arusha

  1. S

    JamiiForums Tanzania Msaada wa namba za mauzo watu wa Heineken Arusha

    Wakuu kama mtanisaidia ntashukuru sana.
  2. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Mvua yaua watatu Arusha, Polisi watoa Tahadhari

    Watu watatu wamefariki kwa kusombwa na maji ya mvua mkoani Arusha, kutokana na mvua zilizoanza kunyesha katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Watu hao, wamefariki katika Wilaya za Monduli na Longido, ambapo wawili ni wanafunzi akiwemo aliyetarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza siku chache...
  3. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Arusha: Pale kwa Mromboo nimelishwa nyama ya nguruwe

    Hapo vip!! Leo siku ya mwaka mpya, nikaona nimalizie siku pale kwa murombo kwa lengo la kupata nyama ya kuchomaa, nilipo ingia pale nilikuta pako busy sana ila nilipo waangalia watu wengi waliopo pale ni watu wa class ya kawaida sana ila wengi wanakunywa pombe sana. Anyway nikaona sio hiyana...
  4. Upekuzi101

    JamiiForums Tanzania Bongozozo anaitangaza vizuri Tanzania, Serikali fanyeni naye kazi kama siyo hatarishi

    Habari wana jf. Leo nataka niseme kuwa huyu bwana anaitwa bongozozo kuna jambo analifanya na linaonekana na mwelekeo mzuri. Katika video zake nyingi kila anapopata nafasi nzuri huwa anaitangaza sana nchi yetu na vivutio vyake kwa ustadi na weledi siyo ule UJINGA UJINGA wanafanyaga baadhi ya...
  5. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Rais Samia tuondole DC Mtanda Arusha

    Arusha ni Mkoa wa pili kwa kuingiza mapato baada ya Dar. Mapato maana yake shughuli za kiuchumi ikiwemo utalii,madini,biashara za mazao mbali mbali ya kilimo hasa mboga mboga na matunda. Nature ya mji wa Arusha ni starehe Hotel,Pub ....... DC mtanda kaanzisha sokomoko la aina yake anatembea...
  6. Mung Chris

    JamiiForums Tanzania Jifunze namna ya kuandika Business Plan

    Tar 7-8/01/2023 saa 3-9 jion Arusha, Maji ya chai, mafunzo namna ya kuandika BUSINESS PLAN kwa ajili ya ufugaji wa Kuku wa Nyama, Mayai na wa kienyeji, lengo ni kukusaidia kuwa na uwezo wa kuandika mchanganuo wa mkopo. Mahali: Arusha Maji ya chai. Mafunzo ni bure. 0788811136
  7. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta mkulima wa bamia Arusha

    Habari wakuu. Natafuta mkulima wa bamia Arusha. Nahitaji debe/ndoo angalau 40 za bamia iliyo tayari. Mawasiliano 0656388678
  8. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Arusha: Ahukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kumbaka mtoto

    Mkazi wa kijiji cha Geilailumbwa kilichopo wilayani Longido mkoani Arusha, Lemindia Lesiria amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela baada ya kukutwa na hatia ya kumbaka binti mwenye umri wa miaka 16. Mbali na kosa hilo mtuhumiwa huyo na rafiki yake, Kulasa Mandeu wamekutwa na hatia katika makosa...
  9. Ndombwindo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Arusha

    Nijikite kwenye mada moja kwa moja, natafuta kiwanja cha kujenga nyumba, maeneo ya Arusha isipokuwa nje ya mji kidogo, eneo la wastani tu kama 20x25… bajeti ni milioni tatu 3,000,000/-. Kiwanja kisiwe mbali sana kutoka barabarani, Nyakati hizi za mvua ndio pendekezwa kujionea hali ya kiwanja...
  10. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania Ukiachana na Dar es salaam kuna mkoa wenye madada poa (wanaojiuza) kuishinda Arusha?

    Dar es Salaam ni special case maana nadhani hata police wameshindwa kudhibithi ili janga, nilipata nafasi ya kutembelea huko jijiji dar in short sehemu yoyote ile ndani ya dar ukitaka utelezi ni chaap hata uhangaiki, ukitaka first class mpaka wale wa lower class ni wewe tu. Ukiachana na...
  11. jeffmichael

    JamiiForums Tanzania Msaada mabasi ya kwenda Arusha toka Dodoma

    Naomba msaada kujua mabasi ya kwenda Arusha, nilikuwa napanda Shabiby na yamejaa mpaka tarehe 26, binafsi nataka safiri kesho mchana tarehe 21.
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania January Makamba nikuulize unijibu, umeme ulianzia Singida ~ ARUSHA ~ Namanga ~ Nairobi nini kinaendela?

