ajira

  1. Torra Siabba

    JamiiForums Tanzania Dodoma: Mradi wa Barabara ya Mzunguko umezalisha ajira kwa watu zaidi ya 1,000

    Mradi wa Barabara ya Mzunguko Mkoani Dodoma una urefu wa Kilometa 112.3 na umegawanyika katika sehemu mbili. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Dodoma, Mhandisi Leonard Chimagu anasema sehemu ya kwanza ya Mradi huo inaanzia Nala – Veyula - Mtumba hadi Bandari Kavu ya Ihumwa na urefu wake ni Kilometa...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Maafisa utumishi na watu wenye uelewa wa ajira na utumishi wa serikali naomba ushauri

    Kuna jamaa yangu ni mtumishi wa serikali kajiriwa kama mwalimu na kituo chake cha kazi ni halmashauri x na shule x , ana degree ya uhasibu na postgraduate diploma ya ualimu, hivyo kigezo alichoingilia kazini na kumpa ajira ni postgraduade diploma na sasa yupo daraja E anaenda daraja F...
  3. houstony

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira au internship nimesoma MECHANICAL ENGINEERING

    Habari ndungu zangu Nimehitimu shahada ya Mechanical Engineering. Naombeni msaada kupata kazi au internship maana nimeshazunguuka sana maofisini kuomba kazi bila mafanikio.
  4. D

    JamiiForums Tanzania Ajira elfu 13 mpaka Sasa maombi ni laki nne

    Tukiwaambia JPM aliharibu nchi nyie sukuma gang muwe mnaelewa. Chukumia mfano tu huu am ambapo JPM miaka yake yote haajiri Wala kupandisha madaraja lakini kila siku anatupiga fix eti tuko uchumi wa kati. Sasa angalia madhara yake karundika magraduates mtaani kiasi ya kwamba mama anastrugle sana...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani: Serikali kuajiri watumishi 30,000 mwaka huu

    Serikali katika Mwaka huu wa Fedha yaani 2022/23 imetoa vibali vya Ajira 30,000. Maelezo hayo yametolewa na Mh. Ridhiwani Kikwete, Naibu Waziri Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora alipokuwa anajibu Swali la Mbunge wa Mburu Mjini Mh. Zakaria Issay.
  6. benzemah

    JamiiForums Tanzania TIC yasajili miradi ya trilioni 3 ndani ya miezi mitatu, kuzalisha ajira 16,440

    Kituo cha Uwekezaji kimesema kimesajili miradi 93 yenye thamani ya Dola za Marekani bilioni 1.2 sawa na Sh trilioni 2.814 za Tanzania katika kipindi cha robo ya tatu ya mwaka huu wa fedha. Mkurugenzi Mtendaji wa TIC, Gilead Teri ameeleza hayo katika ripoti ya uwekezaji ya kila mwezi ya TIC kwa...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Vijana wajipanga kufanya Maandamano ya Amani kumpongeza Rais Samia kwa kutoa Maelfu ya Ajira

    Ndugu zangu Watanzania, Vijana kwa umoja wao na kwa kujitambua pasipo kushinikizwa na mtu wanapanga mikakati ya kufanya maandamano ya Amani Nchi nzima Kumpongeza Rais wetu mama Samia suluhu Hassani kwa namna alivyo fanya kazi kubwa ya kutengeneza na kutoa maelfu ya ajira kwa vijana ndani ya...
  8. benwise

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje ili niweze kutuma maombi ya ajira Serikalini?

    Salam wakuu.kuna ndugu yangu amehitimu chuo cha ualimu kwa level ya shule za msingi miaka mitatu iliyopita na sasa kwa zaidi ya miaka miwili anajitolea kwenye shule fulani huo mkoani. Changamoto iliyopo tangu ajira zimetangazwa mara ya kwanza na hata sasa ameshindwa kuomba kutokana na...
  9. Sauti ya amani

    JamiiForums Tanzania Namna ya kutuma maombi ya ajira TAMISEMI kwa waombaji wapya na wale waliowahi kuomba

    Wakuu napenda kuomba msaaada namna ya kutuma haya maombi ya ajira mpya ,je anwani za barua ni zipi?na kwa walioomba awali wanatumia mfumo upi asnth
  10. L

    JamiiForums Tanzania Kila siku mabasi mapya yanaingia bongo lakini hutosikia tangazo la nafasi za kazi, hizo ajira wanawapa akina nani?

