Wild Flower
JF-Expert Member
- Jul 20, 2023
- 962
- 1,909
Askofu Mkuu mwanamke wa kwanza Dame Sarah Mullally ameapishwa rasmi kuwa katika historia ya Kanisa la Anglikana duniani, akiongoza waumini takribani milioni 85.
Ingawa alianza majukumu yake tangu Januari mwaka huu, hafla ya kuapishwa imefanyika kama sehemu ya kuthibitisha rasmi mwanzo wa uongozi wake katika nafasi hiyo ya juu ya kidini.
Uteuzi wake unachukuliwa kuwa wa kihistoria kwa kuwa ni mara ya kwanza mwanamke kushika wadhifa huo tangu kuanzishwa kwa Kanisa la Anglikana.
Hatua hii inaonekana kuashiria mabadiliko makubwa katika uongozi wa kidini na nafasi ya wanawake katika nafasi za juu za uongozi wa kanisa.
Hafla ya kuapishwa imehudhuriwa na takribani watu 2,000 wakiwemo viongozi waandamizi wa Uingereza, akiwemo Waziri Mkuu na Mwanamfalme wa Wales, jambo linaloonesha umuhimu wa tukio hilo kitaifa na kimataifa.
Katika hotuba yake ya kwanza, Mullally amesisitiza umuhimu wa matumaini, mshikamano na kukabiliana na changamoto za dunia yenye migogoro.
================ For English Audience ==================
Sarah Mullally enthroned as first female archbishop of Canterbury.
The first woman to lead the Church of England formally installed at ceremony before 2,000 guests.Sarah Mullally has been formally installed as archbishop of Canterbury, marking the start of her public ministry as the first woman to lead the Church of England.
The former nurse on Wednesday took her seat on the 13th-century Chair of St Augustine at Canterbury Cathedral before 2,000 guests that included heir to the British throne Prince William and his wife Catherine, as well as Prime Minister Keir Starmer and religious leaders.
She will serve as the spiritual head of the global Anglican Communion, which has about 85 million members worldwide. The Church of England ordained its first female priests in 1994 and its first female bishop in 2015.
Although she legally took up the role in January, Wednesday’s installation marked the symbolic start of her ministry.
“As I begin my ministry today as archbishop of Canterbury, I say again to God: ‘Here I am’,” she told the congregation as she delivered her inaugural sermon.
Wearing a golden mitre, Mullally prayed for “peace to prevail” in war-ravaged regions of the world, including parts of the Middle East, Ukraine, Sudan and Myanmar.
The 63-year-old acknowledged the sufferings caused by the church’s past safeguarding failures, one of which caused her predecessor Justin Welby to resign, stressing the need to “remain committed to truth, compassion, justice and action”. Welby stepped down in 2024 following a child abuse cover-up scandal.
SOURCE: ALJAZEERA