ajabu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. KING MIDAS

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa ajabu na wa kipekee alionao Christiano Ronaldo

    Cristiano ronaldo ana uwezo mkubwa wa kufunga magoli kutokana na uwezo wa ajabu alio nao, Ronaldo anafunga magoli ya kichwa kwa kuruka juu mpaka meter 2.95 ,binadamu wa kawaida anaruka mpaka meter 1.8 ..Alex ferguson alishawahi sema "Nilimlaumu evra kwann hakumzuia ronaldo, lakini baada ya...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitu gani cha Ajabu wanachofanya CCM Madarakani ambacho vyama Vingine haviwezi kufanya?

    Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake. Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
  3. Jackal

    JamiiForums Tanzania Wairan Washerehekea Kumbukumbu Ya Kifo Cha Jenerali Wao Kwa Njia Ya Ajabu!

    On This Day 2020, Iranian arch-terrorist Qassem Soleimani was ELIMINATED in Iraq. Iranian people found a creative way to celebrate his assassination by eating Kotlets (Persian Meat Patties) on this day. Happy Kotlet Day!
  4. Nyafwili

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukutana na watu wa ajabu kwenye maisha yako? Walikuwa watu wa aina gani?

    Kulikuwa na mtu huyu, wakati wa kusoma chuo cha ufundi, alikua ni mtu ambaye tulikuwa darasa moja pindi tupo chuo, alikuwa ni mkimya sana na hajawahi kuchangia chochote wala kuzungumza na mtu yeyote darasani. Alikuwa Hana makundi, alikuwa hana ushirikiano, alikuwa hana marafiki. Hakuna mtu...
  5. Melki Wamatukio

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke ni kiumbe wa ajabu sana. Anaweza akakupenda pasi na kukupatia zawadi ya ngono

    Mwenzenu ninapendwa japo sipatiwi tendo la ndoa. Naimani asilimia mia kuwa ninapendwa. Maana huyu mwanamke huufurahia sana uwepo wangu, huvutiwa na ucheshi wangu, hunitamka mara kwa mara mdomoni, huniulizia na kunisifia sana kwa marafiki zake, pia marafiki zangu. Vijizawadi vidogo vidogo vya...
  6. Gol D Roger

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo haya yakikutokea kwenye maisha yako lazima upate furaha ya ajabu utahisi maisha yako yameanza upya

    1. Ukipata mpenzi mnaependana sana. 2. Ukipata mtoto wako wa kwanza. 3. Ukifunga ndoa. 4. Ukinunua gari lako la kwanza. 5. Ukifaulu form4 au form 6 (vilaza wenzangu watanielewa) 6. Kuhamia nyumbani mwako baada ya kuishi kweny za kupanga 7. Majibu ya kipimo kurudi HIV negative baada ya...
  7. Mkyamise

    JamiiForums Tanzania Biashara za Kitanzania ni za ajabu sana

    Yaani nimeona sendozi aina ya Teva inauzwa instagram 250,000! Nimepita huku mtaani nikazikuta kwa mmachinga, mpya kabisa. Nimempa elfu ishirini akapokea kiroho safi maisha yanaendelea!
  8. Msitari wa pambizo

    JamiiForums Tanzania Nimeona clip ya Mtanzania mwenzetu Joshua Mollel anauawa na Hamas. Inatia hasira kuona tulipiga kura kuwaunga mkono

    Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
  9. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Je, ni ndoto gani ya ajabu ambayo umewahi kuota?

    Wakuu leo tupige stori nyepesi. Mambo ya Hamas, Karia & TFF, Siasa, Simba na Yanga tuweke kando kwa muda. Ni ndoto gani uliyowahi kuota ikakushangaza? Binafsi kuna siku niliota nimekaa sehemu maeneo ya Mburahati Madoto ninakunywa pepsi mara ghafla katokea Aliko Dangote kachoka mbaya anaomba...
  10. A

    JamiiForums Tanzania TCRA kwa nini hamzifungii hizi website au mna kazi za ajabu ajabu

    https://tanesco.tz.onrecruit.site/?m=1#1702207336312 Hawa watu mnaweza mka deal nao mara moja lakini mnafikiria mengine.....
  11. Z

    JamiiForums Tanzania Msaada kujuzwa yafuatayo kuhusu utungwaji wa mimba

    Habarini wana JF, naombeni kuwauliza yafuatayo: 1) Hivi inawezekana mimba kutungwa endapo mwanaume katumia kinga kikamilifu (condom imara aina ya rough rider) na kinga hizo hazikuharibika hata kama mwanamke akiwa kwenye siku za hatari za kushika mimba? 2) Inawezekana kipimo cha ultrasound...
  12. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia afupisha ziara yake Dubai kurejea nchini haraka iwezekanavyo, Serikali kugharamia mazishi na matibabu ya majeruhi wa mafuriko ya Hanang

