asante

  1. MUSONI

    JamiiForums Tanzania Asante Mama Samia kwa utenguzi huu; Ulichelewa kidogo

    Hongera Mama kwa jicho kuona huko nishati kuna mengi najua ni mwanzo HONGERA SANA
  2. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Maxence Melo ateuliwa kuwa Mjumbe wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi

    Kufuatia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan kumteua Balozi Adadi Mohammed Rajab kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tume ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, na Bi. Fatma Mohammed Ali kuwa Makamu Mwenyekiti, Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  3. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Ludewa tunasema asante Rais Samia Suluhu Hassan

    LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE RAIS DKT SAMIA SULUHU HASSAN Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Wilaya ya Ludewa Milioni 977,600,000/= chini ya mradi wa BOOST. Nimefanikiwa kukagua miradi yote ya BOOST Wilayani...
  4. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Tiketi bure mechi ya Yanga inaenda kuifaidisha sana Simba

    Kuweka kiingilio bure mechi ya Yanga kunaongeza sana watazamaji watakaoenda kwenye mechi ya Simba. Tena kipindi hiki ambacho mashabiki wa Simba walirudi nyuma kidogo, hii ni boost kubwa sana. Yule mshabiki aliyekuwa alipe 3000 au 5000 kuangalia mechi ya Yanga ameshajihakikishia anaingia bure...
  5. JASUSI LA MBINGUNI

    JamiiForums Tanzania Nimepona bawasiri; Asante Mungu

    Hakuna gonjwa baya kama bawasiri. Ni ugonjwa unaokera sana. Yale manyama yanavyochungulia kwenye shimo la ikweta yanaleta ukakasi mkubwa sana licha ya madhara mengine mengi. Ukichuchumaa linyama linafumuka. Ukienda kukata gogo linyama linafumuka. Unakuwa kama mama aliyejifungua. Shimo la...
  6. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa Muswada huu. Umuhimu wa mabadiliko ya Katiba kabla ya Sheria hii bado ni muhimu sana. Huu ni uchambuzi Wangu - Part 1

    Wanabodi, Hii ni Nipashe Jumapili ya leo 19 Nov. 2023. Kama kawa, leo nimepata fursa tena kuwaletea makala elimishi ya uchambuzi wangu wa muswada huu wa Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani wa mwaka 2023, kwa muktaasari wa sura zote 10 za sheria hii, kuwaelimisha elimu ya uraia na...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Asante Kipa wa Singida Fountain Gate FC Beno Kakolanya 'Kujivunja' ili usicheze Mechi ya leo dhidi ya Yanga SC

    Wenye Kuujua mpira wa Tanzania na Fitna zake zote tumekuelewa hasa ukizingatia kuwa Kiasili Wewe ni mwana Yanga SC lia lia. Nasikia leo kuna Goli kuanzia 3 hadi 5 na hata 6 kama Mipango ikienda vyema. Kipaumbele pia ni Magoli kuwa mengi kumzidi mwenye Kiporo.
  8. Wimbo

    JamiiForums Tanzania Makonda, nilimwomba Mungu sana kwa ajili yako, ahsante Mungu umesikia

    Mungu umejibu maombi, mtumishi wake Makonda umemkumbuka tena, Katika tumbo la samaki alimokuwa umetoka na maono na upako Mpya kuna kitu ndani yake kwa ajili ya wa Tanzania naamini muda uliompa kujitafakari anarudi na upako Mpya kuleta matumaini kwa wanaCCM wengi ambao walikuwa wamekunjana mioyo...
  9. Desierto

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu nimelishinda tena hili jaribu

    Iko hivi, kuna siku kuna mteja kijana alikuja hapa ofisini kwangu nimtengenezee simu kama miezi mitano imepita hivi, ilikuwa ni smart ya kubadili kioo. Sasa nikamtengenea akarudi kuchukua kesho yake. Akaondoka baada ya wiki moja akarudi na ile simu ikiwa imepoa battery hivo nikampa simu moja ya...
  10. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wa TANESCO wagoma kutoa asante kwa Maharage kwa Utumishi ukiotukuka

    Baadhi ya wafanyakazi wa TANESCO wamepinga graphics zinazosambaa za kumpongeza Maharage na mwenyekiti wa Bodi. Wanahoji hizo pongezi wamezitoa wakiwa wapi? Imedaiwa ni kikundi cha watu kimeshinikiza watu wakae na kutoka ASANTE na Shukurani. Hizo Pongezi za Mkurugenzi mpya tumezitoa wapi hata...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia kwa Kumtumbua Maharage wa TANESCO. Naomba apelekwe Mahakamani

    Maharage katutesa sana Watanzania. Alikuwa anakata umeme kila anapojisikia ili biashara ya Jenereta itoke. Hii iwe fundisho. TISS na TAKUKURU hakikisheni haki inatendeka. Maharage apelekwe korokoroni au msafisheni kwamba hana Ufisadi Tanesco. Rais Samia, hapa umeupiga mwingi. Mtumbue na Januari...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi dereva teksi alyefichua njama za kumpindua Nyerere mwaka 1982? Je, alilipwa chochote kama ‘asante’?

