ajira

  1. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na kauli ya Rais kudharau msimamo wa Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje

    Nimeshangazwa na kauli hii ya Mh Rais, kuita msimamo wa mteule wake Waziri wa Kilimo juu ya kuzuia uagizaji wa sukari nje, kuwa NONSENSE, tena hadharani. Nimesikitishwa na kauli hiyo kwa sababu mbili. Moja, public reprimand kwa kiongozi mwandamizi, sidhani kama ni utawala bora. Na hii naanza...
  2. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Serikali Yaipongeza TotalEnergies Marketing Tanzania Limited Kwa Uwekezaji Mkubwa, Kujenga Uwezo wa Technology Transfer, na Kutoa Ajira Kwa Watanzania

    Serikali imeipongeza Kampuni ya Mafuta ya TotalEnergies, kwa kuunga mkono juhudi za Tanzania kujenga Tanzania ya viwanda kwa kujenga viwanda, kutoa ajira, na kuleta teknolojia kwa Watanzania, ambapo kabla ya ujenzi wa kiwanda cha vilainishi, Tanzania ilikuwa ina aagiza lubricants kwasababu...
  3. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira

    Habar wapendwa me natafuta Ajira naelimu ya maendeLeo ya jamii ngazi ya diploma nipo arusha umri 23 nawasiliana 0765482195
  4. K

    JamiiForums Tanzania Ajira za TANESCO mchakato umesitishwa

    Mwezi october mwaka huu wa 2021 zilitangazwa nafasi kadhaa za ajira shirika la umeme Tanzania-TANESCO. Juzi hapa waliita watu kadhaa kwa baadhi ya kada. Sasa basi nikamuuliza jamaa yangu ambae kwa nafasi yake pale Tanesco sina shaka nae kabisa. Jmaa akaniambia mchakato umesitishwa kwa baadhi...
  5. X_INTELLIGENCE

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Gardaworld imetangaza nafasi za kazi kwa madereva

    Ndugu madereva leo nimewaletea hii fursa GARDAWORLD ni kampuni iliyopo ndani ya kampuni ya ulinzi iliyokuwa inafaamika kwa jina la K.K security. Kampuni hii ya ulinzi ni miongoni mwa kampuni kubwa zinazotoa mshahala angalau kidogo kuna kaunafuu, maana NSSF inazingatiwa na mafao mengineo kwa...
  6. Anna Nkya

    JamiiForums Tanzania Saruji Tanga kuzalisha ajira zaidi

    Habari njema kwa watu wa Tanga na Tanzania kwa ujumla, kutoka na kazi kubwa inayofanywa na Rais Samia katika kuboresha diplomasia ya uchumi na mazingira rafiki ya uwekezaji', Kampuni ya Huaxin Cement ya China kwa kushirikiana na Mfuko wa Uwekezaji wa CADFUND imeanza uzalishaji wa saruji mkoani...
  7. Jamii Opportunities

    JamiiForums Tanzania Job Opportunity: Graphic Designers at Jamii Forums

    Jamii Forums is a Tanzanian Non-Governmental Organization that advocates for and promotes Civil and Digital Rights, Social Justice, Accountability, Democracy and Good Governance. Jamii Forums operates JamiiForums.com, Tanzania’s famous digital content platform with its Social Media pages, well...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Dc Iramba afanikisha askari 85 wa jeshi la akiba kupata ajira Suma JKT

    Iramba, Singida. Mkuu wa wilaya ya Iramba Mkoani Singida Mhe Suleiman Yusuph Mwenda amefanikisha askari 85 wa Jeshi la akiba waliohitimu mafunzo yao kupata ajira SUMAJKT. Mhe Mwenda ameeleza hayo Jumatatu Novemba 15, 2021 wakati akifunga mafunzo ya askari wa Jeshi la akiba katika viwanja vya...
  9. Ileje

    JamiiForums Tanzania Kwa hoja hii ndoa kuvunjika kutofikishwa bungeni Mbunge wa Makete hatoshi

  10. M

    JamiiForums Tanzania Malipo ya fao la kukosa ajira kila mwezi (33.3%)

    Ndugu wana JF, Nimekuwa naomba kupewa muongozo kuhusiana na hayo malipo ya NSSF. Kwa ufupi baada ya kufatilia kwa muda wa miezi mitatu nilifanikiwa kupewa instalment ile ya kwanza (33.3%) ya basic salary, tarehe 7 mwezi wa kumi. Kinachonitia shaka sioni update yoyote ya invoice ya pili, kwa huu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Samia awapa shavu Wazanzibar: Ajira asilimia 21 za Muungano kuwa za Wazanzibar

