arusha

  1. Mukulu wa Bakulu

    JamiiForums Tanzania Basi gani luxury barabara ya Dar-Arusha?

    Wakuu habari. Nina safari ya kwenda Arusha siku ya Jumatano ama Alhamisi. Sasa naomba kujua basi ambalo ni luxury au basi semi luxury zuri lenye uhakika. Ni muda sijasafiri hiyo barabara, hivyo naomba kujua ni basi gari zuri na lenye huduma nzuri na zenye uhakika. Ahsante.
  2. Jackmakundi

    JamiiForums Tanzania Habari natafuta CONCRETE MIXER TRUCK

    ARUSHA USARIVER, tuwasiliane 0654553163 1.bei gani Kukodi? 2.inabeba cubic metre ngapi?
  3. S

    JamiiForums Tanzania Serikali inastahili pongezi kukarabati reli ya Tanga na Arusha, lakini tunawakumbusha huduma hii haikufa kwa sababu ya tatizo la reli, tusibweteke

    Ni mambo machache ambayo huwa naipongeza serikali ya raisi Magufuli, na suala la kukarabatiwa kwa reli ya kwenda mikoa ya kaskazini, hususa Tanga, Kilimanjaro (Moshi) na Arusha litakuwa mojawapo. Hongereni sana. Hata hivyo, nataka kumkumbusha Raisi Magufuli na serikali yake, na mashabiki wake...
  4. Kevin85ify

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tanzania: Opposition offices burnt down and convoy attacked by hired goons

    CHADEMA headquarters in Arusha were reportedly firebombed on 13 August and shortly after, the convoy in which Lissu had been travelling in was attacked by “stone throwing bandits” according to an email sent by his lawyer’s office to the Tanzania Police Force. Lissu, who recently returned to...
  5. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Kuwasili kwa treni ya abiria jijini Arusha kwa mara ya pili baada ya miaka 30

    Katibu wa itikadi na uenezi wa CCM ndugu Polepole leo anazindua Huduma ya usafiri wa treni kati ya Moshi na Arusha. Mkoa mzima umetulia kimya na watu wote wameelekea stesheni kushuhudia treni ya kwanza ya TRC iliyobeba makada wa CCM ikianza safari ya kihistoria.
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mama wa miaka 50 akutwa na bangi gunia 3

    Mtuhumiwa mmoja pekee, Kanael Akyoo (50), ametiwa mbaroni na kikosi maalum cha kupambana na dawa za kulevya, akidaiwa kukutwa na magunia matatu na viroba tisa vya bangi nyumbani kwake. Julai 6 mwaka huu, Rais John Magufuli aliagiza kuondolewa kazini na kushushwa vyeo kwa aliyekuwa Mkuu wa...
  7. thetallest

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mechi kali nne za Uchaguzi Mkuu wa Wabunge ni majimbo ya Arusha Mjini, Kawe, Mbeya Mjini na Tarime Vijijini

    1: Mwita Waitara Vs John Heche - Tarime Vijijini 2: Tulia Acskon Vs Sugu - Mbeya Mjini 3: Askofu Gwajima Vs Halima Mdee - Kawe 4: Mrisho Gambo Vs Godbless Lema - Arusha Mjini Hizi ni mechi kali sana za kukata na shoka . Nategemea wote wafanye kampeni za kistaarabu, wakinadi sera zao ili...
  8. R

    JamiiForums Tanzania House4Sale Chumba cha biashara kinauzwa Arusha

    Habari wakuu, Nauza chumba cha biashara (hakijakamilika) Eneo la Morombo sokoni. Bei 6.5 M Mawasiliano 0768734611. Whatsapp 0786817145.
  9. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania GE2020 Wana Arusha tumrudishieni Dkt. John Magufuli asante ya kufikisha usafiri wa treni Arusha, kwa kuifuta CHADEMA hapa mjini

    Hapo vipi! Ni kwa muda mrefu Arusha imezorota kimaendeleo,mpaka vimikoa vidogo vinakua kasi ukilinganisha na Arusha yenye fursa nyingi za kiuchumi. WanaArusha nyie ni mashaidi juu ya kupwaya na kulala kwa fursa mbalimbali zilizopo katika mkoa wa Arusha. Arusha kama miaka kumia imegeuzwa na...
  10. Leslie Mbena

    JamiiForums Tanzania Vurugu za Hai, kuchomwa moto ofisi za CHADEMA Arusha na uasi uliobalehe na kukomaa ndani ya CHADEMA

    VURUGU ZA HAI, KUCHOMWA MOTO OFISI ZA CHADEMA ARUSHA NA UASI ULIOBALEHE NA KUKOMAA NDANI YA CHADEMA Leo 12:15hrs 15/08/2020 Mwaka 2015 Lissu alisoma mashtaka ya kumfukuza CHADEMA aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, ndugu Zitto, mashtaka hayo yalikuwa ndio hitimisho la shutuma za muda mrefu toka 2012...
  11. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Mungu - Yehova anawapenda. Matukio ya Arusha na Hai ni taarifa njema kwenu.!!

