ajira

  1. K

    JamiiForums Tanzania Ajira 5000 za Hayati Magufuli zimepotea, ajira 6,000 za Rais Samia hazieleweki. Sasa hivi tunazungumzia ajira 12,000 bajeti ijayo

    Kulikuwana ajira 5000 ambazo tulizoaahidiwa na Hayati Magufuli aliyekuwa Rais wetu mpendwa muda ukayoyoma na zikapotea bila majibu ya kueleweka mara wamesharipoti in PM voice bungeni nayo ikapita. Kipenzi chetu Mungu akamchukua kazi ya Mungu haina makosa (RIP Rais Magufuli) Tukaja mama...
  2. JamiiForums Tanzania Natafuta ajira wizara ya fedha

    Habari wadau..! Leo nimeona nisikae kinyonge niombe kazi hapa JF,maana nimesikia watu wanalipana 100milion kwa siku nchi hii. Sasa na mm naomba mwenye koneksheni ya wizara ya fedha tupeane natafuta kazi hata ya kufagia, tukale wote keki,Cv yangu ipo poa tu nina PhD ya wanyamapoli😂😂😂
  3. JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu: Jibu sahihi kupunguza changamoto ya ajira ni ujenzi wa viwanda

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema mkakati wa Ujenzi wa Viwanda ndio jibu sahihi la kupunguza changamoto ya Ajira Nchini kwa ngazi zote. Amesema, "Changamoto ya Ajira ipo duniani kote ikiwemo hapa kwetu Tanzania. Kila Serikali inaweka utaratibu mzuri wa kukabiliana nayo" Ameeleza...
  4. C

    JamiiForums Tanzania Ajira kugawanywa bara na visiwani, nafikiri kuna tatizo

    Ajira kugawanywa bara na visiwani nafikiri sana kuwa ingefaa ajira zipatikane kupitia taratibu za ushindani, bila kujali mtu anatoka wapi, iwe kwa taasisi za umma, serikali ya JMT, iwe kwa ajira kwenye vyombo vya usalama. Ni nini kimepelekea kubadili mfumo wa ajira? Kama watu wa upande mmoja...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Spika umenena kweli kuhusu Bunge kufuatilia ajira lakini kwanini ni baada ya awamu ya tano?

    Awamu ya tano ndiyo iliyoasisi ajira za kifichoni. Taratibu hazikufuatwa kabisa kabisa. Awamu hiyo ilipoingia tu Taasisi za Serikali kwa kiasi kikubwa ziliacha kushindanisha wafanyakazi. Ikawa ni kuchukua tu mtoto wa dada weka pale. Ndugu yake Spika weka pale, nk. Ndugu yangu alisafiri na Mkwe...
  6. JamiiForums Tanzania Suala la ajira likizidi kupuuzwa na wanasiasa, basi nasema "This country will be fated to end badly''

    Sekta binafsi ndiyo mwarobaini wa ajira nchini. Nchi za ulaya pamoja na kuwa na teknolojia pamoja na wataalamu lukuki lakini hazijafikia kiwango cha kuwa na madaktari wanaozurura mtaani, walimu wanaozurura mtaani pamoja na wauguzi wanaozurura mtaani eti kwa kisingizio cha ajira ni tatizo la...
  7. JamiiForums Tanzania Makala fikirishi kuhusu ajira nchini

    Niwasalimu kwa jina la Jamhuri wakuu, Bila kuwa na bla blaa kibao, naomba niende moja kwa moja kwenye mada yangu niliyokusudia kuwaletea humu ndani. Ni kuhusu suala la ajira kuwa gumu nchini na kueza waona baadhi ya taasisi nyingi ya kiserikali wakijaribu kupitisha majina ya watu wao katika...
  8. JamiiForums Tanzania Ningekuwa sina ajira ningefanya jambo moja ambalo lingenipelekea kuajiriwa haraka na kwa urahisi

    Hii njia ambayo nitaianika hapa si njia rasmi na si njia ya kuweza kutumiwa kichwakichwa. Hakikisha suala la ajira na sifa kedekede unazitupa mbali, let's say vitakuja automatically. Ningefanya upelelezi kwa kina, ningeweza hata kufanya jambo kwa muda wa mwaka mmoja ili nikusanye taarifa za...
  9. JamiiForums Tanzania Ushauri: Walimu wapitishwe Sekretarieti ya Ajira kama kada zingine

    Huu utaratibu wa kuwaambia watu kuomba ajira kisa tu wamesoma na wamemaliza ngazi zao elimu sio sawa, na umeshapitwa na wakati hapa nchini. Na uchumi hauna tena uwezo wa ku-accomodate majority ya walimu na hata kada za afya. Njia pekee ambayo itaisaidia kwa asilimia kubwa utapeli, rushwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hatua za dharura za kuchukua kupambana na janga la ajira nchini

