Ukweli mchungu. Hata Chipando mwenyewe anajua sasa, kuwa hali si shwari tena na sio mteremko baada ya kusikia kauli ya mgombea urais ccm. Kote kwingine alikuwa akisema anataka mafiga matatu ila alipofika Kigoma kauli yake ilibadilika. Kwamba wanakigoma wataamua. Huo ni ujumbe kwako Chipando kuwa...
Nimejiuliza sana mitandao yenye watalaam unaruhusu kitu km huku katika biashara..mimi natumia yas 0678 na uhakika asilimia 100 na niliyempigia mshikaji wangu Sana na NI Airtel hata Jana nimetoka kumrushia hela kwa wakala 0695 sijui alikuwa ameishiwa chaji ikajibu asante kwa kutumia Vodacom namba...
Kwa kweli katika mambo yote aliyoyazungumza Polepole, hili la kwamba CCM ina link ya moja kwa moja na mifumo ya NIDA na Taarifa za mpiga kura kwenye Tume ya Uchaguzi ni zito na zito mno. Kwa sasa hakuna Mtanzania yeyote aliye timamu anayeweza kushiriki chaguzi hizi feki.
Huu ujumbe wa Polepole...
Kuna zawadi moja ya thamani isiyolipiwa kwa pesa ni neno......
"SHUKRANI"
Ni neno dogo lakini lenye uzito mkubwa. Moyo wa shukrani huonyesha tabia ya mtu hata kabla hajazungumza.
Nimeandika hii thread baada ya jana kupigiwa simu na mama mmoja akasema mwanangu DR AM 4 REAL Nakushukuru sana...
Asante Gambo , hakika tutakukumbuka Ila ndo hivyo tulitaka utuhudumie Ila haikuwa riziki .
Pamoja Sana katika upambanaji wako .
Nayafikiria maisha mapya bila vyeo sijui yatakuaje na mke wako ameshaporwa uafisa na sasa anapiga chaki
Pole Sana jemedali
ASANTE SANA WANA JAMII FORUMS! 🙏
Ningependa kuchukua nafasi hii kuwashukuru kwa dhati Wanajamii Forums kwa sapoti kubwa mliyonipa mwezi huu. Kwa neema ya Mungu na msaada wenu, nimeweza kufanya kazi na wateja wengi waliotoka moja kwa moja kupitia hii forum. 💼🏗️
Naahidi kuendelea kutoa huduma...
Ee Mungu nakushukuru umetuvusha nusu mwaka salama.
1. Maadui walikuja ili watuangamize, ukawatawanya! Asante sana Mungu.
2. Magonjwa yalitupata, ukatuponya nayo yote. Nakushukuru Mungu wetu.
3. Umebariki kazi za mikono yetu, tumepata pesa ya kununua mahitaji muhimu. Asante Mungu mkuu.
4...
Watu wanakichukulia poa chama Cha republican kwenye kusimamia haki uku ulimwengu wa tatu ila, Republican administration wako vizuri sana .
Nimepata habari kutoka State department kuwa Marekani walitoa maazimio kadhaa Kwa Tanzania kabla strong measures kuchukuliwa.
Maazimio yalikuwa.
-Vyama...
Naandika Nikiwa nalenga nyanja ya malezi, Mapenzi, siasa, uchumi na kila nyanja inayohitaji character yako asilia ili kudeliver kile kitu kinapaswa... matharan unapolea watoto heb kuwa vile ulivyo acha kutaka kuwa kama jirani yako.
ktk nyanja zote za maisha Watu wengi hugeuka makatiri...
Well presented with illustrative cartoons to drive the points home.
Msikilize dakika kama kuanzia dakika ya 20 za mwanzo
Mwanzo: Dakika ya 20:22
Mwisho: Dakika ya 37:26
https://youtu.be/F2RbjppeaKc
Kwakweli wachukue tu Simba Ili jitihada zilizoonyeshwa kwenye michezo na mafanikio mengi yaliyowekwa yaendelee kupata maana. Aisee kwenye michezo umepigwa mwingi mpaka unapwakuka. Hata haters wa mama kimoyomoyo wanakiri.
✓fainali mbili
✓mashindano ya afrika kufanyika hapa
✓viwanja kujengwa na...
Mungu ibariki Simba Sc nzima
Heshima kwa wachezaji wote, bench la ufundi, uongozi na mashabiki dunia nzima, mmetuheshimisha sana.
Pamoja na timu nzima kutupeleka fainali lakini wapo watu ambao majina yao inabidi yaandikwe kwa wino mwekundu wa moto..Majina yao yaandikwe sio kwenye kuta za Simba...
Tumsikilize Askofu Pisa, moja ya watu wanaojielewa sana hawa. Élimu humfanya mtu kuwa huru.
Mchakato wa kumpata kiongozi wa kikatoliki ni Mchakato wa kielimu zaidi…
Tunatambua kuwa DINI zote ni man made, ila dhehebu la Catholic Institution makes more sense.
Ni nani anaevunja amani ; anaedai...
Nina furaha kubwa wiki hii,nimefanikisha mwanamke na mwanaume mmoja,kukutana na kukubaliana kuoana.Moyo wangu umejaa furaha baada ya wote kunipigia simu na kuniambia baba asante sana,harusi yao itakuwa mwezi wa 6.Mungu wangu asante sana
Kupumzika (Kulala) kwa muda sahihi (Saa 6), kunywa Tangawizi tupu iliyowekwa katika Maji ya Moto, kutafuna Nazi, kutafuna Vitunguu Swaumu punje 3 hadi 5 kila Siku, kunywa Maji ya Wastani, kula Kujiko kimoja (asubuhi na Usiku) cha Asali mbichi, kutafuna Karanga angalau mara moja kwa Siku, kunywa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.