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amemuelekeza Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuwa serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. Rais Samia pia ametaka majeruhi wote...
  13. Vishu Mtata

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni kitu cha ajabu sana

    Bila shaka ni wazima mpaka mnasoma hapa. Hiki kitu aisee ni cha ajabu ni kama kinajicontrol chenyewe kwa namna fulani ya ajabu sana. Kipindi ambacho unahitaji mwenza wa kuanza naye safari ya maisha, hupati hata ile ng'o. Lakini kipindi unatongoza hovyo wengi wanajirahisisha, wife material...
  14. GreenLight

    JamiiForums Tanzania Ila kuna watu wa ajabu hapa

    Wakuu wazima nyie Kuna jamaa humu ndani ananishangaza sana yaani yeye kila post ana dislike. Huyu jamaa anajiita sijui mdudu gani hapo. Kila uzi yeye reaction yake ni dislike tu. Huyu mwamba atakua iblis labda. Jamaa anajiita Mdudu wa bunju Ongezeni wenye tabia kama ya huyu mwamba mzee wa...
  15. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Madudu ya ajabu ya ubatili wa Katiba yetu, mabadiliko "fake" ya sheria na Tume ya Uchaguzi. Rais Samia asilaumiwe kwasababu yeye sio mwanasheria!

    Wanabodi, Kama kawaida yangu kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za kwa maslahi ya taifa. Makala ya leo ni kuhusu fursa ya kuufanya uchaguzi Mkuu ujao wa Rais, Wabunge, Madiwani na serikali za mitaa utakuwa ni uchaguzi huru na wa haki. Kwanza tukubaliane katika uendeshaji wa nchi...
  16. Life2

    JamiiForums Tanzania Sio ajabu Simba wakamrudisha Erasto Nyoni.

    Hakika hiki kipigo cha vyuma vitano kutoka kubwa la maadui Yanga kimewachanganya sana Simba wamekua kama wajenzi wa mnara wa Babeli hawaelewani kabisa kila mtu anakuja na lake humu jamii forum big thinker wao wamekomalia Ushirikina, mashabiki wao wanataka viongozi wasepe, wazee wa simba wanataka...
  17. W

    JamiiForums Tanzania Nazeeka kwa kasi ya ajabu mno. Nifanye nini?

    Yeyote aliyeniona miaka miwili au mitatu tu iliyopita ananishangaa na kutishika. Walionilea na niliowakuta wakiwa wakubwa sasa ninawapita. Mvi zimetamalaki kidevuni na kichwani mara nne yao. Nimegeuka kuwa kichekesho na mshangao kwa wanafamilia tunapokutana kwenye matukio yanayotukutanisha...
  18. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

    Leo tuna akina Abdul ambao utawaona na kina Museveni huko wakiwakilisha Watanzania na wakati huo huo hawajulikani wana nafasi gani hapo serikalini Watoto wa Magufuli na familia yake kwa ujumla walifundwa siyo siri Baba yao alikuwa kiongozi mkuu wa nchi hii, lakini niseme ukweli kuwa, sikuwahi...
  19. Lexus SUV

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Dar ni mji wa ajabu sana, mtu anaweza vaa nguo/viatu hazijakauka lakini zika kauka akiwa amevaaa

    Walaaaaaahiii mtumeewww 5 moko , kimoko tuuu chaliii wanaumeeee tukapiga vitano vya afyaa boraaa hahhhahahhhgh Ebana heeeeeh ndo ikawa hivyo ...mvua hii people zinavaa nguo hazijakauka na life linasongaa kibabere Karibuni kwa makasiriko...
  20. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Binti wa dukani alitafutiwa kazi hii kwa taabu sana ila cha ajabu hajamaliza hata mwaka ana mimba, Ntalaumiwa nikiweka binti mwengine?

    Binti alifika dukani mwezi wa kwanza mwaka huu, Ni binti ambae sijawahi kuwa na tatizo nae kasoro hivi karibuni Siku ya ambayo duka halifunguliwi / mapumziko huwa ni Jumapili lakini kwa sasa hali imebadilika, Kwa takribani wiki 5 mfululizo zilizopita ni lazima siku moja wapo kati ya Jumatatu...
Back
Top Bottom