    It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema? Well. Tufutane ili...
  12. chakii

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lema: Msafara wa mgombea Urais, Tundu Lissu washambuliwa vibaya katika Ofisi ya CHADEMA Wilayani Hai, Kilimanjaro

    Aliyekuwa Mbunge Arusha Mjini, Godbless Lema kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Twitter amesema msafara wa Tundu Lissu umevamiwa katika Ofisi za Chama hicho Wilayani Hai Amesema "Msafara wa mgombea Urais Mh Tundu Lissu umevamiwa na kushambuliwa vibaya katika ofisi ya CHADEMA HAI,magari yame...
  13. Elius W Ndabila

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmejaribu kuichokoza polisi, mkaona haichokezeki. Mumeona isiwe shida mkajichomea kabanda kenu Arusha

    Taarifa zilizosambaa leo asubuhi ni Ofisi ya Chadema Arusha kuchomwa moto. Nimepitia mijadala mbalimbali kwenye kurasa tofauti za mitandaoni ya kijamii. Nimeona nije hapa baada ya kuona Twitter ya Mh Mdee aliyewahi kuwa Mbunge wa Kawe tena mwanasheria kuhusisha jambo Hilo na CCM. Mimi ni...
  14. Libya

    JamiiForums Tanzania Ofisi za CHADEMA Kanda ya Kaskazini zimechomwa moto usiku wa kuamkia leo ikiwa katika maandalizi ya kumpokea Tundu Lissu

    #Sasa basi === Taarifa ya awali inasema Watu ambao hawajajulikana, usiku wa kuamkia leo wamevamia na kumwagia petroli kisha kuchoma moto Ofisi za CHADEMA Kaskazini na ofisi za Mkoa na Wilaya Uchunguzi wa tukio hilo bado unaendelea kubaini wahusika na madhara yaliyojitokeza ZAIDI: Ofisi za...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mapokezi ya Tundu Lissu Jijini Arusha - Ijumaa 14 Agosti, 2020

    Ni Ijumaa tulivu. Kama kawaida jiji la Arusha Kuna ubaridi asubuhi hii.Jiji likiwa katika hekaheka tangu Jana za Maandalizi ya mapokezi ya Mgombea Urais wa Chadema Tundu Lissu. Kanda ya Kaskazini hususan Jiji la Arusha ni ngome Kuu ya Chadema na akitoa salaam za kunikaribisha jijini humo...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Victor Njau mtia nia ubunge Arusha Mjini (CCM) aokotwa akiwa hana fahamu na majeraha mwilini, alazwa hospitali ya Mt. Meru

    Mgombea ubunge wa Arusha mjini kupitia CCM Victor Njau ameokotwa akiwa na majeraha huku amepoteza fahamu. Hivi karibuni Njau aliwatuhumu wagombea wenzake kuwa wametoa rushwa iliyotukuka kwenye zoezi la kura za maoni. Victor Njau amelazwa katika hospitali ya Mt. Meru.
  17. K

    JamiiForums Tanzania Treni ya kwanza ya mizigo yafika Arusha baada ya miaka 30

    DC Arumeru Leo Tarehe 13/08/2020 Majira ya saa mbili kasoro asubuhi tumepokea Gari Moshi (train) ya majaribio ya kwanza ya mizigo baada ya miaka 30 ya kukosa huduma hii ya usafirishaji katika mkoa wetu wa Arusha. #ArumeruYetu
  18. G Sam

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu kulitikisa jiji la Arusha Ijumaa, shughuli mbalimbali zitasimama kwa muda

    Ijumaa mchana kishindo kikubwa kinatua Arusha. Ni Tundu Lissu "The chosen" atasambaratisha shughuli nyingi kwa muda wa masaa matatu. Pale atakapotafuta wadhamini kwa ajili ya kupeleke uelekeo mpya nchini na kuufuta udikteta unaotaka kuchipua! Tukutane Kimandolu hadi Moshi mjini!
  19. Waziri2025

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Ubunge Mwenzetu alilipia ukumbi wa kura za Maoni akashinda

    Baadhi ya wagombea Ubunge wa Kura za Maoni CCM katika jimbo la Arusha mjini wamefichua mazito siri ya Ushindi wa mgombea mwenzao Mrisho Gambo aliyepata kura 333 na kufuatiwa na Philemon Mollel aliyepata kura 68 kuwa alilipia ukumbi wa uchaguzi na kulala katika hotel ya Mt.Meru karibu na ukumbi...
  20. Preta

    JamiiForums Tanzania TANZIA Arusha Wing tumepata msiba wa mwenzetu Freetown

    Kwa masikitiko makubwa tunapenda kuwajulisha members wote kuwa, mwenzetu Freetown hatunae tena,ametwaliwa kutoka kwenye ulimwengu huu. Kwa members wa zamani, nadhani mtakuwa mnaifahamu hii ID vizuri. Kwa wale tuliofanikiwa kusafiri pamoja kuelekea Tarangire kipindi kile, niwape pole sana kwa...
Back
Top Bottom