Natafuta kazi yoyote ya halali, niko Arusha

Daren

Member
Jun 21, 2019
5
8
Habari ndugu zangu.

Mimi ni kijana (ME) nina umri wa miaka 20. Ninaishi mkoa wa Arusha. Nina shida sana hali ngumu ya maisha Hadi naanza kuta tamaa . Nimeona niweke wazi tu huenda kuna mtu humu atanisaidia kupata kazi yoyote ile ya halali.
Natanguliza shukrani
 
Njoo Abraar Education Centre kibaha, tukufundishe kazi za kuunda /kuuza vifaa vya ujenzi huku unalipwa. Pia unaweza kua backup ya Mwalimu wa Kingereza hapa kwetu baada ya muda mchache (kutegemea na juhudi yako) unakua mtaalam kamili wa vifaa vya ujenzi. Kuanzia kuviund, storage na kuviuza.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa whatsapp 0625249605.

Abdul Ghafur

whatsapp 0625249605.
 
Tatizo sina pesa ya ada
 
Mkuu sorry naomba kuuliza kitu.
Hapo kuna fani ngapi ambazo wanafunzi wapya wanafundishwa.
Je kwa mfano mtu akihitaji kujifunza carpentry, plumbing au Aluminium windows fabrication pia zipo nafasi?
 
Hizo ulizozitaja zipo lakini su kila siku, kwa kua mafunzo yetu ni kwa vitendo (hands-on) źinafundiswa tunapokua na kazi hizo.

Kazi zinazofund8shwa I kila siku ni kuunda vifaa vya ujenzi na ujenzi kwa kutumia cement, kokoto na mchanga.

Pia tuna madarsa ya kila siku ya Computer, English, Arabic na Qur'an.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom