini baada ya kutokutii, Adamu na Hawa waligundua kuwa mshahara wa dhambi kwa uhalisi ni “mauti” (Rum.6:23)...
  20. BAK

    JamiiForums Tanzania Askofu Mwamakula azungumzia "matembezi ya hiyari"!

    ASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA "MATEMBEZI YA HIYARI" Baada ya Askofu Mwamakula kutangaza kuwa 'ataingia barabarani' kuongoza "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima ili kuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na kuandika Katiba Mpya, watu wengi wametaka kujua zaidi kuhusiana...
Back
Top Bottom