AFCON 2024: Sioni ajabu ya Novatus Miroshi kupata kadi nyekundu. Alipata kadi nyekundu pia katika mechi ya Nov 21, 2023 dhidi ya Morocco

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,151
Tar 21 Nov 2023
Moroco vs 🇹🇿
Novatus discuss kiroshi alipata Redcar dk ya 72.

Jana dk almost zile zile anapewa card mechi vs Moroco

Sioni sana kipya tusaidie badala ya kujazana ujinga. Kocha akiona giz dk za 70+ aangalie anawezaje kumpumzisha

Also akae na mchezaji wake amwonye amwelekeze kosa lake la tar 21 Nov amwelekeze kosa la jana kikubwa zaidi amfundishe n jinsi gani anatakiwa kucheza vs timu kubwa kama Morocco.

Hii timu hata walipocheza hii tar walichofanya walipoona nova anawatesa sana wakajua huyu mbuzi wa kafara

Cha kufanya n kumwondoa mapema asitusumbue..wanamwondoaje n through kadi.

Wakafanikiwa akapata yellow ya kwanza..kama mlifuatilia echidna ya tar 21 Nov wakiguswa kidogo na Nov wanajirusha kama wehu, baadae wakafanikiwa kumhadaa refa akampa ya pili imoooooo.

So tufike wakati wachezaji wajifunze waelewe wanacheza na nani..refa ana uwezo mkubwa kuwasaidia hawa hata kama rafu haikutakiwa kadi la maana una yellow jiepushe kufanya rafu nyingine kuokoa timu yako hata irate draw.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom