Habari za mchana huu wapendwa, hope mko wazima na wenye afya tele., wagonjwa na wafiwa poleni sana, Mungu awape wepesi!!
Mada husika👇🏾
Wengi wetu tunatambua majiji makubwa in Tanzania ni mawili tu (Only two cities) 👉🏽 (Dar es salaam and Mwanza)
Swali!👇🏾
Kati ya Miji hii ifuatayo, ni mji upi...
Kwema Wadau!
Mwaka huu DSM kumekuwa na Hali ya hewa ya baridi ambayo imenikumbusha Maeneo yenye hatari kubwa Kwa upande wa baridi.
Watu wengi ambao hawajazunguka hii nchi wanafikiri Arusha na Moshi pekee ndio yenye baridi ya kufa mtu, Kama nawe ni mmoja wapo basi umekosea kabisa, yapo Maeneo...
Wakili wa utetezi Valentine Nyalu, aliyekuwa anawawakilisha aliyekuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha, Dk John Pima (44) na wenzake wawili wanaokabiliwa na makosa manane katika kesi mbili za uhujumu uchumi, amejitoa kuwawakilisha watuhumiwa.
Wakili huyo amechukua uamuzi huo leo...
City College of Health and Allied Science Arusha Campus is hiring HR and Accounts Officer.
Deadline for the application is 6th July 2022 but applications will be reviewed on an ongoing basis. Applicants are recommended to apply as soon as possible
For more information about the job read on the...
Do you have experience in manufacturing/fabricating school furniture? Are you passionate in seeing people enhancing productivity due to the quality of your furniture?
Interested parties are hereby invited to tender for the supply of the following; “The supply of students’ desks, chairs, and...
Habari za muda huu ndugu zangu, namtafuta mwalimu wa kunifundisha kupiga kinanda Arusha, akiwa maeneo ya mjini itakuwa vizuri zaidi, lakini pia akiwa nje ya mji sio mbaya. Kama upo au kuna shule maalum kwa ajili ya kufundisha kupiga vyombo vya muziki, naombeni mniunganishe na muhusika au...
Licha ya Kuwa Aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji la Arusha Dr John Pima na Wenzake wanne amefikishwa mahakamani kwa kosa la uhujumu uchumi bado kuna baadhi ya vishoka ambao wamesalia ambao wakiendelea kuachwa wataharibu kabisa jiji la Arusha Na hili nakuomba sana viongozi wa Chama cha mapinduzi na...
Breaking News: Mwandishi wa Habari Mkoani Arusha, Lilian Oddo ambaye anafanya kazi na mwandishi wa Wasafi tv Bw. profit Mmanga, na yeye amekamatwa akiwa maeneo ya darajani/vibandani njia ya kwenda Kwa Morombo Jijini Arusha, na amepakiwa kwenye gari nyeusi ambayo ndani yake yupo Profit, bado...
Mwandishi wa habari wa Wasafi Media Arusha, Potte Mmanga anadaiwa kukamatwa mchana huu nyuma ya Chuo cha Technical College na watu waliojitambulisha kwake kama askari polisi wakidai wanampeleka ofisi ya RCO kwa mahojiano. Ofisi ya RCO Arusha imesema haina taarifa za kukamatwa kwake.
Chanzo...
Baada ya Serikali kupitia Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro kueleza kuwa imekamilisha maandalizi ya msingi katika makazi mapya yaliyopo Handeni Mkoani Tanga, ambapo yanatarajiwa kutumiwa na Wananchi watakaohamishiwa hapo hivi karibuni, Serikali imezungumzia jinsi Wakazi wa Ngorongoro wanavyoboa...
Ma RPC wana kawaida ya kuja kwenye press conference kuonyesha mabunduki ya majambazi, masimu yaliobiwa, ma cash money, mikuki, mapanga, na kuyabwaga mezani pwaaaaa.....
Sasa kuna polisi kauliwa Ngorongoro, allegedly.
KABLA hujagusa maiti na kuibeba polisi na wachunguzi duniani kote...
POST RECTOR – 1 POST
EMPLOYER: Institute of Accountancy Arusha (IAA)
APPLICATION TIMELINE: 2022-06-10 2022-06-23
JOB SUMMARY
The Rector must have proven experience to develop and coordinate the implementation of academic vision for an institution of higher learning coupled with possession of...
Kwahiyo ukishawapata ndiyo wataenda kuirudisha pumzi na uhai wa huyo Askari Polisi wenu aliyeuwawa?
Na wala GENTAMYCINE hapa sitetei au sifurahii huko kuuawa kwake na nimesikitika kuuliwa ila nimesikitika zaidi kuona leo hii Jeshi la Polisi Arusha linatumia nguvu kubwa ya Kijeshi katika...
Nimekuja jana ila leo hali inatisha sana. Yaani kuna baridi kiasi cha kwamba unatamani usitoke room katika hotel niliyofikia.
Wenyeji huwa mnakabiliana na hali hii kwa mbinu zipi wazee?
Arusha kuna mambo Sana
Baada ya PM kumpiga chini Mkurugenzi Wa Jiji la Arusha John Pima, kwa tuhuma za upigaji akishirikiana na Wachumi 3 na mweka hazina ambao wamehamishiwa Arusha hivi karibuni kimkakati, kumeibuka kikundi Cha CHAWA wake Pima ambao kila kukicha ni kuchafua viongozi wengine...
Matukio ya Rushwa yanaripotiwa kwa wingi Mkoani humo, na takwimu za Januari - Machi 2022 zinaonesha kati ya Taarifa 114 zilizopokelewa na Mamlaka, 91 zilihusu Rushwa
Katika Taarifa hizo, Uchunguzi wa Majalada 63 unaendelea na mengine 28 Uchunguzi wake umekamilika. Taarifa nyingine 23...
Bajeti ya 2020/2021 tuliaminishwa kuwa kiwanda cha General Tyre cha Arusha kingekarabatiwa ili kiwanda kianze kuzalisha matairi. Mpaka sasa ni kimya na sisi wananchi hatuji kinachoendelea.
Kichwa cha habari chahusika.
Vyuo vikuu binafsi nchi hii ambavyo vingi vinamilikiwa na taasisi za dini wanalipa wahadhiri wao mishahara midogo sana. Huwezi amini mishahara ni midogo kuliko hata walimu wa shule za sekondari. Kwa mfano Mhadhiri msaidizi analipwa Tsh Milioni moja kabla ya makato...
Buriani Mrisho Gambo!
Hiyo ndio kauli pekee inayomstahili Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo.
Baada ya "kukusoma" upepo wa SSH kwamba 2025 hakuna mbeleko, ameanza kutapatapa na kumlaumu Kila anayemuona mbele yake.
Sasa analaumu hata maafisa wa chama ambao walikesha usiku na mchana kumpigia...
Sakata la Mkurugenzi Jiji la Arusha, Halmashauri inapaswa kuvunjwa
Jana Mbunge wa Michongo wa Arusha mjini alisikika akilalamika mbele ya Waziri Mkuu kuhusu tuhuma kadhaa ambazo zinamkabili Mkurugenzi wa Jiji!
Mosi huyu Mbunge akumbuke kuwa hana uadilifu wa kukemea ufisadi wa aina yoyote maana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.