    Rais JPM alibuni mradi wa kisasa wa kutoa grid ya Taifa kutokea SINGIDA~ BABATI.~ ARUSHA~ NAMANGA ~ NAIROBI. Plan hii ingezalisha umeme mkubwa kwa mikoa mradi unakopitia na kuuza umeme Kenya. Sasa nyaya zimesambazwa singida hadi arusha , kutoka arusha kuelekea Namanga kuna ngozo zachuma hakuna...
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Arusha: DC Mtanda akanusha madai ya Gambo kusakwa na viongozi wa Serikali ili auawe

    Mkuu wa Wilaya Arusha (DC), Said Mtanda amesema hakuna mpango wowote wa kiongozi wa Serikali kumuuwa Mbunge wa Arusha Mjini (DC), Mrisho Gambo. Akizungumza na waandishi wa habari DC Mtanda amesema Serikali haina nia ovu dhidi ya Gambo. "Nimekuwa nikiona na kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii...
  14. Mributz

    JamiiForums Tanzania Kongamano la Mwamposa Arusha, naombeni ushauri wa biashara ya kufanya

    Habarini, Nimepata kibanda (eneo la biashara) katika kongamano la Mwamposa litakaloanza siku ya Alhamisi - Jumamosi katika viwanja vya Kisongo Magereza. Bidhaa gani zipo hot sana niweze kucheza na hii fursa? Karibuni wenye uzoefu na hii kitu. Ahsanteni.
  15. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Tsh. Milioni 400 za Bodaboda Arusha zayeyuka, DC na Mbunge watajwa

    Hali si shwari ndani ya chama cha waendesha bodaboda Jiji la Arusha (Uboja) baada ya kubainika zaidi ya Sh400 milioni zimetolewa kwenye akaunti ya chama hicho huku baadhi ya fedha hizo zikidaiwa kutumika kisiasa. Fedha hizo zinadaiwa kutolewa kwenye akaunti ya umoja huo kuanzia mwaka 2018 hadi...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Umeme na maji vitaendelea kupatikana kila siku baada ya Rais kuondoka Arusha?

    Tunajiuliza sana je, umeme huu tuliyoushudia ukiwaka full time tutaendelea kuwa nao? Au ndiyo ataondoka nao? Tunamshukuru sana kwa kuwa hapa, maana kwetu tunatamani angeendelea kubaki kwani hata maji yapo ya kutosha. Je, akioondoka itakuwaje? Hatuna mengi sisi tunasubiri yajayo!
  17. Last Seen

    JamiiForums Tanzania Arusha: Aachwa na Mumewe baada ya kuchora picha ya Nabii Mkuu

    Mwanamke Mmoja jijini Arusha amechora picha yenye jina la mtumishi wa Huduma ya Ngurumo ya Upako anayefahamika kwa jina la Nabii Mkuu Geor Davie. Mwanamke huyo alipoulizwa kwa nini amechora tatoo yenye jina la nabii huyo, alijibu anampenda licha ya kuwa anapitia mwengi. "...Ni jambo la baraka...
  18. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Rais Samia akiwa Arusha ameshindwa kujibu swali la mbunge wa Arusha mjini kuhusu mgao wa umeme

    Akijibu suala la kukatika kwa umeme, Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato aliwataka Shirika la Umeme Tanzania (Tanesco) kufanya ushirikishaji wa viongozi waliopo katika maeneo ili kukubaliana ni maeneo gani ya muhimu kwa ajili ya kupeleka umeme ikiwemo yale ya uzalishaji. Ninajiuliza sipati...
  19. J

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hii ndio Ofisi Mpya ya CCM Arusha iliyokaguliwa na Rais Samia, kuna Chama kilikusanya zaidi ya TZS 18bln Ofisi yao ya Taifa inazidiwa na hii

    Kuna Chama kikubwa cha Upinzani hapa Tanzania Kati mwaka 2015-2020 kilikusanya zaidi TZS 18bln ikiwa ni pesa ya ruzuku Ila mpaka naandika makala hii Kuna baadhi ya majengo yao pale HQ Wanapanga, CCM itabaki ni Chama kiongozi na tutaongoza kwa kapindi kirefu sana.
  20. brokenagges

    JamiiForums Tanzania Ni mamlaka ipi yenye wajibu wa kusimamia matumizi salama ya barabara katikati ya jiji la Arusha?

    Hii nimeiona leo ktk jiji la arusha kwenye barabara ya jogoo house kwenda uhuru road,duka la vinywaji la MAINA HOLDINGS kwa namna wanavyopaki magari yao na hata magari ya wateja siyo salama kabisa kwa sababu barabara ni vinyu hairuhusu gari kupaki kwa kukatiza barabara kwani hii ni hatari kwa...
Back
Top Bottom