Kikwete anahusika kwa 100%!Ujumbe huu umfikie waryoba
ila wewe jamaa,MUNGU akusaidie tu.sio Kosa lakoUjumbe huu umfikie waryoba
Wee kweli majanga Waryoba anaongoza nyuma ya nani? Hujui hata bi msumi kuna siku aliropoka kwamba yupo na Bosi wake?Ujumbe huu umfikie waryoba
Naona maaskofu wa Tanzania wengi wanatumia Akili na kuongozwa na roho mtakatifu juu ya yanayoendelea.Akitoa salamu za Pasaka kawaasa wasitaafu wapumzike wasitumie viongozi waliopo madarakani kuwaumiza watu.
Ujumbe umfikie.
View attachment 3567889
Biashara zote zilikuwa za Anas! Tanzania zote za TEKWEKIMa dili yao wamwachie nani hao nyang'au
Na huyu wamteke! Kuna siku tutalipiza kwa Mungu sisi waumininwa HAKIMara ya mwisho aliyeongelea kustaafu na kupumzika alitekwa na kukutwa porini policcm wakasema alikua na msongo wa mawazo kwa madeni na mapenzi.
Aione JKAkitoa salamu za Pasaka kawaasa wasitaafu wapumzike wasitumie viongozi waliopo madarakani kuwaumiza watu.
Ujumbe umfikie.
View attachment 3567889
Amekuumiza au kukutesa na nini ewe chawa usiye na akili hata ya kuvukia tu barabara?Ujumbe huu umfikie waryoba
Una matatizo ya akili au tatizo la nafsi?Ujumbe huu umfikie waryoba