arusha

  1. figganigga

    JamiiForums Tanzania Wale Chinja Chinja wa Arusha wasiojulikana, Waanza kujitaja. Albadiri inafanya kazi

    Salaam Wakuu, Jeshi la Polisi Tanzania limekuwa likihangaika kutafuta Kikosi kilichokua kikiwaua na kuwachinja viongozi wa CHADEMA bila mafanikio. Baada ya Albadiri kusomwa, sasa wameanza kujitaja. Je, Polisi watachukua hatua yoyote? Pia soma: - Mwenyekiti Chadema achinjwa hadi kufa - Kada...
  2. waziri2020

    JamiiForums Tanzania Nabii Mkuu Dkt. Geordavie kuwashika mkono wafanyabiashara zaidi ya 5000 soko la Samunge, Arusha

    . Zaidi ya wafanyabiashara 5,000 wanaofanya biashara katika soko la Samunge jijini Arusha wanataraji kupatiwa mitaji ya kuendesha biashara zao na mhubiri maarufu nchini Nabii Mkuu Dkt GeorDavie. Mbali na kupatiwa mitaji hiyo pia mhubiri huyo anataraji kutoa msaada wa kukarabati miundombinu ya...
  3. and 998 others

    JamiiForums Tanzania Marasta Arusha kuvuliwa ubingwa na Wazungu watalii

    Hii ni fedheha kubwa kwa vijana Marasta wa Arusha kuutweza utu wao kwa ujira kiduchu wa Dola toka kwa watalii. Inakuaje kijana unajidhalilisha kisa pesa/pombe? NB: kazi (Halali) kipimo cha utu Kuliwa KANDE si ujanja
  4. idoyo

    JamiiForums Tanzania Arusha hakuna kitu mbele ya Mwanza, Imethibitika

    .
  5. M

    JamiiForums Tanzania Jiji la Arusha la kumbwa na hitilafu ya maji

    Mpaka sasa mamlaka ya maji “AUWSA” hawajatoa tamko lolote lile hali inayopelekea wakazi wa jijini hapo kubaki na sintofahamu. 1. Maji yamekuwa na mgao kama ambavyo imekuwa kwenye umeme. Bila shaka hawana jenereta. Utegemezi kwa Tanesco. 2. Hata pale maji yanapotoka yamekuwa na chumvi isivyo...
  6. APPROXIMATELY

    JamiiForums Tanzania ARUSHA, nakupenda sana, najivunia kuzaliwa Arusha

    Hakuna sehemu kama Arusha, hali ya hewa safi, wakazi wa arusha wakarimu sana, pesa inapatikana ukijituma utapata,watu wa arusha wajanja, wazungu kwetu washikaji zetu. Natanguliza shukrani kwa mwenyezi Mungu,mwingi wa rehema mwenye kutukuka,uliyekuwepo toka mwanzo na utakuwepo mpka milele...
  7. P

    JamiiForums Tanzania English course Arusha

  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Serikali: Mikoa ya Tanga, Arusha, Mwanza, Pwani na Geita ina viashiria vya Ugaidi

    Waziri wa Mambo ya Ndani Eng. Masauni Yusuph Masauni ameitaja mikoa hiyo kuwa imekuwa na matukio ya kukamatwa kwa watuhumiwa waliokimbia baada ya kufanya vitendo vya ugaidi katika nchi jirani. Pia, kuna dalili ya kuenea kwa itikadi za msimamo mkali zinazopelekea watu kuhamasika na kujiunga na...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Polisi Arusha watimua Askari watatu kwa utovu wa nidhamu

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limewafukuza kazi askari wake watatu kwa kosa la kwenda kinyume na maadili ya jeshi hilo. Aidha, limewatahadharisha wengine wenye tabia kama hizo kuziacha. Hayo yamesemwa leo Alhamisi, Septemba 15, 2022 na Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Justine Masejo...
  10. lembu

    JamiiForums Tanzania Natafuta fundi wa simu za Samsung Arusha

    Habari za mchana ndugu zangu, Nina Samsung S9 Plus imeharibika kioo sasa ninataka aidha kurudishia kioo au kupata fundi wa kurecover contact zangu zilizopo kwenye hiyo simu. Niliisajili online na nilikuwa nafanya backup online ila sijui kama kuna jinsi ya kurestore hiyo backup bila kutyumia...
  11. Babuu100