    Historia ya Serikali ya nchi hii ina Mengi na Mengi hayo hatuyajui. Kina Hanspope, Maganga, Tamimu na wengine wengi walipanga kumuua na kuipundua Serikali ya Mwl Nyerere. Inadaiwa dereva teksi aliyekuwa akiwasafarisha wapanga mapinduzi kuhudhuria vikao vyao vya Siri alibaini mpango wao na...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Asante KAZE tumeiona: Kwa nini Kaze kawazuia washambuliaji wake wote kushambulia hapo mwishoni mwa mchezo?

    JIBU: Ili kuwaruhusu wachezaji wote wa Yanga washambulie bila hofu ya counter attack!! Tunaposema kilichofanyika ni "IMETHIBITISHWA" muwe mnaelewa!! Na kweli bwana wakapewa kagoli kamoja!!
  14. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Asante Yanga na Simba, klabu zinazo liheshimisha Taifa

    Katika Taifa kuna sera au ksulimbiu au harakati zinazowaunganisha wananchi na kuwa Tsifa moja. Michezo nchini imekuwa mbadala wa siasa kwa sasa hivi. Katika miaka ya karibuni, mpira(football) ni mchezo ambao umewaunganisha wananchi wa Tanzania kwa kiasi kikubwa. Mpira umefanya kitu ambacho...
  15. econonist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia katumia muda mwingi kuishambulia CHADEMA

    Naona kitendo Cha CHADEMA kutokuhudhuria mkutano wa Baraza la wadau wa siasa limemkasirisha Sana Mh Rais mpaka kuanza kuwasema CHADEMA. Kwa mfano Rais kadai CHADEMA kutokuja kwenye mkutano huo wa Leo wamegawanyika.
  16. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Asante serikali kwa ajira, ila wanajua kutunyoosha!

    Kama mtu huna ajira ni afadhali utafute tu namna ya kujiajiri. Ajira za serikali zina changamoto zake nyingi! Fikiria mtu anaajiriwa kwa mshahara wa laki 4 kwa mwezi. Kama haitoshi mtu huyu ananyimwa nyongeza ya mshahara kwa kigezo cha ajira mpya ilihali gharama za maisha ziko juu kwa wote.
  17. Termux

    JamiiForums Tanzania Asante DPW kwa kutuonesha Rangi halisi ya nchi yetu

    DPW umekuja wakati sahihi sana katika taifa letu pendwa la tanzania. Tumepata kujuwa wanachi mambo ambayo tulikuwa atuyafahamu hapo mwanzo, na kutupa uwelewa kuhusu mambo yanavyo pelekwa kwa maslai ya watu wachache na familia zao. Tumeanza kujionea mambo kama: WABUNGE Kuna baadhi ya...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Mzungu akisaidiwa, humtaja aliyemsaidia na kumshukuru hadharani. Mswahili huishia kusema Mungu umenisaidia

    Najiuliza hivi kwanini mtu akiwa shidani, wa ngozi nyeupe, ukimkwamua shidani mwake, atakushukuru sana na hatoona aibu kusema hadharani, fulani kanisaidia. Lakini sasa sisi kina Mtokambali, ukisaidia na fulani, humtaji, hata ukiulizwa ile shida yako umeitatuaje? Unaishia kusema ni Mungu...
  19. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Ahsante IGP Wambura kauli yako imeturudishia utulivu kwa haraka sana

    Natoa pongezi zangu za dhati kwa IGP Wambura na Waziri wa Mambo ya ndani Masauni. Tangazo lako la juzi, limetoa faraja na amani na tunaelewa kuwa vyombo vya usalama vipo kazini. Maana ilikuwa hohehahe, kila mmoja na lake, mitandaoni, hususan sii wa hapa JF, tulikuwa badala ya kupingana kwa hoja...
  20. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Asante Magharibi, karibu Mashariki

    Kwa takriban karne 21 sasa Bara la Afrika limekuwa likitegemea Teknolojia kutoka Nchi za Magharibi ikiwemo Marekani, Ujerumani, Uingereza na baadhi ya Mataifa ya Asia Magharibi. Kwa hili naomba niseme asante sana kwa Mataifa ya Magharibi kwani mmeweza kulisaidia Bara la Afrika katika nyanja...
Back
Top Bottom