arusha

  1. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Soko kuu Arusha halina hadhi ya kuitwa soko kuu

    Hili soko ni la muda mrefu tena tangu baada ya uhuru, na lipo katikati ya jiji mita chache tu toka ilipo stand kubwa ya mabasi, lakini haliendani kabisa na sura ya jiji. Muundo wa soko ni wa kizamani kuanzia nje hadi ndani ambapo vizimba ni vidogo vidogo na wafanyabiashara wengine wamejijengea...
  2. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania DC Arusha ambaye aliwahi kutoa 'Singo' ya kumsifia Magufuli kuwa ni jembe adai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi

    Katika hali ya kustaajabisha, DC wa Arusha Kenani Kihongosi ambae aliwahi kutoa 'Singo' niliyoambatanisha hapo chini ya kumsifia Magufuli kwa kudai kuwa Magufuli alikuwa ni jembe la kila kitu aibuka na kudai kuwa Magufuli alikuwa ni fisadi. Anadai kuwa katika awamu hiyo Serikali ilikuwa haiweki...
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Mwanamke Mwingine auwawa Arusha. Akutwa amepigwa kitu chenye ncha kali.

    Mwanamke Mmoja mkazi wa Njiro mkoani Arusha amekutwa amefariki baada ya kupigwa na kitu chenye ncha kali. Alikiwa akifahamika kwa jina Jenerose Dewasi. unfurl="true"]Mwanamke mwingine akutwa amekufa Arusha[/URL]
  4. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wasanii toka Arusha acheni kujibagua na kupigania mkoa badala ya taifa

    Nawasalimu kwa jina la JMT. Juzi kwenye mkesha wa Christmas, dunia imeshuhudia magwiji wa muziki Nigeria, Wizkid, Davido, na Komredi Burna Boy, wakiungana kufanya show pamoja iliyoandaliwa na Tony Olumelu wa BOA bank. Iliashiria umoja na upendo miongoni mwa wasanii huko Nigeria. Kwa pamoja...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Watu wa Kaskazini watoka kifungoni; Moshi na Arusha zarejea kwenye hadhi tuliyozoea kabla ya 2016. Watu wanashangweka ile ile!

    Baada ya akina Gambo, Sabaya, Mneti, Muro, na viongozi wengine kutowesha amani na furaha ya Xmas Kaskazini kwa kisingizio cha kulinda amani na kuepusha vurugu hatimaye mwaka huu tunaona Ndugu zetu kwa mara nyingine wakirejea makwao Kwa furaha huku biashara zikipamba moto. Ni kama wamepata Uhuru...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Bukoba, Moshi, Arusha na Mbeya ndio wanaoichangamsha nchi hii? Tarehe 25Dec na 1 January miji mingine hupoa kama kuzimu

    Habari Wakuu! Nimetembea tembea kidogo kwenye nchi yetu hii. Hivi ni kusema Watu kutoka Kagera, Arusha, Moshi na Mbeya ndio wanayoichangamsha miji mingi ya Tanzania? Maana ikifika mwezi wa 12 hasa kuanzia tarehe 20 mpaka tarehe 1 January hawa watu wakienda kwao miji mingine yote hupoa kama...
  7. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Chuo cha Institute of Accountancy Arusha wamechukua ada zetu hawapokei simu

    Hiki chuo kilianziasha mafunzo kwa ngazi ya Masters kwa mfumo wa long distance learning. Na hoja zao ilikuwa kuwa watakuwa wanaweka recorded video za masomo ya darasani kwenye moodle yao ili wale wa blended wawe na uwezo wa kujipakulia na kusoma. Lakini baada ya kuchukua ada zetu simu zao...
  8. T

    JamiiForums Tanzania LATRA mnafahamu kwamba mabasi ya Arusha- Moshi hayatoi tiketi kwa abiria?

    Mimi nipo eneo hili la Ukanda huu wa Kaskazini- hasa mikoa hii ya Arusha na Kilimanjaro kwa muda fulani. Kwa muda mfupi ambao nimekuwa huku, nimesafiri kwa nyakati tofauti kwa mabasi madogo (maarufu kama Coaster kwa wenyeji wa huku) kati ya Moshi - Arusha na Arusha- Moshi lakini cha kushangaza...
  9. waziri2020

    JamiiForums Tanzania James Ole Milya awa kivutio michuano ya wabunge inayoendelea jijini Arusha

    Mbunge mstaafu wa jimbo la Simanjiro mkoani Manyara,James Ole Milya leo ameonekana kivutio katika michuano ya wabunge wa Afrika Mashariki inayorindima katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha. Ole Milya alionekana muda mwingi akiwa amevaa bendera ya Tanzania huku akiwa ameshika vuvuzela...
  10. Kiturilo

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara Arusha wafunga maduka kwa muda usiojulikana

    Baada ya wafanyabiashara na Chadema kushangilia mateso ya kufungiwa biashara kwa wamachinga hatimae zamu yao imefika, kuanzia leo kodi ya maduka kwenye jiji la Arusha imepandishwa kwa 100% na kupelekea wenye maduka kugoma kwa muda usiojulikana. Wafanyabiashara wafunga maduka kisa kupandishiwa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Sahihi kusema Arusha ndio Jiji bora Tanzania?

