ajira

  1. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania KIMENUKA: Ajira EAC Secretariat

    Wakenya wamejiongeza kula bingo hapo Secretariat - Arusha, Wabongo wamebakia wafagizi na madereva (comfortably). Wabunge toka Uganda wamestukia michezo ya wakenya kupiga sarakasi na kuendelea kula mikataba ya maana. Wawakilishi wa TZ kwenye EALA wapo Ila wametulia jii
  2. Valencia_UPV

    JamiiForums Tanzania Ajira EAC Secretariat

    Aisee EAC Secretariat japo Ipo Arusha (TZ) lakini Watanzania tumeishia kubakia nafasi za chini (udereva, wafagizi, receptionist). Sasa Wabunge toka Uganda nao wamestukia chezo la wakenya kujazana humo. Wabunge toka TZ wametulia Kama hakuna kinachoendelea, huku wakilamba posho zao bila bugudha
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Machache haya yataiokoa Serikali na Machinga wake

    MACHACHE HAYA YATAIOKOA SERIKALI NA MACHINGA WAKE. Anaandika, Robert Heriel Awamu ya tano ilisitisha Ajira za kila mwaka, ilikuwa awamu ambayo serikali ilipunguza kuajiri Kwa Asilimia kubwa Hali iliyoleta Malalamiko Kwa wasomi waliohitimu vyuoni. Katika kutatua changamoto hiyo ya Ajira, ndipo...
  4. Stroke

    JamiiForums Tanzania Tamko la kuondoa wamachinga mijini liende sambamba na kuwaondoa watoto wa vigogo kwenye ajira Serikalini

    Inasikitisha mno, Namna maskini asiye na kipato akinyanganywa fursa yake hata ndogo tu ya kuilisha familia yake. Wakati haya yakiendelea. Watoto wa vigogo wamezijaza nafasi zote za ajira huko serikalini. Huku wale maskini wakiambiwa wakajiajiri kwakua ajira hakuna. Lakini wanapotaka...
  5. Greg50

    JamiiForums Tanzania Ajira Mpya Serikalini ( TAMISEMI) watu 233

    Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Ofisi ya Rais- Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) anakaribisha maombi ya kazi kutoka kwa Watanzania wenye sifa na uwezo wa kujaza nafasi mia mbili thelathini na tatu (233) kama zilivyoainishwa katika tangazo...
  6. Self-made

    JamiiForums Tanzania Janja janja za kupata ajira katika kipind kigumu hiki katika soko la ajira

    kuhusu ajira zinazidi kuwa ngumu mnoo hasaa miaka hii ya 202+ tutapitia ugumu mwingi sana kuipata ajira, hivyo kuna njama nyingi sana tunatakiwa kuweza kuzitumia ili kupata ajira katika taasisi za kiserikali au zisizo za kiserlikali.. tukibakia huku kuapply na kufanya interview ambako...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Wazanzibar wengi wameanza kuwa na sifa za kuajirika, wapewe 25% za nafasi za ajira na sio 21%

    kwa sasa nadhani wengi mmekuwa mashuhuda wa matokeo ya form 4 na form 6, hapo zamani ufaulu ulikuwa ni mdogo sana, si ajabu kukuta darasa zima lina division 4 na 0 pekee, Na linapokuja swala la ufaulu basi zanzibar ilikuwa ikishika mara kwa mara namba za mwisho, wazanzibar wengi walikuwa...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Swali kuhusu NSSF kwa waliowahi kulipwa fao la kukosa ajira

    Naomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira. Inapotokea kwenye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ? Asanteni kwa mtakaonijibu...
  9. Kurunzi

    JamiiForums Tanzania Kama wewe unayo Degree na hauna ajira chukuwa vyeti vyako kamuone Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Chap kwa Haraka

    Tupeane fusra, leo nimeamka nimeona tupeane fusra kiroho safi kabisa, wewe kijana unaye hangaika na bahasha kila siku uchwao kutafuta ajira soma hapa. Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Robert Gabriel, amewaomba wasomi wote wenye shahada waliopo mkoani humo, kufika ofisini kwake awasaidie kupata mafunzo...
  10. Mtumaini Mungu

    JamiiForums Tanzania AJIRA: Anahitajika Muuzaji wa DLDM

    Tumshukuru Mungu, Hakuna kinacho shindikana mbele zake. Anahitajika Muuzaji wa DLDM, sifa zifuatazo. 1.Awe binti/Mwanamke 2.Umri chini ya miaka 23. 3.Awe amehudhuria mafunzo ya ADDO na awe cheti. 4.Awe tayari kufanya kazi mazingira ya vijijini. Bonus. 1.Sehemu ya Kulala 2.Chakula cha Mchana...
  11. Fatma-Zehra