    Watu milioni 58 wanagombania asililia 79 ya Ajira Ila watu milioni 1.5 unawapa asilimia 21 ya Ajira Hongera mama, Charity begins at home. Watanganyika huu ni muda wa kukaa na kutafakari huu muungano una faida na sisi au la? Hebu tazama 1. Mzanzibar ana haki ya ardhi yote ya Tanzania...
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Mwenye kujua ajira za LNG Plant mkoa wa Lindi zinapatikana lini anijuze

    Habarini za asubuhi naombeni kujua huu mradi wa ela nyingi nimesikia umeanzishwa uko LINDI na nadhani utahitaji watu mbalimbali. Naomba kujua nafasi za kazi zinapatikana vipi uko, maana mimi nipo mbali kidogo nipo mkoani KIGOMA huku nilitaka kujua ili nijue naanzia wapi kutafuta kazi huko...
  13. Oxlade_Chamberlain

    JamiiForums Tanzania Kozi ya Construction Management ajira zake zipoje?

    Msaada kuhusu construction management endproduct yake anakuwa mtu gani na ajira zake zikoje Naomba msaada wa hio course wakuu
  14. guojr

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Sekretarieti ya Ajira Serikalini (PSRS)

    Habari za muda huu wana jukwaa, leo ningependa kutoa ya moyoni kuhusu majanga yaliyonikuta katika mchakato wa kuomba kazi Serikalini. Huenda sio mimi tu bali wengi wetu yametutokea au yanatukwaza kwa namna moja au nyingine. Nitazungumzia mambo matatu ambayo kwa maoni yangu yanapaswa kuangaliwa...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Tusipotoshane, ajira ina nafuu na uhakika zaidi kuliko kujiajiri

    Kwanza kabisa naomba tuyaelewe haya makundi matatu KUNDI LA KWANZA - ALIEJIAJIRI / SELF EMPLOYED Huyu biashara inamuhitaji ili iende, yeye ndie ngvu kazi kuu ya kuieiendesha biashara kwa bidii yake na hata akiajiri bado yeye inabidi ahusike kwa level ya juu sana ili biashara iende, Wengi wao...
  16. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Utofauti upi umewahi kuushuhudia kati ya anaepata ajira inayolipa vizuri akiwa bado kijana na yule ambae umri umeenda kidogo?

    Kuwahi kumaliza chuo sio kuwahi kuajiriwa achilia mbali kuajiriwa sehem inayolipa mshahara safi na marupu rupu kibao. Kuna wengine wanamaliza vyuo wana 22, ajira wanaingia taasisi kubwa wakiwa na 23, wengi wao niliowashuhudia pesa nyingi ilitumika zaidi kwenye magari. Wengine wanamaliza wana...
  17. I wish i have

    JamiiForums Tanzania Siasa chokonozi za kutengeneza ajira pamoja na haki za wanyamapori

    Watoto wa ujerumani hawa sijui wataacha lini ili tukajege ukuta kwenye hifathi za wanyama pamoja na kuweka schemu za umwagiliaji kwa lengo la kutunza mazingira pamoja na kulinda haki za wanyama na mimea juu ya jua kali, kuongeza mapato na fedha za kigeni pamoja na kuongeza ajira kwa vijana na...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote!

    Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejiment ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora === SERIKALI imesema watumishi 15,578 waliobainika kughushi vyeti na kupata ajira hawastahili kurudishwa kazini wala kulipwa malipo yoyote. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi...
  19. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Usisomeshe mtoto shule za gharama kwa matarajio kwamba atapata ajira, utaishia kuumia tu

    Kumekuwa na tabia ya baadhi ya wazazi wakisomesha watoto wao shule za gharama za private toka chekechea, msingi, o level na advance mpaka chuo kwa mategemeo kwamba watakuwa na ajira zenye malipo ya juu, watoto wakimaliza chuo hawana ajira aua ajira zinakuwa za chini, kwa o yanageuka kuwa...
  20. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Serikali ya Tanzania tunaombeni ufafanuzi kwanini EWURA haawajiri kupitia sekretarieti ya ajira kama TRA na TANESCO wanavyofanya?

    Habarini za wakati huu viongozi mbalimbali wa serikali, ndugu zangu, kaka zangu, baba zangu, marafiki zangu kwa ujumla. Siku ya leo nimekuja na swali muhimu sana. Swali langu nalielekeza EWURA. "Naombeni ufafanuzi kwanini EWURA haawajiri kwa kupitia sekretarieti ya ajira kama TRA na TANESCO...
Back
Top Bottom