ajira

  1. Salary for lecturers (Masters degree/PhD.) - NGAZI ZA MISHAHARA SERIKALINI

    Halo kila mtu I am a scientist from Germany and very interested in tanzania. This is why i applied for a funded research project with the university of dar es salaam. Since I need the actual salaries for admitting it to our german funding agency, I wanted to ask if there is any public table...
  2. T

    Serikali isipobadilisha Sera zake 2020-2025 watu wengi watakosa ajira

    Naiomba serikali yangu sikivu iangalie upya Sera zake maana kule tunaenda kama Sera hazito badilika hali itakuwa mbaya sana. Ikumbukwe Kwa SASA secta binafsi imepunguza kuajiri na walio kuwepo Wana punguzwa. Na makampuni mengi yanasubiri uchaguzi upite wapunguze watu hiyo sio Siri. Sera ya...
  3. S

    Natafuta ajira

    Habari zenu wote, Nina umri wa miaka 44 na ninatafuta ajira. Niko kwenye matatizo na hali yangu kiuchumi ni ngumu. Nina uzoefu wa mambo ya stationary, kuuza duka, reception. Ninaishi Kijichi na niko tayari kuanza hata Jumatatu ijayo. Nitashukuru msaada wenu.
  4. Sera ya Elimu ya JK 2014 ingesaidia kuimarisha ajira za uhakika, kwanini wapinzani waliibeza na Uongozi huu ikaitupilia mbali kabisa?

    Kifupi kabisa ni sera iliyolenga kila Mtanzania anapomaliza elimu awe na ujuzi mahususi utakaosaidia kujiajiri na kujenga Taifa. Sera hiyo ilikusudia kila mwanafunzi amalize kidato cha nne na kisha ajiunge ama na chuo cha ufundi au ustadi kitakachokuwepo kila Kata ili apate mafunzo ya...
  5. Mkitoa ajira za Waalimu Kabla ya uchaguzi mtampunguzia kura mgombea wa CCM

    Walioomba ajira ni zaidi ya laki. Alafu wachaguliwe hao watu 13000. Mini matokeo yake. 1: Kwanza wakuochaguliwa wote hawatapiga kura maana watakuwa maeneo yao ya KAZI. 2: Waliobaki wote zaidi ya 87,000 hawatampigia mgombea wa CCM kwa hasira ya kukosa ajira wakati enzi za JK wote walikuwa...
  6. Wale waliokutana na ajira toka UNCIED, kimbieni mnaibiwa! UN wanasema hawana chombo kama hicho

    Jamani wadau nimehangaika na hawa watu tangu May nikiamini nimekula shavu but nimetembelea ukurasa wa UN nimekuta tahadhari kubwa mno juu ya utapeli wao. Japo hawajafanikiwa kuniibia chochote but wamenipotezea muda sana. Na tangazo lao lilikuwa hili. Waliolipata na kujaribu kulifanyia kazi...
  7. M

    GE2020 Chato: Yaliyojiri Mapokezi ya mgombea Urais wa JMT kupitia CHADEMA, Tundu Lissu

    Mgombea wa Urais anayetarajiwa kupata ushindi mkubwa Tundu Lissu leo ataitetemesha Chato na viunga vyake katika kampeni zake zilizoivuta Dunia. Taarifa kutoka ndani ya Team yake ya Kampeni kabla ya kuhutubia mkutano wa Hadhara atautembelea Uwanja wa ndege wa Chato uliozua gumzo nchini kote...
  8. GE2020 Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira na kudharaulika, Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie

    Dkt. Magufuli: Vijana wanakosa ajira, Vijana wanadharaulika wengine wamemaliza kusoma hawapati ajira > Miaka 5 inayokuja nataka suala la ajira nilishughulikie kwa nguvu zote. Kama tumeweza kuupandisha uchumi, kujenga Fly-Over, siwezi kushindwa suala la ajira kwa Vijana
  9. K

    Nafasi za kazi mbalimbali Halmashauri ya Wilaya ya Bukoba

    Kazi kwenu ndugu zangu
  10. Nahitaji ajira ya uwalimu au yoyote ile

    .
  11. Sera za uchumi za Magufuli sio rafiki na haziwezeshi upatikanaji wa ajira nje ya mfumo wa Serikali