    Ni miaka 10 tu imepita tangu mji huu maarufu kama Geneva of Africa utangazwe kuwa jiji. Kutoka kuwa mji wa 9 kwa wingi wa watu hadi kuwa mji wa 3 kwa sensa ya mwaka 2012 na halmashauri ya jiji ya pili kwa wingi wa watu, licha ya upya wake. Lakini ndio jiji lenye hospitali nyingi za private kwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Kuna Ufisadi wa kutisha Mamlaka ya Maji Arusha (AUWSA)

    Kuna ufisadi Mkubwa unafanyika Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Jijini Arusha (AUWSA). Ufisadu huu unafanywa na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Majisafi AUWSA, Eng. Justine Rujomba kwa kushirikiana na Waziri wa Maji Ndg. Juma Aweso na Katibu Mkuu Engineer Sanga. Kuna Mradi wa Ujenzi wa...
  13. S

    JamiiForums Tanzania TanFoam Arusha huyu Wakala wenu “Yahaya Mono Msuya” ni mwizi

    Kuna ndugu yangu alifika kununua godoro kwa wakala wa kampuni kongwe inayotengeneza magodoro ya TanFoam. Wakala mwenyewe anaitwa Yahaya Mono Msuya yuko Arusha mjini mtaa wa mjini kati karibu na soko kuu, yeye alitaka kununua godoro la Tanfoam badala yake walimshawishi kununua godoro la Besti...
  14. geofreyngaga

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Arusha tshs 35 millioni

    1.nyumba ipo Arusha morombo dampo kwa kaburu 2.ukubwa wa kiwanja miguu 15kwa 20 3.umbali km5 kutoka lami hati kwenye nyumba 4.ina vyumba 3, kimojawapo ni masta 5.ina jiko, sebule, umeme maji yameshalipiwa auwasa 6.haina fence 7.Document: serikali za mtaa 8.bei 35m maongezi yapo piga/whatsapp...
  15. dongbei

    JamiiForums Tanzania Natafuta mayai ya quail (kwale) - Arusha

    Habari wana jukwaa! Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Nahitaji mayai ya ndege aina ya Kwale tray moja. Kama upo Arusha au maeneo ya jirani na unauza basi tuwasiliane PM please. Ukija PM njoo na bei kabisa ya tray. Natanguliza shukrani.🙏
  16. May Day

    JamiiForums Tanzania Sasa haka kamvua kidogo hapa Arusha mjini kasihusishwe na ujio maana hamkawii

    Juzi nilikutana na uzi unaohusisha uwepo wa Kiongozi mahali na kunyesha kwa kamvua....hivyo nina wasiwasi hawa jamaa watakuja na hilo hili kuhusu Arusha. Tuwasikilize Mamlaka hali ya hewa wanasemaje.. Mama Kijazi na timu yake atuambie itanyesha hainyeshi?. tupande au tusubiri maana wengi...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namba/ mawasiliano ya Clearing and Forwarding Agent wa Namanga Arusha

    Habari za majukumu wakuu, Kuna mzigo nataka kuingiza kupitia border ya Namanga, Arusha. Ombi langu ni kwa mtu anayejua kampuni au mtu ambaye ni Clearing and Forwarding Agent anayefanyia kazi pale border anipatie mawasiliano yake. Nipo mbali na eneo hilo ndio maana nimeomba msaada huo...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia azindua Hoteli ya Gran Melia jijini Arusha

    Rais Samia anafungua hotel ya kisasa mkoani Arusha iitwayo Gran Melia na tukio liko mubashara ITV, TBC na Channel ten. Karibuni sana. ===== Rais Samia Suluhu amezindua rasmi hoteli ya kisasa ya nyota tano Gran Melia Arusha, huku akialika wawekezaji zaidi kwenye sekta ya Utalii nchini...
  19. ESCORT 1

    JamiiForums Tanzania Walimu Arusha watakiwa kwenda uwanjani Sheikh Amri Abeid kesho kwaajili Rais Samia

    Kesho kunafanyika maadhimisho ya wiki ya Usalama barabarani mkoani Arusha ambapo mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan. Katika kuhakikisha shughuli hiyo inafana, walimu wote wa shule za sekondari na msingi Arusha, wameagizwa kwenda kuhudhuria bila kukosa shughuli hiyo. Walimu pekee ambao...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ziarani mkoani Arusha, kuwatunuku Kamisheni Maofisa wa JWTZ (TMA)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassani atafanya Ziara ya kikazi Arusha kuanzia kesho Novemba 21, 2021. Akiwa Arusha atawatunuku Kamisheni Maofisa Wanafunzi wa JWTZ Kwenye Chuo Cha Uongozi wa Kijeshi Monduli (TMA). Mama Samia pia atahusika kwenye uzinduzi wa...
Back
Top Bottom