    JamiiForums Tanzania Ubinafsi wa viongozi wetu Unaanzia Mbali: Kwenye website ya Sekretarieti ya Ajira kuna picha 12 na picha 8 zinamuonyesha Katibu wa Sekretarieti

    Katika vita ya ufisadi, ni lazima tufanye auditing inayohusu ubinafsi hasa kwenye taasisi zetu na mashirika ya umma. Tuanzie pia huko chini kabisa kwenye mitaa. Tutapata picha ya kiwango cha ubinafsi ambayo itatu-alarm kuhusu mwelekeo wetu wa ufisadi siku za usoni. Unfortunately, kwa sasa...
  12. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Serikali inatoa msaada gani kwa sekta ya utalii ambayo imeathiriwa zaidi na COVID-19

    Ni ukweli tu kuwa sector ya Utalii ambayo kwa asilimia kubwa inaendesha na private sector imeadhirika kuliko idara zote kipindi hiki cha corona Naomba kujuzwa Serikali inatoa mchango gani kwa hiyo sector na waadhirika wake kwani zaidi ya nusu wamekosa ajira?
  13. G

    JamiiForums Tanzania Status ya ajira portal leo tarehe 08.10.2021

    tuendelee kunywa mchuzi ....huenda nyama zipo bado chini.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Udhalilishaji katika Usaili unaofanyika na Sekretarieti ya ajira

    Wanaita watu wengi Sana katika usaili hii nilifanikiwa kuifatilia ni fani ya ICT Officer (System Administrator) wanaitaji nafasi moja lakini wameita watu 752. Vijana waliohudhuria pale wamezuiliwa kuingia kwenye usaili ni wengi sababu ya kuzuia mfano mwingine alikua anashiriki hizo interview...
  15. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Malalamiko kwa rais Samia: Serikali inawanyima ajira wenye Digrii na kuwapendelea Fom 4 na Stashahada

    Habari wadau! Kuna malalamiko yameibuka siku za karibuni kwamba serikali inawabania wahitimu wa vyuo wanagawa ajira kwa form 4 na Diploma watu wenye digrii wanatoswa, sababu kibao zimeelezwa moja wapo ni kuogopa gharama za kulipa mishahara ya wenye digrii. Naomba rais wa JMT swala ili...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Njia ya Kuwatimua Machinga ni Serikali Kutengeneza Ajira Mpya

    Njia rahisi ya kuwatimu wamachinga ni serikali kutengeneza ajira mpya. Haina maana kabisa kuwa na mji msafi halafu watu wanakufa na njaa, watu wanashindwa kuhudumia familia zao. Tatizo liliopo siyo machinga kuteka mitaa, tatizo liliopo ni hakuna ajira mbadala. Tengeneza ajira umachinga utakufa...
  17. Mtumaini Mungu

    JamiiForums Tanzania Wasomi Mbona Mnalia Sana Ajira Za Majeshi?

    Ee Bwana, Mtakatifu Mungu wetu sifa na utukufu ni Mali Yako nami kwa unyenyekevu mkubwa navirejesha kwako Sasa na hata Milele. Ndugu watanzania wenzangu, hapa karibuni zimetolewa nafasi nyingi za ajira katika vyombo vyetu vya ulinzi na usalama, kuanzia Jeshi la Polisi Tanzania chini ya Afande...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Kutoa ajira kwa waliofeli divisheni 4 tena kuanzia point 28 mpaka 31 ni kutuharibia jamii

    Nimeona matangazo ya ajira ya uhamiaji kuwa wanahitaji kidato cha 4 waliopata divishen 4 kuanzia pointi 28 mpaka 31 nikajiuliza sana. Hivi taifa hili akili huwa tunazipeleka wapi? kwa nini uwe specific kutoa upendeleo kwa waliofeli? unaipeleka wapi jamii yetu kwa upendeleo wa aina hiyo...
  19. Ntiyakama

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ajira vs Kujiajiri

    Kwa mujibu wa matokeo ya sensa ya mwaka 2012 asilimia 77% ya watanzania wanaumri chini ya miaka 35 na asilimia 19% kati ya hao wanaumri wa miaka kati ya 15 – 24. Kiasi cha ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana hao (wenye umri kati ya mika 15 – 24) ni asilimia 13.4% ambapo hali ni mbaya zaidi...
  20. Saint Ivuga

    JamiiForums Tanzania Ajira 350 za Askari Magereza

    Swali langu ni kuwa wahalifu wameongezeka? Yaani magereza wametanganza ajira nyingi kuliko hata tume ya ajira.. ile tume ya ajira kila kukicha wanatangaza kazi za mtendaji wa kijiji.. kuna tatizo mahala?
Back
Top Bottom