Kalamu ya Baba Askofu Kalikawe Lwakalinda Bagonza PhD: Waziri Mkuu Mwigulu yuko sahihi ila tatizo liko hapa….

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
368,611
Reaction score
852,626
Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu.

Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono.

Tatizo linaweza kuwa maeneo haya:

1. Je waliopigiwa makofi mengi hawana wake/waume?

2. Je waliopigiwa makofi hawapendwi na wake zao na kwa hiyo makofi ya misibani ni fidia ya kukosa makofi nyumbani?

3. Je hili ni onyo onyo kwetu kuacha kupiga piga makofi ovyo ovyo wakati si kipimo cha upendo?

4. Kama kupiga makofi na kushangiliwa si kipimo cha upendo; je kukaa kimya na kununa pale viongozi wanapotambulishwa ni kipimo cha nini?

5. Je viongozi wasio na wake au waume wa kueleweka, na hawashangiliwi popote, wana hali gani?

Mjaluo mmoja aliwahi kupendekeza, “Kama kukosoa ni jinai basi hata kupongeza kuwe jinai”.

Hilo likifanyika mijadala hii ya kumaliza bando zetu haitakuwepo.
IMG-20260304-WA0001.jpg
 
I JUST LOVE MY COUNTRY SO IS MY PRESUDENT , VICE AND PM .. ALL THESE BUNCH OF NONSENSE DONT MEAN SHIT . BONGO INASONGA MBELE . CCM BABA LAO
 
View attachment 3552096
In Jame-eka(Jamaica) we say fayaaah🔥🔥.
Let's see how it'll evolve.
 
I JUST LOVE MY COUNTRY SO IS MY PRESUDENT , VICE AND PM .. ALL THESE BUNCH OF NONSENSE DONT MEAN SHIT . BONGO INASONGA MBELE . CCM BABA LAO
If they dont mean a shit, pm would shut the *** up na kuendelea kusonga mbele kama usemavo, kitendo cha kuongelea tu kinadhirisha jns alivoumizwa...ni kujitumumua tu kma ambavo namba moja anajitutumua baada ya kuchinja watu.
 
Huu mjadala wa kupigiwa na kutopigiwa makofi msibani ni mgumu kama msiba ulivyo mgumu.

Waziri Mkuu Mh. Mwigulu kasema yeye binafsi hahitaji kupigiwa makofi. Kama kupendwa, akiishapendwa na mkewe, INATOSHA. Namuunga mkono.

Tatizo linaweza kuwa maeneo haya:

1. Je waliopigiwa makofi mengi hawana wake/waume?

2. Je waliopigiwa makofi hawapendwi na wake zao na kwa hiyo makofi ya misibani ni fidia ya kukosa makofi nyumbani?

3. Je hili ni onyo onyo kwetu kuacha kupiga piga makofi ovyo ovyo wakati si kipimo cha upendo?

4. Kama kupiga makofi na kushangiliwa si kipimo cha upendo; je kukaa kimya na kununa pale viongozi wanapotambulishwa ni kipimo cha nini?

5. Je viongozi wasio na wake au waume wa kueleweka, na hawashangiliwi popote, wana hali gani?

Mjaluo mmoja aliwahi kupendekeza, “Kama kukosoa ni jinai basi hata kupongeza kuwe jinai”.

Hilo likifanyika mijadala hii ya kumaliza bando zetu haitakuwepo.
View attachment 3552096
Akitulia atafakari alichoongea maana nae simwelewi
 
Back
Top Bottom