ajira

  1. JamiiForums Tanzania SoC03 Kuimarisha mahojiano ya ajira kwa vijana: Chachu ya maendeleo ya Taifa

    Mahojiano ya ajira (Interviews) ni mchakato wa kawaida katika upatikanaji wa ajira ambapo waajiri hutathmini uwezo na sifa za waombaji kupitia mifumo mbalimbali ikiwemo upimaji wa maarifa kupitia maswali mbalimbali pia upimaji wa ujuzi kupitia uoneshaji wa vitendo. Leo hii ninapenda kuangaza...
  2. JamiiForums Tanzania SoC03 Inaelezwa kwamba Mbali na Mtaala Mbovu, Ajira za Kujuana ni chanzo kingine cha Elimu Mbovu Nchini

    I. Utangulizi Elimu ni nguzo muhimu katika maendeleo ya taifa lolote, na taasisi za juu za elimu zina jukumu kubwa katika kutoa elimu bora na kuandaa wahitimu wenye ujuzi na uwezo wa kuchangia katika maendeleo ya nchi. Hata hivyo, nchini Tanzania, mbali na mtaala mbovu unaohitaji kuboreshwa...
  3. JamiiForums Tanzania Je, Tangazo la Ajira TRA ni la kweli?

    Nimeona tangazo la nafasi za kazi kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) kwa nafasi mbali mbali. Maswali langu ni: 1. Imekuwaje TRA wamejipa(kama ni kweli) jukumu la kuanza mchakato wa ajira(recruitment process)? 2. Ni lini sheria imebadilika kutoka PSRS(Sekretariat ya Ajira katika Utumishi...
  4. JamiiForums Tanzania Ajira 800 za afya kumwagwa

    wizara ya afya jana imetangaza kumwaga ajira 8000 na hii ni kutokana na uhaba mkubwa wa watumishi katika hospital za rufaa, kwa hiyo vijana jiandaeni tena kufanya maombi ili mlambe asali
  5. JamiiForums Tanzania Mradi wa bomba la mafuta EACOP watoa ajira 3,000 Tanzania

    Mradi wa Bomba la mafuta ghafi unaojengwa kutoka Hoima nchini Uganda kupitia Tanznaia hadi Chongoleani mkoani Tanga umetajwa kutoa ajira zaidi ya 3,000 ikiwemo 300 za kudumu hapa nchini Mradi huo utakaokuwa na urefu wa zaidi ya Kilometa 1147 mbali na ajira utatoa pia fursa mbalimbali za ajira...
  6. JamiiForums Tanzania Hakuna mantiki kutoa ajira kwa usawa baina ya wanawake na wanaume ilihali mzigo wa kutunza familia unabaki kwa mwanaume

    Haina mantiki, na hakuna logic yeyote kwa kutoa nafasi za ajira kwa usawa baina ya wanawake na wanaume ilihali mzigo wa kutunza familia pamoja na huyo mwanamke mwenye ni la mwanaume kwa 100%. USHETANI! Haina mantiki, na hakuna logic yeyote ya kumuongezea mwanaume mzigo wa kulipa house girl...
  7. JamiiForums Tanzania Ussi Salum Pondeza - Tukiimarisha Suma JKT na Kiwanda cha Nyumbu wataweza kutengeneza ajira rasmi na zisizo rasmi

    MBUNGE USSI PONDEZA - TUKIIMARISHA SUMA JKT & KIWANDA CHA NYUMBU WATAWEZA KUTENGENEZA AJIRA Mbunge wa Jimbo la Chumbuni, Mhe. Ussi Salum Pondeza akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa iliyosomwa na Waziri Mhe. Innocent Bashungwa bungeni jijini Dodoma amesema...
  8. G

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Uhasibu

    Nnnnnn
  9. C

    JamiiForums Tanzania Watu 8,476 kusaka nafasi 42 za ajira zilizotangazwa na Bunge

    Hii habari iko kwenye gazati la Nipashe, kama ni kweli hiyo hali anatupa taswira gani katika soko la ajira? Hi ni timing bomb, kuna haja ya vyuo kubadili mitaala ya kozi zisizokuwa na soko kwenye market yetu. ====== Tume ya Utumishi ya Bunge imetangaza ajira za kada mbalimbali ambapo walioitwa...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Maaskofu Katoliki mnawaambia vijana wa Kitanzania waliopo Italia warudi nyumbani wakimaliza masomo, mna ajira za kuwapa?

