Akizungumza leo Machi 18, 2026 katika Mjadala wa wazi Kati ya Viongozi wa Dini na Wananchi kuhusu Amani na yaliyotokea Oktoba 29, 2025 unaofanyika Arusha katika ukumbi wa Centre House, amesisitiza suala la haki kuzungumzwa.
"Ningetamani neno haki liingizwa katika wimbo wetu wa taifa, Naamini itafika wakati tuone umuhimu wa tunu, upendo na amani umuhimu wake kwa mustakabali wa taifa letu na kamwe isifike mahali tuone aibu au makusudi kuzungumzia haki, isifike mahali tukaona haituhusu au sauti za haki zinasumbua masikio yetu" -Amesema Ask. Dr Fredrich Shoo