    Pamoja na kwamba Mimi ni mshabiki wa Magu, lakini hilo haliniondolei kuona madhaifu yake. Jamaa aliacha kuajiri wahitimu ambao serikali zilizopita ziliwaandaa, na kuwapa kipaumbele katika kupata mikopo ya elimu ya juu ili kuweza kukidhi mahitaji ya waalimu na watumishi wa afya Lakini miaka...
  11. JamiiForums Tanzania Kigezo cha ajira kwa waalimu iwe GPA

    Kwako mheshimiwa waziri wa OR-TAMISEMI napenda wizara yako itambue kuwa mfumo wa waalimu Tanzania wanaandaliwa kwa mitihani na kufaulu kwa Madaraja tofauti hivyo wizara yako kupendekeza kigezo cha kujitolea kama kipaumbele cha kuajiri hamtatenda khaki kwa waliotuma maombi. Mosi,uongozi awamu...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ugumu wa ajira hadi kwenye kazi ngumu

    Siku ya leo palikucha sina ramani na sielewi natoboaje, nikaona ngoja nizame viwandani. Nikapiga moja moja mpaka ubungo garage kiwanda cha sabuni cha mo nikakuta raia kiasi nikasubiri nje, watu wakaanza kuchaguliwa wale wakongwe na wapya wachache, tuliobaki tukakosa. Nikona fresh sio zali...
  13. JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali inawambia watu ambao haiwezi kuwaajiri waombe nafasi za ajira?

    Kwenye tangazo la ajira kada ya afya na ualimu kigezo ni wahitimu waliomaliza kati ya 2012-2019. Lakini leo bungeni waziri Ummy anasema wataajiri waliomaliza kati ya 2012 na 2015. Sasa kulikuwa na maana gani ya kuwambia waliomaliza kati ya 2016 hadi 2019 kuomba hizi ajira ikiwa kipaumbele ni...
  14. JamiiForums Tanzania Naomba kujua kama kuna watu waliitwa interview ajira za mahakamani

    Mwezi february tume ya mahakama ilitangaza ajira katika kada tofauti. Naomba kufahahamishwa kama kuna watu washaitwa interview.
  15. JamiiForums Tanzania Tatizo la ajira Tanzania sio kubwa ila wanohusika na wizara ndio wanalifanya lionekane kubwa

    Habari wadau! Nimewaza sana baada ya kutangazwa zile ajira elfu tisa na za walimu na kada ya afya huku waliotuma maombi ni zaidi ya 80,000 inatia kinyaa sana kuona ajira elfu tisa tu zinajadiliwa mpaka bungeni. Nilikuwa na mapendekezo kwamba ili tatizo la ajira linachagizwa na mambo mengi...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Utumishi mmefunika kombe? Kwanini Watumishi wa ajira 2014 - 2017 wawekwe daraja moja?

    Mnachokifanya sasa sio sawa kuwaweka ajira 2014, 2015, 2016, 2017 kwenye daraja moja bila kuangalia umri kazini. Mnachokifanya sasa ni kusahau miaka watumishi waliopotezewa kwenye masuala ya uhakiki na vyeti feki. Pia kuna ajira 2012 na 2013 walikaa miaka 6 bila kupanda kwa sababu za kilichoitwa...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai aache kupotosha umma kwamba ajira zinatolewa kwa upendeleo wa kikabila na kikanda

    Mheshimiwa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai amepotosha umma mchana kweupe kudai ajira za ualimu zilizopita zilitolewa kwa misingi ya kikanda na ukabila kwa sababu ukiachilia mbali jina moja lililojirudia kila ukurasa, mchakato wa ajira zilizopita ulifanyika kwa haki...
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Spika Ndugai: Ajira ziwe zinazingatia usawa wa Kijografia

    Spika ndugai alinena hiyo jana akiwa bungeni alitahadharisha sana kama taifa tuna hitaji ajira zinazo serikalini zizingatie uwiano ulio sawa yaani kimikoa, na hata Kidini. Ametahadharisha endapo ajira zitaelemea kuajiri au hata kuteua watu wa aina mmoja kwa maana ya kimaeneo hata kiimani moja...
  19. JamiiForums Tanzania Ni kwa namna gani naweza kupata kazi za Afya nchi za Ulaya?

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu zangu wa Tanzania naomba kuuliza kwa wenye uzoefu juu ya kupata kazi za afya (uuguzi) katika nchi za ulaya Mimi nina degree ya Uuguzi (bachelor of Nursing) sasa nataka kwenda kufanya kazi nje ya nchi hususani ulaya, marekani na...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa ajira za watu waliosomea Human Resource Management

    Nijulisheni kuhusu Ajira za watu waliosoma Human Resource Menagment na pia kwa aliemaliza degree ajiendeleze na Kozi zipi? Au asomee skills ipi?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…