ajira

  1. 5

    JamiiForums Tanzania Biden aweka record ya ajira 6.6 milioni ndani ya mwaka 1

    Ndivyo nilivyosoma kupitia ukurasa wa CNN asubuhi hii, Biden amevunja record ya ajira kwa 6.6 million added kuliko marais wote waliowahi kushika madaraka marekani kwa kipindi cha mwaka mmoja toka aingie madarakani. Kuna watu humu walijaribu kutaka kulinganisha utawala wake na aliyepita Bw Trump...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kijana aliyekataa ofa ya $5000 toka kwa Elon Musk apata ofa ya ajira

    Kijana Jack Sweeney aliyekuwa akitrack private jet ya tajiri namba moja Duniani Elon Musk amepatiwa ofa ya kazi kwa kampuni moja inayojishughulisha na masuala ya aeronautics kampuni hiyo imeamua kumpatia kijana Sweeney ajira kutokana na uelewa wake wa masuala ya flight data hata hivyo mpaka...
  3. Tate Mkuu

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI mjitahidi kutenda haki kwa Walimu wanaojitolea mashuleni

    Lengo la huu uzi ni kutaka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa Tamisemi. Baada ya Mh. Rais kuiagiza Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) kuajiri walimu 6000 kutokana na uhitaji ulio sababishwa na vifo na kuacha/kufukuzwa kazi kwa baadhi ya walimu, natarajia zoezi linalo fuata ni...
  4. Aliko Musa

    JamiiForums Tanzania Njia mbili (2) za kustaafu ukiwa huru kifedha, ajira ina mchango mkubwa kustaafu mapema

    Kustaafu ni kufikia uwezo wa kifedha wa kuweza kufanya chochote utakacho kulingana na kiasi cha utajiri wako. Kwangu mimi kustaafu sio kuacha kufanya kazi (ajira au biashara). Neno kustaafu nimekutumia kwa lengo la kumaanisha kueleza hatua anayofikia mtu ya kifedha. Sina maana uache kufanya...
  5. Prof Koboko

    JamiiForums Tanzania Wimbo mmoja tu wa "Kajenga Madarasa", hakuna kingine kikubwa zaidi?

    Yaani chama chetu cha Mapinduzi CCM sijui kina matatizo gani, hakuna kiongozi anayeweza kusimama akataka jina la Mama akaacha kutaja Madarasa. Hivi kuna kubwa zaidi ya hili? Hakuna mradi wowote alioanzisha Mama umegharimu zaidi ya Trilioni 1.3? Tunasahau kuwa kuna watu walijenga shule za kata...
  6. Artificial intelligence

    JamiiForums Tanzania Kati ya vijana milioni (1)wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka, ni vijana 200,000 wanaopata ajira rasmi , huku 800,000 wakibaki bila ajira rasmi

    Tanzania ni nchi yenye idadi ya watu ambayo ni vijana: asilimia 75 ya idadi kubwa ya watu iko chini ya umri wa miaka 35. Inakadiriwa kuwa kati ya vijana milioni moja (1) wanaoingia kwenye soko la ajira kila mwaka, ni vijana 200,000 ndiyo wanaofanikiwa kupata ajira wakati huo huo, na waliobaki...
  7. dubu

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022

    Orodha ya Majina ya Walioitwa kwenye Usaili Ajira ya Konstebo wa Uhamiaji 2022.
  8. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Baada ya kumaliza changamoto ya madarasa tutaajiri walimu 7000

    Hello unemployed teachers! Poleni kwa kusubiri na bado mtaendelea kusubiri Serikali yenu bado INA mambo mengi ya kimaendeleo lakini haija wasahau . Leo tarehe 27/01/ ni birthday ya Mh. Rais SAMIA SULUHU HASSAN akiwa Dodoma alipiga simu kwa waziri wa elimu aliyekuwa mgeni rasmi wa tamasha pale...
  9. GUSSIE

    JamiiForums Tanzania Tafuta pesa achana na siasa za Tanzania. Je, wajua Tanzania siasa ni ajira?

