TANZIA Rajab - Bulk Distributors - Arusha hayuko nasi tena

Architect E.M

JF-Expert Member
Nov 15, 2010
1,211
1,360
Ndugu wana JamiiForums nawasalimu.

Kwa masikitiko makubwa, jabali kubwa kwenye construction industry Arusha - muanzilishi na mmiliki wa the biggest hardware shop in the northrern zone - Bulk distributors ametutoka.

Mwenyeze Mungu ampumzishe kwa amani.

He was a role model, entrepreneur who started from grass roots to the top of the world.

TUMUOMBEE ALLAH AMPUMZISHE PEMA POPONI
 
R.I.P ... hii habari itanoga kama utatuwekea na kapicha ili tuomboleze vzri ... sisi wengine machozi yetu yapo mbali sana bila kuona walau kapicha .... nawasilisha
 
R.I.P mzee wetu.
Tutamkumbuka kwa Bidhaa Safi kwa bei nzuri na customer service nzuri.
Najazia: duka lake mpaka huku dsm lipo mkuu.
 
Nimesikitika sana, huyu na kijana wake huwa wananifaa sana katika kazi zangu.
 
Back
Top Bottom