    JamiiForums Tanzania Wapi wanafanya Diagnosis ya Magari Arusha Mjini

    Wakuu Salaam Kama heading inavojieleza , ni wapi hapa Arusha mjini wanafanya Diagnosis ya Magari
  12. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Arusha: Polisi wakamata Kilo 390 za Mirungi, 70 za Bangi na Pikipiki 11 za wizi

    Kamanda wa Polisi Mkoa, Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Justine Masejo amethibitisha tukio hilo leo Septemba 11, 2022 na kueleza kuwa wanamshikilia Allen Wilbard Kasamu, dereva wa Lori la mafuta lililotumika kusafirisha Mirungi Kamanda Masejo amesema wamewakamata pia watuhumiwa wengine 38...
  13. Muwa mtamu

    JamiiForums Tanzania TANESCO: Arusha sasa ni rasmi mgao wa umeme?

    Tanesco Arusha, je sasa ni rasmi mgao wa umeme? Mbona hamjatangaza? Ndugu wanaJF, ni takriban wiki 3 sasa Tanesco Arusha wanakata umeme kila siku kuanzia saa 3 asubuhi na unarudi jioni sana. Maeneo mengi yanaathirika na kadhia hii hasa Meru na Arumeru kwa ujumla. Na maeneo kadhaa ndani ya...
  14. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania RPC Kilimanjaro na Arusha wapuuza agizo la Mzee Kinana

    Sasa nimejifunza na kutambua kauli inayosema ‘ ni kauli za kisiasa’. MaRPC wa mikoa ya Arusha na kilimanjaro wameamua kupuuza kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Mh Kinana kwa kufungulia trafic wa kutosha ndani na nje ya miji. Idadi ya matrafiki bara barani imezidi tena na mijini wanazunguka...
  15. tzhosts

    JamiiForums Tanzania Tetemeko la Ardhi Arusha

    Mida ya saa 1:11pm(19:11) Nimeexperience tetemeko la ardhi lilodumu kwa sekune 3-4.Je kuna mwingine aliyesikiia hasa katika Mkoa wa Arusha.Au ni huyu Jirani yangu ameanza mambo yake?
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kumi bora ya Bar za Arusha zisizoshuka viwango miaka yote

    Wakuu hizi ni Bar za Arusha ambazo toka utotoni zipo na zinaonekana bado zipo sana tu. 1. Parma - ipo stendi ndogo. 2. Mrina iliyopo Kaloleni. 3. Keny Garden makao mapya. 4. Sakina Bar 5. Cheetah iliyoko Majengo. 6. Kati makutano Makao mapya 7. Jogoo iliyoko Town 8. Stanley bar iliyoko town 9...
  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Arusha: Afisa Mtendaji ahukumiwa miaka 20 jela kwa ufujaji wa fedha

    Agosti 24, 2022 Jamhuri imeshinda katika Shauri Na. ECO. 90/2020 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha. Shauri hili lilimhusu, JULIUS K. MBISE, aliyeshtakiwa kwa makosa ya Ufujaji na Ubadhirifu, Matumizi Mabaya ya Madaraka pamoja na Kuisababishia Serikali Hasara, kinyume na vifungu vya 28 (1)...
  18. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Wananchi Meru waomba kufufuliwa kwa jengo la mahakama ya iliyotekelezwa, kesi nyingi huishia nyumbani

    Jengo la mahakama ya West Meru lililotekelezwa Wananchi wa Meru wameoimba serikali kufufua mahakama zilizotelekezwa ili kurahisisha usikilizaji wa kesi katika Kata zote zinazoizunguka Meru kutokana hali halisi ya jiogrofia ya maeneo yao ikiwemo umbali, na ubovu wa barabara kwenda kwenye...
  19. B

    JamiiForums Tanzania Kuna Soko la pumba Moshi na Arusha?

    Habari za majukumu ndugu zangu, Naomba kufahamu na connection ya soko la pumba Kwa mikoa ya Arusha na Moshi. Ni pumba laini kabisa za maindi na mpunga Mimi na pumba ya kutosha nipo tabora. Mawasiliano zaidi 0658644485
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania Miezi tisa Radio 5 Arusha inayomilikiwa na Lowassa haijalipa mishahara wafanyakazi wake

    "ANDIKO HILI LIMETOLEWA NA WAFANYAKAZI WA RADIO 5 ARUSHA" "Habari za wakati huu wanahabari wenzetu. Sisi ni Wafanyakazi wa Radio5 Arusha iliyo chini ya TAN COMMUNICATION MEDIA ambayo inamilikiwa na Familia ya Mzee Edward LOWASSA kwa masikitiko kabisa tunalazimika kuandika ujumbe huu kueleza...
Back
Top Bottom