asante

  1. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tuna Tatizo la Uwezo wa Uendeshaji Uchumi Wetu?. TAZARA Asante Mchina, Vipi Mingine? Hatutafika Mahali Tukahitaji Kusaidiwa Hadi Ikulu Yetu?.

    Wanabodi, Hii ni makala yangu ya Kwa Maslahi ya Taifa kwenye Gazeti la NIPASHE la leo Kama kawa kila nipatapo fursa huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa ambazo huwa na maswali yakifuatiwa na hoja halafu jibu utatoa wewe mwenyewe. Hoja ya leo ni je kuna uwezekano sisi...
  2. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais kuwarudisha Palamagamba Kabudi na William Lukuvi: Luhaga Mpina ana la kujifunza

    Ahsante Rais wetu kumteua Kabudi, Kabudi ni miongoni mwa binadamu wenye akili sana, watanzania wenye akili kubwa ni pamoja na Sospeter Muhongo, Kitila Mkumbo, Palagamamba Kabudi, William Lukuvi. Hawana makuu ni watulivu, utapenda wakichangia. Hongera Rais tumefurahi wananchi wako.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante ahsante Rais wetu, ahsante Doroth Gwajima; tunajivunia serikali yetu

    Jana nilitoa taarifa ya ukatili kwa mwanafunzi wa shule ya msingi Kitefu mkoa wa Arusha. Najivunia serikali yangu mmechukua hatua, mbarrikiwe. Ila huyu mwalimu mkuu mumchunguze anatafuta aliyetoa taarifa. Hongera Max, hongera waziri, hongera mh. Rais wetu, haki itendeke
  4. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Asante Rais Samia Kumteua Prof. Assad, ni Mkweli, Atakusaidia Sana Kukuambia Ukweli, Tatizo Viongozi Wengi Hawapendi Kuambiwa Ukweli, Je Uko Tayari?.

    Wanabodi Moja ya mapungufu makubwa ya viongozi wetu ni hawapendi kuambiwa ukweli, matokeo yake ni wasaidizi wao wengi kuwaogopa ma boss wao na kuishia kuwa machawa, hawamwelezi Rais Ukweli, kama wale wasaidizi wake machawa wa sheria, sio tuu hawajamwambia ukweli kuwa katiba yetu imenajisiwa...
  5. realMamy

    JamiiForums Tanzania Neno “Asante” ni dogo sana lakini lina maana kubwa sana

    Kiukweli kabisa kuna watu hawajui kusema Asante Jamani! Sijui ni kutokuridhika na hata kitu kidogo. Usiposema asante huwezi pata zaidi hata siku moja zaidi ya kupoteza. Mimi binafsi kuna nimempatia vitu vingi lakini ni kama anataka zaidi yani anaonyesha kuna kitu bado sijampa. Hiki kitu...
  6. BUSH BIN LADEN

    JamiiForums Tanzania Ndugu Mwananchi, Jf inakutakia wewe na uwapendao kheri ya sikukuu ya SabaSaba. Asante kwa kuwa nasi Where we dare to talk openly.

  7. L

    JamiiForums Tanzania Asante sana Saido Ntibazonkiza for making good to the club

    Niko Wizarani nafuatilia kuhusu ukweli wa transformation ya Simba umekomea wap zaidi ya mwaka wa tatu sasa, nakutakana na Thank you ya Saido Ntibanzokiza. Kwangu anabakia kuwa Shujaa ndani ya Simba, ni mchezaji ambaye ametoa mchango mkubwa sana ndani ya klabu yetu kuliko mchezaji yoyote yule...
  8. Dkt. Gwajima D

    JamiiForums Tanzania Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Wasaalam. Nawashukuru watanzania wote kwa ufuatiliaji wa wasilisho la bajeti ya wizara ya jamii 2024/25. Namshukuru Mungu kwamba, mjadala mkubwa wakati wa uwasilishaji, ni ishara ya elimu kuifikia jamii kwa kina kuhusu kupambana na kutokomeza ukatili wa kijinsia na kudhibiti mmomonyoko wa...
  9. U

    JamiiForums Tanzania Video: Tundu Lissu atoa ufafanuzi wa hoja aliyoitoa Babati Aprili 26, 2024 kumjibu Fatma Karume kuhusu 'Ubaguzi na Muungano wetu'

    Tazama na sikiliza kwa makini mwanzo mwisho video clip hii fupi ya dakika 16 Tundu Lissu akijibu hoja ya ubaguzi na matundu ya muungano wa Tanganyika & Zanzibar (1964) kwa kutumia katiba mbili za JMT (1977) na ile ya Zanzibar (1984) akihutubia maelfu ya wananchi Dodoma jana tarehe 29/4/2024...
  10. MINING GEOLOGY IT

