alama

  1. S

    Je, Twiga ndio alama ya Tanzania (national animal) mbali ya bendera?

    Hili nalo neno ! Siku hizi kila nchi au baadhi ya nchi zimekuwa na ubunifu inawezekana a majority of the raia living in are unaware of what its national animal. Nakumbuka kuna vazi la Taifa ingawa sioni kupewa kipau mbele. Zaidi ya twiga inaweza wakaongezeka au kuongezwa,aongezwe Kima Punju...
  2. Deogratias Mutungi

    Sera ya Rais Mwinyi ya Uchumi wa Bahari " Blue Economy" ni alama ya ukombozi kwa wanyonge kiuchumi

    Salaam Wana JF. Wakati wa kipindi cha kampeni Rais wa sasa wa Zanzibar aliongelea kwa kina maono yake na mtazamo wake juu ya uchumi wa baharini yaani "blue Economy" bila shaka hii ilikuwa ni ahadi nzuri na sera yenye mantiki katika kukuza uchumi wa watu wa Zanzibar hasa wanyonge, kwa maana...
  3. Mau Mau

    Fahamu Alama ya jicho lenye maana ya siri kubwa likihusishwa na Ushetani

    Dhana ya uwepo wa kitu cha siri imeghubika nembo za kwenye sarafu na kufanywa kuwa ishara au alama inayoonekana. Alama ya 'Jicho' - hili ni jicho ndani ya umbo la pembe tatu - ni moja ya alama inayohusishwa na masuala ya ushetani ambayo pia imeonekana kuwa na uhusiano wa karibu na Iluminati...
  4. Infantry Soldier

    Kwanini tunaendelea kupakana rangi vidoleni punde baada ya kupiga kura 2020 licha ya kuenea kwa teknolojia hii ya alama za vidole (Fingerprinting)?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu watanzania eti; Kwanini bado tunaendelea kupakana wino/rangi vidoleni punde baada ya kupiga kura 2020 licha ya kuenea kwa teknolojia hii ya alama za vidole (Fingerprinting)? (1) Nini mantiki ya kupaka rangi kidole cha mpiga kura...
  5. J

    Teknolojia ya Alama za QR inavyoweza kubadilisha biashara yako

    Moja ya changamoto ya kutoa huduma yenye ushindani ni kutumia njia ya haraka na salama ya kutoa taarifa kuhusu bidhaa au huduma yako. Kama njia ya kurahisisha upatikanaji wa taarifa, teknolojia inawezesha uwezo wa kuhifadhi taarifa kuhusu bidhaa au huduma katika mfumo utakaowezesha taarifa hiyo...
  6. Yoyo Zhou

    Shenzhen: Alama ya mafanikio ya sera ya mageuzi na ufunguaji mlango nchini China

    Miaka 40 baada ya kuanzishwa kama eneo maalum la kwanza la Ukanda wa Kiuchumi nchini China, Shenzhen imeibuka na kuwa alama ya mageuzi na ufunguaji mlango wa China. Mji huo umebadilika kutoka kijiji cha uvuvi na kuwa mji mkubwa wa viwanda na fedha. Utafiti uliofanywa na Program ya Makazi ya...
  7. J

    GE2020 Dkt. Magufuli: Mchagueni Jah people kwa sababu hatuchagui digrii, mkiniletea wale wa alama ya "manati" sitawaelewa!

    Dkt. Magufuli amewataka wananchi wa Makambako wamchague Mgombea Ubunge wa CCM Jah people kwa sababu kwenye ubunge hatuchagui degree bali mtu. Dkt. Magufuli amesema Jah people salamu yake ni Kidumu chama cha mapinduzi hivyo wakimleta bungeni wataelewana ila wakimleta yule anayesalimia kwa alama...
  8. Jidu La Mabambasi

    GE2020 Membe, soma alama za nyakati

    Siasa ni mchezo mmoja wa ajabu. Siasa haitaki hasira wala kuilazimisha. Taabu anayopata Mh Magufuli kujinadi sasa hivi haikutegemewa, pamoja na mazuri mengi aliyofanya. Ndugu yetu Membe kaingia siasa kwa mdundiko wa wengi. Wapiga mdundiko walipotuliza ngoma sasa ndo tunaona mambo dhahiri...
  9. B

    CHADEMA msitumie CORONA kama moja ya ajenda ya kwenda Ikulu. Someni alama za nyakati. Kwa hoja ya CORONA Magufuli ni Shujaa kwa Watanzania walio wengi

    Mods naomba msiunganishe Uzi huu ubaki kama ulivyo. Natumaini hamjambo wana JF wenzangu. Nilirudi kwenye hoja yangu ya msingi. Ni dhahiri kuwa kutokana na janga lililoikumba dunia na hatua zilizochukuliwa na kila nchi, hapa kwetu Tanzania hatua zilizochukuliwa na Rais wetu zimeonekana...
  10. 101 East

