Askofu Gwajima: Baba yangu aliniambia "watakuua" nikamwambia hafi mtu hapa

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,935
Reaction score
16,582
"Siku za mwanadamu zinapangwa na Mungu, zikiisha zimeisha, hata kama ungetibiwa na watu milioni moja, zikiisha zimeisha. Siku zako kabla hazijaisha, wakuwinde na vyombo vya ajabu hautapatikana", - Ask. Gwajima.

Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza katika Ibada kanisani kwake mwishoni mwa wiki.

Duh..!

P
 
Kikawaida mtu hulindwa na Maneno yake.

Ukikiri mbele za watu utakufa basi usijiingize kwenye vita maana ni hakika watakuua.
 
"Hautakufa Bali utaishi nawe utauelezea ukuu wa Bwana" kanyaga twende Bishop endelea kuwapelekea umuriro
 
"Siku za mwanadamu zinapangwa na Mungu, zikiisha zimeisha, hata kama ungetibiwa na watu milioni moja, zikiisha zimeisha. Siku zako kabla hazijaisha, wakuwinde na vyombo vya ajabu hautapatikana", - Ask. Gwajima.

Askofu Mkuu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima akizungumza katika Ibada kanisani kwake mwishoni mwa wiki.

jambo jipya kwa gwajima zaidi ya kujisifu, hua ni makelele tu. Na waamini wake walivyokosa maarifa wanashangilia tu :pedroP:
 
Nakubaliana na wewe Mungu anapanga siku zao, pia tambua ya kwamba shetani naye anapambana kuzifupisha siku ambazo Mungu amkupangia ili usilitimize kusudi la Mungu. Ni kusimama kwenye maombi ya ulinzi sana maana unaweza kufa kabla ya siku za Mungu kama waliouwawa Oktoba 29
 
GWAJIMA NI MENTOR WA WENGI NI GODFATHER WA WENGI.

KWA SISI WENYE JICHO LA MBALI TUNA ONA KALAMA NA KIPAJI MAALUMU KWAKE. .

GWAJIMA NI AKILI KUBWA NA MAISHA YAKE NI LIVING PROOF KUA UKI MTUMIKIA MUNGU KWA BIDII HATO KUACHA..

GWAJIMA NI NARRATOR ANA UWEZO MKUBWA WA KUONGEA NA AKA ELEWEKA NA WATU WA LEVEL ZOTEE
 
Back
Top Bottom