alama

  1. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kujengea makaburi zamani walimudu wachache wengi waliweka alama za miti kwenye makaburi ya wapendwa wao

    Miaka ya hivi karibuni imekua ni wajibu kujengea kaburi. Mpaka miaka ya 60, si wengi walimudu gharama za kujengea kaburi. Baada ya mazishi mlisubiri mvua na kupanda tawi au shina la mti pale kwenye kaburi. Mvua zikikatika mti unakua umeshaota na kushika. Hii ndiyo alama ya kukumbuka kaburi...
  2. Gushleviv

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alama hii ina maana gani?

    Nimekutana na hiyo alama maeneo ya Mataa ya Kipawa karibu na uwanja wa Ndege, je ina maana gani?
  3. Mwande na Mndewa

    JamiiForums Tanzania Kwako Nape, umeona hela ya mkopo aliyokula Hayati Dkt. Magufuli?

    HELA YA MKOPO ALIYOKULA JPM HII HAPA. Tuliona utendaji wa kuacha alama katika awamu ya tano, tuliona uwajibikaji uliotukuka na kwa hakika Mabadiliko ya kimaendeleo yaligusa kila mmoja wetu, kama uoni basi utashika utagundua Kweli kuna mabadiliko, kama hushiki basi utakanyaga na utagundua...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Facebook kuacha kutumia mfumo wa face recognition. Alama za sura zaidi ya Bilioni 1 kufutwa

    Facebook itafuta alama za Sura (Faceprint) za Watu zaidi ya Bilioni moja baada ya kutangaza kuwa itaacha kutumia mfumo wake wa utambuzi wa Sura (Facial Recognition). Kumekuwa na shinikizo la kisiasa na kisheria dhidi ya Mtandao huo wa Kijamii kutokana na wasiwasi unaozunguka matumizi ya...
  5. Konseli Mkuu Andrew

    JamiiForums Tanzania Tasmini baada kuanza kwa mifumo ya usajili kwa alama za vidole

    Salaam Wakuu. Leo tujadili kidogo kuhusu matumizi ya mifumo ya kusajili simukadi kwa alama za vidole maana moja kati ya faida tulizokuwa tukiambiwa ni kwamba utaweza kuzuia hali ya uhalifu wa kimtatandao ambao kwa wakati ule ulikuwa umeanza kuota mizizi.Maswali ya kujiuliza: 1. Je mfumo huu...
  6. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hii alama ya duara katika line yangu ya simu inamaanisha kitu gani?

    Kama picha inavyojieleza hapo wakuu unaweza kuona hako kaalama ka duara katika hiyo line ya simu.Wajuzi wa masuala ya tech nijuzeni tafadhali hako ka alama kanamaanisha nini? Kuna saa kanatokea halafu baada ya muda kanapotea.
  7. L

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa reli umekuwa alama ya ushirikiano mzuri kati ya China na Afrika

    Katika miongo kadhaa iliyopita, ujenzi wa reli umekuwa sehemu muhimu ya ushirikiano wa kirafiki kati ya China na Afrika. Kuanzia Reli maarufu ya TAZARA iliyojengwa zaidi ya miaka 50 iliyopita hadi Reli ya SGR ya Kenya, Reli inayounganisha Addis Ababa na Djibouti, na Reli ya Abuja–Kaduna ambazo...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Tukiwa tunasema Kanisa Katoliki ndiyo Alama rasmi ya Ukristo Tanzania na Duniani muwe mnatuelewa tafadhali

    Kanisa Katoliki ndilo kanisa halisi linaloonesha ukristo wa kwelikweli. Nimejifunza nidhamu ya hali ya juu ya mababa askofu, nidhamu ya hali ya juu kwa waumini dhidi ya viongozi wao- Alhad Mussa Salum, Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam. Chanzo: bavicha.tz Ukiona mpaka Muislamu anasifia Jambo...
  9. S

    JamiiForums Tanzania Alama hizi za speed limit highway ya Ubungo hadi Kibamba zipo sahihi?

    Highway ya kuanzia Ubungo mataa hadi Kibaha ipo katika hatua za mwisho kukamilika. Ni barabara nzuri sana yenye upana na nafasi ya kutosha kupitisha idadi kubwa ya magari bila kusababisha usumbufu miongoni mwa watumiaji wa barabara hiyo Hata hivyo kuna hii kero ya alama za speed limit za 50kph...
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania ALAMA ya 666 tuipokee, Itarahisisha mengi. Watu waache kupotosha.