    Usipokuwa na malengo na maono ya mbali utaishia kujadili maisha ya wana ccm na wanasiasa mpaka uzee wako huku hakuna faida unayopata zaidi ya kutengeneza duara la umaskini Katika familia yaani (Family poverty life cycle) Mawazo yako ndio msimamo wa maisha ya watoto na wajukuu zako baadae...
  10. samurai

    JamiiForums Tanzania Tuache kuvumilia wazembe, wajinga na wapumbavu makazini, wapo watanzania wengi uraiani hawana ajira

    Kama kichwa kinavyojieleza Ni ujinga na upumbavu kuendelea kulea wazembe, wajinga, wapumbavu, wezi nk huko makazini huku mtaani kuna malaki ya vijana kwa wazee hawana ajira. Ni wakati wa Serikali, taasisi zake, na mashirika yote yaliopo Tanzania kulibeba hili na kutolea wazembe, wajinga na...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Kazi na Ajira anza na hili la kikokotoo kwa wastaafu

    Ikikupendeza Mh. Ndalichako tafadhali sana hebu kairejeshe sheria iliyoanzisha kikokotoo kwa wastaafu bungeni ili ifutiliwe mbali kwani ipo kinyume na haki za binadamu na ni kinyume cha katiba ya jamhuri ya Tanzania. Jenga legacy kwenye wizara hii kwa kuifuta sheria hiyo kandamizi kwa wastaafu...
  12. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania ILO - zaidi ya Waafghani nusu milioni wamepoteza ajira sababu ya Taliban

    Shirika la Kazi Duniani ILO limesema zaidi ya nusu milioni ya Waafghani wamepoteza kazi zao baada ya Taliban kuchukua madaraka mwaka uliopita. Katika ripoti mpya iliyotolewa leo, shirika hilo la Umoja wa Mataifa limesema idadi ya ajira zilizopotea huenda zikafikia laki tisa ifikiapo katikati...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Nguvu kuelekezwa katika ajira za walimu na matundu ya vyoo

    Baada ya kujenga madarasa 15,000 na kuwezesha wanafunzi wote waliofaulu kujiunga kidato cha kwanza, Serikali ya Mhe. Rais Samia Suluhu inaelekeza nguvu kwenye ajira za walimu na mtundu ya vyoo. Azma ni kuimarisha ubora wa elimu kwa manufaa ya wananchi na Taifa. #MamaYukoKazini
  14. At Calvary

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa ajira za ualimu utachukua muda gani mpaka ajira kutangazwa?

    Wakuu kwema. Jana nimeona itv wameandika kuhusu mchakato wa ajira za ualimu, wakimnukuu naibu tamisemi. Kwamba hio ni baada ya madarasa kukukamilika sasa ni muda wa kujenga matundu ya vyoo na mchakato wa ajira kuanza. Sasa ningependa kujua inaweza ikachukua muda gani mpaka mchakato huo...
  15. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania EWURA Makao Makuu Dodoma wajifunza utapeli wa ajira hewa

    EWURA MAKAO MAKUU DODOMA WANATANGAZA. KAZI NA HAWAITO WATU KWENYE INTERVIEW MATOKEO YAKE WANAAJIRI KINYEMELA. Mfano ajira hii tangu itangazwe hadi leo Hakuna kinachoendelea ila unaweza Kukuta Nafasi hii ilishajazwa huku watanzania Salisbury kuitwa kwenye Interview. January Makamba upo...
  16. GOYA MNANDA

    JamiiForums Tanzania Nikajua kujitolea ndio kuzingatiwa kupata ajira

    Mimi nimeitimu chuo miaka 10 iliyopita yaan 2012 niliamini kujitolea ndio njia sahihi ya kuzingatiwa katika ajira nikajitolea kuanzia 2013 adi 2018 katika taasisi mbalimbali za umma kwa uaminifu mkubwa akika nimejifunza mengi makubwa mahusiano kazin nk unaachiwa ofis ya umma unafanya kaz zote as...
  17. joa Treder

    JamiiForums Tanzania Natafuta/naomba ajira

    Naitwa Fausta nina umri wa miaka 21 naishi Dar nina elimu ya chuo nimesomea secretary nina uzoefu wa mwaka na miezi 6. Natafuta kazi pia usafi maofisini naweza nisaidieni waungwana
  18. Equation x

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wanakosa ajira kwa sababu ni 'incompetent'

    Wanatakiwa waelewe, kampuni binafsi inahitaji mtu smati na aliyeiva kweli kweli, ili kuendelea kubaki kwenye nafasi yako; kwa sababu lengo la makampuni ni kutengeneza faida na si hasara. Sasa utakuta vijana:- Wengi hawajimudu kwa kile walichokisomea au wanachokielezea wanaweza kukifanya...
  19. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Acha kutafuta ajira

    Habari za wakati huu, Miaka zaidi kadhaa iliyopita nilihitimu masomo yangu ya sekondari.Baada ya kuhitimu nilirudi nyumbani na tukakutana marafiki kadhaa ambao wote tulikuwa tumehitimu tukisubiri matokeo.Katika kipindi hicho nakumbuka siku moja katika majadiliano ya hapa na pale tuliulizana...
  20. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Serikali iachane na malipo kwa masikini wa TASAF bali ianze kuwalipa pesa walemavu wote wasio na ajira

    Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
Back
Top Bottom