    JamiiForums Tanzania Prof. Muhongo ataja utajiri wa madini nchini “Tufanye maamuzi haraka tutailisha dunia”

    https://www.youtube.com/watch?v=k0X8CsnDV24 Ni kazi ngumu kufikisha idara hii ya geology ambayo kwa kwetu imeonekana kama ina mchango mdogo wakati ndio yenye utajiri wa madini. MINING GEOLOGY IT
  11. T

    JamiiForums Tanzania Asante Mungu muumbaji wa Mbingu na Ardhi kwa wema na Rehema zako

    Namshukuru Mungu kwa wema wake kwangu. Pamoja na changamoto mbalimbali ninazopitia hapa duniani, bado wema wake ni mkuu mno kwangu. Ndugu wasomaji wa ujumbe huu, nawasihi tuwe na tabia/desturi ya kumshukuru Mwenyezi Mungu hata kwa kidogo tulichopewa. Shukrani hufungua milango mingine ya baraka...
  12. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Tribute to Dr. Geoffrey Mkamilo, Kipenzi cha Wanahabari, Umefanya Makubwa TARI, Tanzania na Watanzania!, Asante kwa Utumishi Uliotukuka!.

    Wanabodi 23/5/2018 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kipindi hicho Dkt John Pombe Magufuli kumteua Dkt. Geofrey Suleiman Mkamilo kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (Tanzania Agricultural Research Institute – TARI). Dr Mkamilo alikuwa Kipenzi cha wanaabari...
  13. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Buriani Mzee Ruksa: Ni Deng Xiaoping Wetu wa Mageuzi ya Kiuchumi, Demokrasia, Haki za Binadamu na Uhuru wa Habari. Asante kwa Ruksa Zako, Pumzika!

    Wanabodi Siku ya leo, tunampunzisha Mzee wetu, Rais Mtaafu wa Tanzania, Mzee Ali Hassan Mwinyi, kwa jina maarufu la Mzee Rukhsa, kwenye nyumba yake ya malalo ya makao ya milele. Mara ya Kwanza Kulisikia Jina la Ali Hassan Mwinyi. Kwa mara ya kwanza jina la Ali Hassan Mwinyi, nililisikia mwaka...
  14. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Bwawa la Mwalimu Nyerere Ahsante magufuli

  15. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Asante Serikali ya CCM kwa kupunguza bei ya Vinywaji, punguzeni na bei ya mafuta

    Kongole kwa Serikali sikivu, imetukumbuka kwenye Kutii kiu yako slogan! Na wapenguza pakubwa kweli kwa Vinywaji vyote kuanzia Wine 🍷 hadi juice 🧃. Wanajua hii nchi kipaumbele chetu ni starehe, kwahio hawawezi kufanya KAZI masuala ya msingi kama mafuta, bei ya umeme, miundo mbinu, Ada za vyuo...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Vijana mnakwama wapi? Kuna kijana nilimuunganisha ajira hata asante hajanipa anataka nimtafutie ajira sehemu nyingine sasa

    Hello! Huyu dogo kama atakuwa humu atasoma bandiko hili maana si baya kivile. Imepita mwaka sasa tangu nimuunganishe kwenye ajira (sekta binafsi) kama dereva wa malori. Kampuni kubwa tu hapa Bongo. Anapokea around 500k -800k kwa mwezi. Sasa ile stori na wenzake anapata kujua fursa zaidi kwenye...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Ahsante Rais Samia na Ahsante pia Bollen Ngetti

    Wanajamvi, Jana Kuna taarifa zilisambaa sana za kumtaka Rais Samia kutumia birthday yake Kumsaidia kada wa chama chake Thadei Ole Mushi aliyesimama moyo kufanya kazi. Taarifa hizi zilisambazwa na kada wao Bollen Ngetti Mwandishi nguli za Uchunguzi hapa nchini. Hata humu taarifa hizo zilifika...
  18. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Asante Makonda kwa kutugusa sisi walalahoi wa chini kabisa

    Sisi wanyonge wa chini kabisa ndiyo wapiga kura wakubwa, wenye uwezo wao muda wa kwenda kupanga mafoleni wataupata wapi? Ili wapige kura! Sisi huku chini ndiyo tunaodharauliwa, kuonewa, kunyanyaswa, kudhulumiwa na mengi tu mabaya ya hovyo hutufika sisi ikiwapo kunyanganywa haki zetu wakati...
  19. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa serikali, Wakurugrnzi na Mawaziri, je vyeo mlivyonavyo ni vya asante hamna mamlaka navyo?

    Nimekuja hapa ninayo machache sana ya kuongea japo naona kama niongee mengi! Nasikitika ninapoona Katibu itikadi na ueneziwa CCM, akiwakalipia Wakurugenzi,DC,Waziri na Wabunge nabaki kinywa waz,i sielewi kile cheo cha uitikadi kikubwa kiasi kiribia na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi...
  20. MUSONI

    JamiiForums Tanzania Asante Mama Samia kwa utenguzi huu; Ulichelewa kidogo

    Hongera Mama kwa jicho kuona huko nishati kuna mengi najua ni mwanzo HONGERA SANA
Back
Top Bottom