    ALAMA YA 666 TUIPOKEE, ITATUSAIDIA KWA MENGI. Kwa Mkono wa, Robert Heriel. Kwa waliosoma jumbe zangu nyingi watagundua kuwa Mimi ni mwandishi wa maandiko huru. Nayaandika haya Kwa wapenda Uhuru, wenye Fikra huru, lakini Uhuru wenye maarifa yenye akili. Sikatai Dunia inamakundi...
  11. Teleskopu

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu wa Quebec na alama ya Kimasoni

    Wiki hii iliyopita waziri mkuu wa jimbo la Quebec la kanada alifanya press conference kuzungumzia masuala ya ugonjwa huu. Alionekana akitoa ishara ya kimasoni kabla ya mkutano kuanza. Nini maana yake? Hapa chini anaonekana amefumba jicho moja. Je, ana chongo? Anaumwa jicho? Hapana. Hiyo ni...
  12. E

    JamiiForums Tanzania SoC01 John Pombe Magufuli, Rais aliyeacha alama kwenye mioyo ya wanyonge na kuacha kovu kwenye kidonda cha Katiba

    Na Elivius Athanas. Ni takribani miezi mitano na siku ishirini na nne (24) sasa, tangu hotuba ya dharura ya Rais Samia Suluhu Hassan itutoe machozi Watanzania, alipokuwa akitangaza kifo cha Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli aliyefariki Jumatano jioni tarehe 17.03.2021 kwa tatizo la...
  13. Mlolongo

    JamiiForums Tanzania Alama hii ya Tahadhari barabarani inamaanisha nini?

    Naiona sehem chache sana. What's so special about it?
  14. sky soldier

    JamiiForums Tanzania NIDA ni mzigo tu matapeli wanajisajili vipi bila alama za vidole

    Yaani hii nchi vituko havujawahi kuisha, pamoja na serikali kutukamia haya mambo ya Nida lakini bado tunaambiwa tuwe tunahakikisba taarifa ya line tulizosajili, hii kwahiyo inamaanisha tapeli akiwa na namba yako ya nida anaweza kusajili line? Hii ishu hata siielewagi maana ninachojua ni kwamba...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa wanaojua size ya nguo kwa zile alama za kirumi mfano..xl,xxl nk

    Rejea kichwa Hapo juu.., Samahani wakuu me Nina tatizo dogo,nashindwa kutambua hizo ALAMA katika nguo maana binafsi zinanichanganya.juzi Kati nilienda kufanya k shopping kidogo,nikachagua package ya boxer moja Sasa bila kudadisi nikanunua na kuondoka,kufika home kesho yake nilipotaka nivae kiLa...
  16. Baraka Mina

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tuache alama ili nchi yetu ipate maendeleo ya haraka

    Je tutaacha alama hapa duniani pale muda wetu wa kuishi kulingana na wito na kusudi la kuwepo kwetu hapa duniani utakapokuwa umefikia ukomo? "Haijalishi umeishi miaka mingapi bali umeweka alama gani katika miaka uliyoishi" ni moja ya mstari ambao huwa tunausikia katika misiba na mafundisho...
  17. Shujaa Mwendazake

    JamiiForums Tanzania Jakaya Kikwete yupo nchini Zambia kumwakilisha Rais Samia, mazishi ya Kaunda

    Rais Mstaafu wa Tanzania, Dkt. Jakaya Kikwete yupo nchini Zambia kumwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye shughuli ya kitaifa ya kuaga mwili wa Mwendazake Rais wa Kwanza wa Zambia, Kenneth Kaunda. Hapo awali nilishuhudia mkutano kati ya Bwana huyu na Balozi wa Marekani, ukiachilia mambo...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa jinsi Ole Sabaya alivyovimba Macho, kuna Alama Usoni mwake na anajitahidi kuficha Kuchechemea Kwake niwapongeze sana Askari Magereza

    Kuna Mtu aliniambia Siku moja kuwa ukitaka ujue Kozi ya Askari Magereza ni ngumu na inakaribia au hata Kufanana na ya Komandoo nitembelee Chuo chao. Kwa nilivyomuona Ole Sabaya ( hasa kwa Macho yangu ya Udadisi ) nimegundua Askari Magereza wanaomchunga huko waliko wamefanya vyema mno Kazi yao...
  19. T

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu CCM weka alama Tanga

    Mh. Daniel Chongolo Katibu Mkuu wa chama tawala,ninakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ukiwa ziarani Tanga ninajua sipo nje ya ajenda zako lakini ninakupa dondoo kidogo kwamba kero zilizopo Tanga ni. Migogoro ya ardhi iliyosababishwa na Shigela,Mayeji na kikosi kazi chao cha...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakati wana Yanga wakiwacheka wana Simba kwa Kutokufuzu, Mchanganuo huu Muhimu wa Alama unawahusu na wauelewe vyema pia

    Ufuatao ni Mchanganuo wa Alama wa kwanini Msimu ujao katika Michuano ya Kimataifa Tanzania inaingiza takribani Timu Nne. Simba SC imechangia Alama (Points) 24 kutokana na Kushiriki Kwake na Kufanya vyema kwa Kujitahidi Kufika hadi Robo Fainali kwa miaka Miwili. Namungo FC imechangia Alama...
Back
Top Bottom