Sol de Mayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2016
- 6,347
- 5,950
Habari za mchana huu wapendwa, hope mko wazima na wenye afya tele., wagonjwa na wafiwa poleni sana, Mungu awape wepesi!!
Mada husika👇🏾
Wengi wetu tunatambua majiji makubwa in Tanzania ni mawili tu (Only two cities) 👉🏽 (Dar es salaam and Mwanza)
Swali!👇🏾
Kati ya Miji hii ifuatayo, ni mji upi unafuata baada ya (Mwanza and Dar)??
1.Mbeya
2.Dodoma
3.Arusha
4.Tanga
5.ringa
Nikisema mji upi maana yake ni (Kila kitu kilichomo katika mji husika) kwanzia ukubwa wa mji, kibiashara n.k!
Hapo kwa Iringa japo haijapewa hadhi ya kuitwa jiji, but nimeonelea naye nimpachike hapo kutokana na mji ulivyo, na hata mnaoishi mkoa huo, na mliowahi kufika huko mnajua na mtatuambia katika huu mjadala namna mji ulivyoendelea.
(1.Dar es salaam 2.Mwanza) These are another level, acha tuwaweke pending.
Matusi, dharau, kejeli n.k Hapana, anae ona mada hii inamkwaza apishe wengine.
Karibuni sana!
Kitombile
Mapank n.k
Covax