Ngongo
JF-Expert Member
- Sep 20, 2008
- 18,930
- 31,172
Baada ya mwendazake kwenda zake na mambo yake ya ovyo ovyo, maduka ya kubadilisha fedha za kigeni (Forex Bureau) yalirejea lakini katika namna ambayo si ya kibiashara.
Ukienda kununua USD kila siku utaambiwa hakuna na siku wakiamua kukuuzia wanakuuzia USD 100 only.
Haya maduka yapo kwaajili ya kununua tu kuuza wanajua wanapouza. Hii si biashara huu ni ujinga.