    Maaskofu Katoliki wamemaliza hija Roma na pia mkutano wao na Baba Mtakatifu. Baada ya hapo wamekutana na watanzania waishio Italia hasa katika jiji la Roma wakiwepo wanafunzi. Wakiongozwa na askofu mkuu Nyaisonga, maaskofu wamewaasa vijana hao kurudi nyumbani Tanzania mara wamalizapo masomo...
  11. JamiiForums Tanzania Mbunge Kwezi Ataka Ajira kwenye Miradi Zizingatie Vijana wa Maeneo yao

    MBUNGE ALOYCE KWEZI ATAKA AJIRA KWENYE MIRADI ZIZINGATIE VIJANA WA MAENEO YAO Mbunge wa Jimbo la Kaliua Mkoa wa Tabora, Mhe. Aloyce Andrew Kwezi akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi kwa mwaka wa fedha 2023-2024 ya Shilingi Trilioni 3.554 iliyosomwa na...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta Ajira Dar es Salaam

    Habari wanajamii, Mimi ni kijana mwenye shahada ya uhandisi mitambo (Bsc in Mechanical Engineering) naishi Dsm. Jinsia ME, Kwasasa sina kazi yoyote, hivyo kama kijana mwenzenu nnaetafuta kujikwamua kimaisha naombeni msaada wenu niweze kupata kazi yoyote ya halali kwa maana hali imekuwa ngumu...
  13. S

    JamiiForums Tanzania SoC03 Ukipata ajira kijijini furahi

    Ni ndoto yakila mtu kuwa na mahali ambapo patampatia ujira ambao utaweza kuyamudu maisha yake, mara nyingi tunapozungumzia neno ajira huwa tunazungumzia watu waliopata elimu juu ya jambo fulani inaweza kuwa ni udaktari, Ualimu, Uanajeshi na taaluma nyinginezo ijapo ajira huwa zinalenga watu wa...
  14. JamiiForums Tanzania Ni maumivu gani ulipitia kipindi huna ajira?

    Da maisha haya! Leo nimeamka asubuhi nikiwa na simanzi kubwa moyoni. Mpenzi niliye naye kanipiga chini kisa Sina pesa za kutosha, Sina kazi Nina vyeti na kazi ndogo ndogo za kitaa zinazosababisha nilipe Kodi. Mdogo angu wa mwaka 2002 kaajiliwa jeshini JWTZ (form four) muda huu anakula mshahara...
  15. JamiiForums Tanzania Kazi na ajira ni tofauti

    Katika lugha ya kawaida, maneno "kazi" na "ajira" mara nyingi hutumiwa kwa namna ambayo inafanana. Tunatumia maneno hayo kuelezea jinsi tunavyopata kipato chetu. Katika mazingira ya kawaida, hatuhitaji kutumia maneno sahihi kila wakati. Tunajaribu tu kufahamika. Hivyo, hatuhitaji kufuatilia...
  16. JamiiForums Tanzania Hivi mtu mwenye imani ya Rasta anaweza kupata ajira serikalini?

    Wadau naomba kujuzwa hili maana nina mjukuu wangu anasoma, ndoto yake aje kuwa Dokta na sisi ni rastafari. Je, anaweza pata ajira?
  17. A

    JamiiForums Tanzania SoC03 Andiko kuhusiana na suala la Ajira

    Utawala bora na uwajibikaji ni muhimu sana katika suala la ajira katika nchi yetu. Ajira ni muhimu sana katika maendeleo ya kiuchumi na kijamii, na ina jukumu kubwa katika kuhakikisha usalama wa maisha ya wananchi. Hata hivyo, katika nchi nyingi, utawala bora na uwajibikaji katika suala la ajira...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Serikali iungwe Mkono Kutengeneza Ajira Milioni 8 Sekta ya Kilimo

    JUZI, Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, amesema serikali Ina mpango wa kutengeneza ajira milioni nane kwa vijana ifikapo mwaka 2025, kutatua changamoto ya ajira. Kauli hiyo aliitoa bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Buhigwe, Felix Kavejuru aliyetaka kujua mkakati wa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Ili kuhalalisha usumbufu: Baada ya kuitwa kwenye ajira, unasubirishwa kwa kwa takriban mwezi ili vyeti vihakikiwe, bila kuwezeshwa kujikimu!!

    Huwezi kuamini kuwa watu wenye akili zao timamu walioaminiwa na Taifa kushughulikia ajira, wakaamua kuweka utaratibu usio rafiki wa kuajiri kwanza kabla ya kujiridhisha na uhalali wa vyeti vya waajiriwa. Halafu akiisha kuitwa kwenye kituo chake cha kazi, ndipo huambiwa subiri kwanza uhakiki wa...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Ajira zilikuwa kipindi Cha jk toka hapo ajira imekuwa ni za kubeep!!

    Kuna watu wanamdiss jk lakini ukweli ni kwamba kipindi Cha jk kila kitu kilifunguja na ajira kila mahala.hata jeshi hakukuwa na haja ya kupita jkt kila mtu aliyekuwa na passion basi jeshi ilikuwa easy. Walimu na madaktari wote wanaopenda kuajiriwa serikalini walipata ajira bila kunakiza mtu. Jpm...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…