Makamanda Pipo's power ✌️
Mimi kamanda kindakindaki msemakweli naomba askofu Mwamakula ampe vidonge chairman wetu. Siasa za kitapeli sasa basi. Amekula ruzuku mpaka chama kikakosa nguvu ya kupata wabunge na madiwani,askofu kakaa kimya.
Sasa tunafanyiwa dharau na vidampa 19 ambavyo havina mbele...
Mbunge wa Kawe baba askofu Gwajima amesema jimbo lake la Kawe lina barabara zenye urefu wa takribani kilomita 1400 sawa na umbali wa kutoka DSM hadi Kigoma lakini Tarura wamepewa bajeti ya kukarabati kilomita 130 tu.
Gwajima amesema hii haikubaliki na kuwataka watu wa Tarura kujiongeza kwani...
Askofu mkuu wa jimbo katoliki la Dar es Salaam amewasihi waumini kufuata taratibu za kisayansi kupambana na corona.
Askofu ameomba tusaidiane na Mungu kupambana na corona.
Askofu amesisitiza kuwa corona bado ipo na kuwasihi waumini waendelee kuvaa baracoa, kunawa mikono na maji tiririka pamoja...
Wiki hii, Mwandishi mmoja kutoka Chombo kimoja cha Habari maarufu katika nchi za Afrika Mashariki alimhoji Askofu Mwamakula kuhusiana na "Matembezi ya Hiyari"! Ufuatao ni muhutasari (paraphrased) wa mahojiano hayo!
Simu: Tilililili! Talalilalila! Tololololo!
Askofu Mwamakula: Halo! Ninaongea...
Wapendwa Watanzania!
Tunapenda kuwahakikishia kuwa Jumuiya ya Kimataifa itafuatilia kwa umakini na ukaribu sana Kampeni yetu kupitia "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima ya kuuhamasisha umma kuhusu umuhimu wa kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na kuandika Katiba Mpya!
Orodha ya viongozi wanaokiuka...
Kanisa la Kianglikana nchini Uganda limemvua cheo aliyekuwa askofu mkuu wa kanisa hilo, Stanley Ntagali, na kusitisha utendaji wa majukumu ya uaskofu pamoja na kuzuiwa kuwakilisha kanisa hilo kabisa kwasababu ya madai ya uzinzi. Bwana Ntagali alistaafu mwaka jana Machi baada ya kuhudumu kwa...
A. UTANGULIZI
Rais wa Tanzania, John Magufuli alikuwa Mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi wilayani Karagwe na baadaye Wilayani Bukoba tangu tarehe 18 Januari 2020. Inaonekana kuwa, siku hiyo, Askofu Dr. Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza, aliandika barua tepe kwa ajili ya kumkaribisha Rais...
Nathan Peter (pichani) au Padre Haule ambaye ni Kasisi wa Kanisa Anglikana Tanzania ameamua kujilipua kwa kuandika yafuatayo katika kuchangia andiko langu katika ukurasa wangu:
"Kama unatumwa na wenye mihimili hiyo sawa usintamaze kwani nawe ni wao, lakini Kama unajituma, Anza kutafiti alipo...
WAKATI WA KIKWETE TULIACHA KIPOLO, TUTAKIMALIZIA WAKATI WA MAGUFULI!
Mwishoni mwa mwaka jana tulipotangaza adhma ya kuandaa "Matembezi ya Hiyari" kuanzia Januari 2021 kwa lengo la kuuhamisha umma ili kuunda Tume Huru ya Uchaguzi na kuandika Katiba Mpya, wapo watu waliokuwa na wasiwasi kama...
Amani iwe kwako!
Mimi nikiwa kama muumini wa Kanisa lako la Moravian la Uamsho Tanzania & Afrika Mashariki nimeshangazwa na ujumbe ulioutuma katika barua ya wazi kwa Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli kwani umeacha jukumu la msingi uliloitiwa na Mungu la kutuhubiria wananchi ili tuokoke na...
Mheshimiwa Dkt. John Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Amani iwe kwako!
Mheshimiwa Rais! Mimi Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula, nisimamaye katika zamu yangu kama Mtumishi wa Mungu katika zamani hizi za utawala wako kama Sauti ya Haki katika nchi, ninatuma ujumbe huu kwako...
CORONA BADO IPO DUNIANI
Kufuatia taharuki inayotokana na vifo kadhaa mwishoni na mwanzoni mwa mwaka hapa Karagwe, watu wengi wamekuwa wanapiga simu kwangu na kwa uongozi wa hospitali teule ya Nyakahanga kuulizia kulikoni? Jibu hili litoshe kusaidia kujibu maswali hayo:
1. Corona BADO iko...
Ujumbe wa wazi wa Mkt Bavicha Taifa kwa Mhashamu baba Askofu Methodius Kilaini Askofu msaidizi wa Jimbo Katoliki la Bukoba.
Na John Pambalu
Baba Askofu salamu. Kwanza nakutakia heri ya Krismasi na mwaka mpya.
Ninakushukuru pia kwa ajili ya mahubiri/ maoni yako kuhusu mwaka 2020 kama...
Baba Askofu salamu. Kwanza nakutakia heri ya Krismas na mwaka mpya.
Ninakushukuru pia kwa ajili ya mahubiri/ maoni yako kuhusu mwaka 2020 kama yalivyochapishwa katika gazeti la Mwananchi.
Umesema kutokana na changamoto za uchaguzi mkuu wa mwaka 2021 umetaka tusameheane kwa yote yaliyotokea...
Askofu Bagonza
Jana mchana, mtandao wa Jamiiforums ulitutaarifu kuwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ataongea na umma wa Watanzania. Mpaka sasa hajasikika. Wakati tunasubiri hotuba yake, napenda kumkumbusha kuja na jawabu kwa swali lifuatalo: Mbowe anao mkakati gani wa kuvunja kambi ya...
TANZANIA! TANZANIA! TANZANIA! SIKIA SAUTI YA ASKOFU!
Askofu Mkuu Oscar Romero wa Kanisa [Roman] Katoliki nchini El Salvador alipokuwa akitetea haki hakuwa na nia ya kugombea nafasi za kisiasa nchini El Salvador! Askofu Mkuu Desmond Tutu wa Kanisa Anglikana Afrika Kusini Alipotetea haki hakuwa...
Baba Mtakatifu Francisco ameridhia ombi la Kung'atuka kutoka madarakani lililowasilishwa na Askofu Telesphor Mkude wa Jimbo Katoliki Morogoro.Awali mwaka 2019 Baba Mtakatifu alimteua Monsinyori Lazarus Vitalis Msimbe, S.D.S kuwa msimamizi wa Kitume wa jimbo hilo akiwa na majukumu ya kufundisha...
Kwa Masikitiko makubwa napenda kuwataarifu kuwa Askofu wa Kanisa Katoliki Tanga Anthony Banzi afariki Dunia alfajiri ya leo Muhimbili National Hospital. RIP Askofu Banzi.
Pumzika kwa Amani Baba Askofu Anthony Banzi
Raha ya milele umpe eeh BWANA Na mwanga wa milele umuangazie
Marehemu apate...
SAUTI YA ASKOFU SEVERINE NIWEMUGIZI WA KANISA KATOLIKI TANZANIA
Mhashamu Baba Askofu Severine Niwemugizi wa Kanisa Katoliki Jimbo la Rulenge - Ngara ni miongoni mwa Maaskofu wanaopaza sauti katika kutetea haki katika jamii. Tarehe 15 Desemba 2020 ametoa tafakuri kuhusiana na masuala ya haki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.