Kujisajili kwenye Mfumo wa Ajira za TAMISEMI upande wa AFYA inasumbua

Gamlemilwe

JF-Expert Member
May 26, 2013
290
200
Ninapata changamoto wakati wa kujisajili kwenye mfumo wa Ajira TAMISEMI ambapo nikifika hatua ya kuhakiki taarifa unatoka ujumbe wa kwamba Taarifa zangu haziendani na Taarifa za NECTA. Nimehakiki kila Taarifa ziko sahihi

Capture.PNG

View attachment 1783537

View attachment 1783536
Angalia cheti chako cha form 4 kisha andika majina kama yalivyotokea katika cheti cha form 4. Kama umetumia majina mawili basi weka hayo mawili au kama umetumia mawili na initial letter basi weka majina mawili na hiyo initial letter
 
Back
Top Bottom