    Zijue alama na maana za kudhibiti maudhui kwenye muvi/filamu

    Habari wakuu, Wengi wetu tumekuwa watumiaji wa visimbuzi vya makampuni mbalimbali ili tuweze kupata burudani za filamu,tamthilia na michezo Kwa ujumla ili kuburudika na kuelimika Kwa watumiaji WA DSTV na visimbuzi vingine mara kadhaa kwenye channel tv zinazoonyesha muvi za action, documentary...
  11. feyzal

    GE2020 Adam Mchomvu ampiga mtama Emmanuel Mbasha stejini kwenye tamasha la CCM uwanja wa Uhuru

    Wakuu naangalia Channel Ten uzinduzi wa nyimbo za kampeni kwa CCM nimeona Adam ndo host lakini kafanya kituko cha hovyo kwa kumpiga bunda Emmanuel Mbasha jukwaani hadi kuanguaka baada ya kuona Emmanuel Mbasha kazidisha masihara japo E Mbasha amezuga na Adam nae kazuga ila wameharibu. Ni aibu...
  12. GENTAMYCINE

    Baada ya ukweli kuhusu sakata la Bernard Morrison 'Kuvuja', huenda Yanga SC 'ikanyang'anywa' alama zake na viongozi wake kufungwa na kukamatwa

    Taarifa nilizozipata kutoka katika Chanzo changu 'Nyeti' zinasema kwamba kilichogundulika juu ya Sakata zima la Mchezaji Bernard Morrison ni kwamba Klabu ya Yanga 'imedanganya' kuhusu 'Mkataba' wake na kwamba hata 'Sahihi' yake pia 'imefojiwa' kinyume na Sheria. Ukweli kamili wa hili upo njiani...
  13. T

    "Kamilisha usajili wa ugali kwa alama ya mchicha"

    Alisikika kijana mmoja akinadi biashara yake ya mchicha. Wabongo mna maneno!
  14. Duduvwili

    Makonda akabidhi ofisi kwa RC Kunenge, adai ofisi hiyo ina majungu mengi

    Wakuu Shalom naona mubashara hapa RC Matata Bwana Makonda akidai kua anafurahia sana kwenda kumtunza Mwanae na kwamba hajapoteza lolote na amedai70% ya wananchi wa Dar ni wambea uzi tayari ntazidi kuwajuza. ======= NISAMEHENI NILIPOENDA KINYUME NA MAPENZI YENU. MAADAMU YESU NINAYE, MUSIWE NA...
  15. S

    Wanasiasa ninaowaongelea, waliokomaa na wanaosoma alama za nyakati ni kama hawa ambapo hapa kwetu hawapo na kama wapo, basi ni wachache sana

    Senator Bernie Sanders of Vermont announced that he would exit the presidential race, saying he no longer saw a realistic path to the Democratic nomination. I cannot in good conscience continue to mount a campaign that cannot win and which would interfere with the important work required of all...
  16. J

    Tendo la Ngono ni alama ya kudumu ya watu wawili walioshiriki

    Hakika kama umeshiriki tendo la Ngono na mwanamke au mwanaume tambua huyo hutaachana nae milele ilo ni agano la milele hadi kufa hivyo tunzeni viungo vyenu vya siri
  17. R

    Kutoka alama 'Jembe na Nyundo' hadi kuwa alama ya 'Jiwe'"

    Habani wana JF Toka enzi za TANu kabla na baada Uhuru wa Tanganyika hadi kuzaliwa kwa CCM, chama hiki kimekuwa kikijinasibu kuwa ni chama cha kutetea maslahi ya Wakulima na Wafanyakazi wa nchi hii! Tangu Serikali ya awamu ya Rais Magufuli maarufu a.k.a Jiwe iingie madarakani Wakulima Tanzania...
  18. A

    Elimu kwa Umma juu ya matumizi sahihi ya alama barabarani na uzingatiaji wa sheria

    Hongereni sana Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia kitengo chenu cha usalama barabarani kwa kazi mnayofanya kupambana na waharifu wa barabara,pia hongereni wizara ya afya kwa kushirikiana na vyombo vyote vya ahabari nchini, mitandao ya kijamii n.k. katika kutoa elimu juu ya madhara ,namna ya...
  19. Wakulonga

    Wale ambo tulikuwa wabishi kusajili line za simu kwa alama za vidole na mpaka leo zinatinga tukutane hapa

    Mimi nilikuwa miongoni mwa watu ambao nichukulia poa zoezi la kisajili laini kwa alama za vidole nikajua tz ndo zetu huwa mambo hayaishi na ni kweli mapka leo laini yangu inapiga mzigo mwanzo mwenga. Je wewe uzimiwa au inapiga mzigo
  20. Equation x

    Tubadilike wakuu, tujitahidi kuacha alama

    Maisha ya mwanadamu hayatabiriki na hasa kutokana na majanga ya maradhi ya hapa na pale. Mbaya zaidi nyakati hizi kuna maradhi yanapoteza uhai bila hata kujiandaa, umelala mzima unaamka marehemu. Na kinachosikitisha zaidi unakuta mtu labda alikuwa na miaka 40, 30, 27, n.k na hakufanikiwa...
Back
Top Bottom