    Habari wakuu! Nadhani kwa kipindi hiki wengi mnaelewa katika tathnia ya usafirishaji abiria (mabasi) kumekuwa na ushindani mkunwa sana. Yaani katika ushindani huo imefikia kipindi watu wanaingiza mabasi nchini kwa wingi kuliko kawaida, lengo ni kuweza kuhimili ushindani huo kwa kuboresha huduma...
  11. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Katika hizi Ajira Mpya za ualimu TAMISEMI Mtu aliyesoma masomo ya arts tofauti na kingereza hizi nafasi hazimuhusu?

    Nimesoma PDF ya Tamisemi nimeona watu wa arts wamepigwa k.O Na K.T.O Sasa hii imekaaje naona English ndo wamepewa nafasi tu.
  12. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Fahamu hili kuhusu Fao la Urithi/Mirathi

    Je, wajua mnufaikwa wa Fao la Uzee (Old Age Pension) akishachukua kiinua mgongo na kuanza kulipwa monthly pension (Malipo ya kila mwezi) na baada ya miezi miwili/mitatu+ akafariki, Dependant wake wanakuwa hawana kitu cha kwenda kudai kwenye Mfuko? Kwa PSSSF tegemezi watakuwa hawana kitu cha...
  13. DOMINGO THOMAS

    JamiiForums Tanzania Ajira za TAMISEMI

    Hakikisha una upload vyeti ambavyo ni certified ( Vyeti vyenye muhuri wa Mwanasheria ) Cover Letter ( Barua yako ya maombi ) inakuwa na sahini yako chini/mwishoni mwa barua.
  14. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia aridhia TAMISEMI kuajiri watumishi 21,200 kada ya Afya na Elimu

    TAMISEMI yatangaza ajira 21000 afya na elimu 2023 ====== Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia ajira mpya 13,130 za kada ya Ualimu watakaofundisha katika Shule za Msingi na Sekondari. Aidha, idadi ya watumishi...
  15. Gotze Giyani

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kukuza kipato nje ya ajira?

    Wadau habari za muda, Mimi ni kijana wa Kitanzania, ninaomba mnisaidie mawazo yenu. Nilikuwa nimewekeza pesa zangu kama 30m kwenye mfuko wa UTT Amis, sasa faida ipo ila sio kubwa sana maana ni kama 300k kwa mwezi. Sasa ninataka nianze biashara maeneo ya Kanda ya Ziwa. Biashara gani ninaweza...
  16. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa ajira, makosa ni ya Serikali, Jamii au mtu mwenyewe?

    Katika jamii na taifa kwa ujumla kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira. Watu wengi: waliohitimu mafunzo na wenye taaluma pamoja na wasio wahitimu pia wasio na mafunzo, hawana kazi za kufanya. Kwa vyovyote vile, hali hii si nzuri kwa ustawi wa mtu mmoja mmoja, jamii au taifa. Suala la kazi au...
  17. Blender

    JamiiForums Tanzania Je, Taasisi na Mashirika wafanye saili kama kipindi cha Kikwete?

    Kutokana na PSRS kushindwa kufanya kazi kwa ukweli, welidi, ubunifu, hivi vitendo vimepelekea kuwa na shutuma nyingi juu ya utendaji wa hii TAASISI. Na hivyo wadau tukamkumbuka bingwa wa diplomasia jk kipindi Cha uongozi wake jinsi michakato ya ajira ulivyokuwa inafanyika, watu walikuwa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira Mkoa wowote

    Habari zenu. Naitwa Steven Godlsten Natafuta ajira Mkoa wowote ajira ya halali... Elimu yangu ni Kidato cha Nne. Mofisini, Kampuni, Madukani hata Mashirika pia Mimi niko Mkoa wa Kilimanjaro.
  19. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Tanzania bado ina uhitaji mkubwa wa mashirika ili kuongeza ajira kwa Watanzania. Kuua mashirika ni kuua ajira

    Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mimi Meneja Wa Makampuni naomba kuzama kwenye mada moja kwa moja: Nashauri tu: Kama serikali imeshindwa kuendesha baadhi ya mashirika kama TTCL, basi tumpe mwekezaji ili afanye biashara kwa faida huku akitengeneza ajira na kuiletea Serikali mapato. Tunaweza...
  20. benzemah

    JamiiForums Tanzania NIDA yakanusha kutangaza nafasi za ajira, tuepuke matapeli

    Kufuatia uwepo wa taarifa za baadhi ya wananchi hususani kutoka Zanzibar kupigiwa simu na watu wasiowajua wakiwafahamisha kuwa wanatafutwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ili waajiriwe na kuwataka wananchi wanaowapigia simu wawatumie tarifa zao na pesa ili kuwasaidia kupata ajira...
Back
Top Bottom