    Nilipoandika kuhusu kufungwa kiwanda cha tumbaku Morogoro mjini na karibia ajira 1000 kupotea wale wenye vyama vyao kama kawaida yao wakaleta siasa. Watu hao 1000 wapo mtaani. Pembeni yake palikua na kiwanda cha kutngeneza nguo. Hicho nacho kimesimamisha uzalishaji ingawa kwa hicho sababu...
  12. Bongo ndio nchi pekee ambayo mapenzi ni ajira

    "Kwa hali ilivyo sasa viumbe esp. jinsia pinzani waishio katika Tized hasa maeneo ya mijini wamegeuza swala la mapenzi kuwa kama ajira kwa maana wanadai stahiki zote a.k.a house allowance, transport allowance bila kusahau invoice za kujikimu a.k.a per diem yani misosi, saluni, vocha vocha hizi...
  13. Mapungufu niliyogundua kwenye mfumo wa maombi ya ajira za ualimu

    Mwaka jana kuna taarifa zilisambaa kua kuna walimu wa kiswahili wamepangwa kufundisha hesabu,vivyo hivyo hata mwaka huu tutarajie hali hiyo kujirudia. Sababu zinazochangia makosa kama haya ni pamoja na: Mfumo ulioandaliwa na TAMISEMI kutokuwa na uwezo wa kutambua masomo (Teaching subjects) ya...
  14. C

    Natafuta ajira ya Ualimu (Private School)

    Habari za muda huu. Ndugu zangu mimi natafuta ajira ya ualimu maana maisha hapa Dar es salaam ni magumu sana. Mimi nilikuja Dar kwa ajili ya chuo tu kwahiyo sina hata ndugu sasa chuo nimemaliza na sina shughuli yoyote.(sikusoma kwa mkopo). Kijijini kilimo ni cha jembe na hata nauli ya kuendea...
  15. GE2020 Bi.Hamida: Tumchague prof. Lipumba awe Rais wa nchi hii na mimi niwe Makamu wa Rais wa nchi hii tuwezeshe watu wenye ulemavu kupata elimu na ajira

    TUMCHAGUE PROF.LIPUMBA AWE RAIS WA NCHI HII NA MIMI NIWE MAKAMU WA RAIS WA NCHI HII TUWEZESHE WATU WENYE ULEMAVU KUPATA ELIMU NA AJIRA" BI.HAMIDA ABDALLAH HUWEISHI MGOMBEA MAKAMU WA RAIS CUF." MWANZA Serikali itakayoongozwa na CUF itatenga fungu maalum la kuwawezesha watu wenye ulemavu wapate...
  16. D

    PICHA: Wananchi wengi wajitokeza kuomba ajira za muda za NEC. Kwa kweli kama nchi tumefika pabaya

    Polisi wamelazimika kutawanya umati mkubwa uliojitokeza jijini Dar es Salaam leo kuomba ajira za muda za NEC. Sisi kama taifa kusema kweli kuna mahali pakubwa mno tumeteleza. Hili sasa ni janga!
  17. GE2020 Special Thread: Taarifa za Kampeni za mgombea Urais kupitia CHADEMA, Tundu Lissu na Salum Mwalimu

    Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho. Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
  18. Natafuta kazi yoyote au Kibarua

    Habari zenu Wakubwa; Naamini hamjambo. Mimi pia. Mimi ni kijana wa kiume mwenye miaka 24. Natafuta kazi ama shughuli yoyote halali inayoweza kuniingizia kiasi chochote cha pesa. Kwa wakati hui sina maamuzi ya kuchagua wala utashi wa kuweka masharti juu ya aina au kiwango cha ugumu wa kazi. Pia...
  19. Tatizo kubwa hapa ni elimu yetu na pia hao walio mfanyia tathmini ya ajira huyu afisa wa serikali

    Kama stakabadhi ya ofisi ya serikali Ina makosa ya kiuandishi namna hii, tena kwa lugha ya taifa. Hii inaashiria nini?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…